Marekani imeshambulia Kisiwa muhimu cha Kharg cha Iran – Trump
Trump ametoa wito kwa Iran kuweka chini silaha zake na "kuokoa kile kilichobaki cha nchi yao, ambacho si kikubwa".
Mabaharia waliokwama karibu na Iran
Ndege zisizo na rubani, makombora na ndege za kivita zimekuwa jambo la kawaida kwa mabaharia wengi waliokwama kwenye meli eneo la Ghuba.
Washauri 21 wa Ruto warejea kazini huku Mahakama ya Rufaa ikiwapa ahueni ya muda
Washauri 21 wa Rais William Ruto wamerejeshwa kazini na Mahakama ya Rufaa, na kuhakikisha mwendelezo licha ya changamoto za kisheria kuhusu uhalali wake kikatiba.
Magazeti ya Kenya: Gachagua, Kalonzo wawazia mbinu ya ‘Kibaki 2002’ kumng’atua Ruto kura ya 2027
Upinzani ulioungana unapanga mkakati wa kisiasa ambao unatumai utamnyima William Ruto muhula wa pili kwa kukopa mbinu kutoka kwa Uchaguzi Mkuu wa 2002.
Edwin Sifuna Amzima Kiutani Amason Kingi kwa Kupinga Video za TikTok
Seneta Edwin Sifuna alimzidi ujanja Spika wa Seneti Amason Kingi dhidi ya TikTok, na kuwachekesha Waneya mtabdaoni wakati wa mjadala mkali wa bunge.
Vene jamani bado nyota inang’ara kwake…Cholo anaweweseka baada ya kusikia hivyo
Vene jamani bado nyota inang'ara kwake...Cholo anaweweseka baada ya kusikia hivyo. Mwamini hataki kabisa kumsikia mama yake. Usikose kutazama #KombolelaSeries kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106…
Yavush amerudisha visa upyaaaa…Usikose kutazama 6 of Us leo saa 3:00 USIKU kupitia #AzamTWO pekee
Yavush amerudisha visa upyaaaa...Usikose kutazama 6 of Us leo saa 3:00 USIKU kupitia #AzamTWO pekee. (Feed generated with FetchRSS)
Raphael Tuju afukuzwa kwenye mali yake ya Karen na maafisa wa polisi 3am
Raphael Tuju anadai uvamizi mkubwa wa polisi katika mali yake ya Dari Business Park huko Karen, Nairobi, bila kudai uhalali wowote wa kisheria kwa operesheni hiyo.
UN yaisifu Tanzania kuunda tume ya uchunguzi matukio ya Oktoba 29
Romero ametoa kauli hiyo Machi 12, 2026 mjini Geneva wakati akihitimisha mjadala uliokuwa na...
Hekaya za Mlevi: Mbu tumemshindwa, kunguru je?
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Huwa hana majivuno pale anapofaulu. Akifanikiwa hutumia...
Nyuma ya mafanikio ya Xouh kwenye muziki kuna haya
Unaweza kusema dunia imejaa ubinafsi. Hii ni kutokana na tabia ya baadhi ya watu ya nipe ni kupe.
‘Ni sampuli ya kipekee sana ya kibaiolojia’: Siri iliyojificha katika damu ya hedhi
Kuanzia endometriosis na saratani ya shingo ya kizazi, hadi kisukari na matatizo ya tezi dume, wanasayansi wanagundua kuwa damu ya hedhi inatoa fursa ya kujua ustawi wa wanawake.
African media must consider solution-based journalism
OSLO, NORWAY: As the world continues to witness the effects of the war between the United States, Israel and Iran, African media outlets have been urged to focus on writing…
Wadau wa elimu wataja njia kuinua ufaulu wa hisabati
Kwa mujibu wa wadau hao, katika zama za sayansi na teknolojia mwanafunzi hapaswi kutishwa na...
Masauni: Mpango wa kukijanisha nchi upo mbioni
Serikali ipo mbioni kuanzisha mpango wa mageuzi ya kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na...
Tetesi za soka Jumamosi: Rashford anaweza kurejea Man Utd
Marcus Rashford anaweza kurudi Manchester United msimu huu wa joto, Tottenham wanatafuta mchezaji wa kuchukua nafasi ya Igor Tudor na Arsenal wanaandaa mkataba na Leon Goretzka.
Wajane Rukia na Habiba, wanaopambana na mawimbi kutafuta riziki
Lakini kati ya wote waliopo baharini, macho yangu yanavutiwa zaidi na wanawake wawili walioko...
Viongozi wa dini waombwa kuhimiza tahadhari dhidi ya mvua Mara
Mtambi amesema mvua tayari zimeanza kunyesha na kwa mujibu wa Tanzania Meteorological Authority...
‘Hata inyeshe mvua ya makombora tunaendelea kuishi’ – Wairani
Raia wa Iran wanasema wanajificha nyumbani na ni mara chache wao kutoka nje kwenye mitaa isiyo na watu huku milipuko ya mabomu ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ikiendelea.
| #CAFCL Masandawana kibabe wananyakua alama tatu mbele ya Stade Malien
| #CAFCL Masandawana kibabe wananyakua alama tatu mbele ya Stade Malien FT: Mamelodi 3-0 Stade Malien Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD Je unadhani Stade Malien watalipa kisasi kwenye mchezo wa marudiano? #CAFCL…
Siku 100 za Rais Samia: OSHA yaacha alama ukuzaji uwekezaji, kuimarisha usalama wa wafanyakazi
Wakati tathmini za utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
80′ | #CAFCL Chuma ya tatu kwa Masandawana
80' | #CAFCL Chuma ya tatu kwa Masandawana..... Mamelodi 3-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Ubunifu wa kidijitali unavyosaidia OSHA kulinda maisha, kuimarisha maeneo ya kazi
Moja ya mafanikio makubwa zaidi ya OSHA hivi sasa ni utoaji wa huduma zake kwa njia ya kidijitali.
58′ | #CAFCL Chuma ya pilii………kwa Mamelodi
58' | #CAFCL Chuma ya pilii.........kwa Mamelodi Mamelodi 2-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Benki ya CRDB kupeleka washindi 10 kushuhudia fainali ya Kombe la Dunia Marekani, Canada
Benki ya CRDB imezindua kampeni ijulikanayo kwa jina la “Fainali Ndo Mpango na TemboCard Visa”...
Sh14.9 bilioni kujenge madaraja mawili Ileje
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi kutoka kampuni ya Jasco...
Tuju amshtaki jaji aliyemuomba rushwa ya KSh 10m, amlilia Jaji Mkuu kuhusu mzozo kati yake na EADB
Raphael Tuju alimlalamikia Jaji Mkuu Martha Koome, akidai jaji alimuomba rushwa ya KSh 10 milioni katika kesi yake na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki.
MAPUMZIKO | #CAFCL Chuma ya Khuliso Mudau imewapa uongozi Mamelodi dakika 45 za mwanzo
MAPUMZIKO | #CAFCL Chuma ya Khuliso Mudau imewapa uongozi Mamelodi dakika 45 za mwanzo HT: Mamelodi 1-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Wataalamu wa maabara wajengewa uwezo kukabili kipindupindu
Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na...
Busia: Wasamaria Wamzawadi Mjane, Mama wa Watoto 6 Nyumba, Viti Akijiandaa Kumzika Mumewe
Mwanamke mmoja huko Busia hatimaye alipata nyumba ambayo wasamaria wema walikuwa wamemuahidi mara tu baada ya kifo cha mumewe mapema wiki hii. Walimnunulia hata viti
Sherehe za Madaraka Dei 2026: Wajir yajiandaa kwa hafla ya kitaifa, ya kwanza kihistoria
Wajir itakuwa mwenyeji wa Siku ya Madaraka kwa mara ya kwanza tangu uhuru, katika uwanja mpya wa viti 10,000 na maboresho makubwa yanatarajiwa kuangazia eneo hilo.
Ministry, PURA strategize on oil, natural gas exploration
Dar es Salaam: The Permanent Secretary in the Ministry of Energy responsible for petroleum and natural gas affairs, Dr James Mataragio, has met with the management of the Petroleum Upstream…
Usajili na usaili wa washiriki wa mashindano ya vipaji ya Bongo Star Search (BSS) msimu wa 16 sasa ni rasmi jijini Dar es Salaam…
Usajili na usaili wa washiriki wa mashindano ya vipaji ya Bongo Star Search (BSS) msimu wa 16 sasa ni rasmi jijini Dar es Salaam, ambapo mchakato huo utafanyika kwa siku…
Serikali ipo mbioni kuja na mwongozo utakaotumika katika hospitali zake zote ili kukabiliana na malalamiko ya wananchi kuhusu gh…
Serikali ipo mbioni kuja na mwongozo utakaotumika katika hospitali zake zote ili kukabiliana na malalamiko ya wananchi kuhusu gharama kubwa za matibabu na upatikanaji wa dawa. Waziri wa Afya, Mohamed…
Wananchi wa vijiji 17 wilayani Mbulu wanakabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji, hali inayowalazimu kutembe…
Wananchi wa vijiji 17 wilayani Mbulu wanakabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji, hali inayowalazimu kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo, kama alivyoshuhudia Hellen Kawiche mkoani Manyara.…
Mwanamke wa Nairobi Asimulia Uchungu Wake Baada ya Kupokonywa Mjukuu
Lilian Evali alilia mjukuu wake akichukuliwa kwa amri ya kortia na kupewa babake aliyemtelekeza. Alishiriki hadithi ya kuumiza moyo ya upendo na mapambano ya sheria
Shughuli za usafiri katika barabara ya Mikumi kwenda Ifakara, mkoani Morogoro, zimesimama baada ya daraja la Kidoma-Mikumi kukat…
Shughuli za usafiri katika barabara ya Mikumi kwenda Ifakara, mkoani Morogoro, zimesimama baada ya daraja la Kidoma-Mikumi kukatika kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo. Kukosekana kwa mawasiliano ya…
Mtabiri wa hali ya hewa ataja kaunti ikiwemo Nairobi zitakazopokea mvua katika saa 24 zijazo
Mvua inatabiriwa kote Kenya katika saa 24 zijazo, na kuathiri kaunti zikiwemo Nairobi, Kisumu, na Turkana. Tarajia vipindi vya jua vikichanganywa na mvua.
Polisi mbeya kudhibiti madereva wasio na leseni
Ili kumaliza tatizo la ajali mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi limesema litaanzisha operesheni...
Wizara, PURA waweka mikakati utafitaji mafuta, gesi asilia
Dar es Salaam: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi asilia, Dk James Mataragio amekutana na menejiment ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa…
Marekani imetoa siku 30 kwa baadhi ya mataifa kununua mafuta ya Urusi yaliyowekewa vikwazo, hatua iliyolenga kusaidia kupunguza …
Marekani imetoa siku 30 kwa baadhi ya mataifa kununua mafuta ya Urusi yaliyowekewa vikwazo, hatua iliyolenga kusaidia kupunguza bei ya nishati baada ya msongo wa soko kutokana na vita vya…
Mahakama ya Rufani yabatilisha hukumu ya kifo, yaamuru kesi isikilizwe upya
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifo iliyokuwa imetolewa dhidi ya Richard...
George Muchai: 4 wapatikana na hatia ya wizi wa kimabavu katika kesi ya mauaji ya mbunge wa zamani
Mahakama ya Nairobi imewakuta na hatia washukiwa wanne wanaohusishwa na mauaji ya mbunge wa zamani wa Kabete George Muchai 2015, huku hukumu ikipangwa Machi 18, 2026
Mwalimu alipwa Sh4.2 milioni alizosotea kwa miaka minane
Ngoma amesema baada ya kupokea malalamiko ya mwalimu huyo, taasisi hiyo ilianza uchunguzi na...
Ujenzi wa majengo Sita kati ya ishirini na mawili ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora umekamilika kwa …
Ujenzi wa majengo Sita kati ya ishirini na mawili ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora umekamilika kwa gharama ya zaidi ya Bilioni 1.7 na kuanza…
Mahakama Kuu yahalalisha Tume ya matukio ya Oktoba 29
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza...
Gavana mstaafu BoT afariki dunia, kuzikwa kesho Manyara
Aliyekuwa Gavana wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Idrisa Rashid, amefariki dunia akiwa...
Wadau waitwa kusaidia wanafunzi 2,500 wasio na madawati Makangarawe
Uhaba wa madawati waibuliwa Temeke, wanafunzi zaidi ya 2,500 wakosa sehemu ya kukaa.
*VITONGOJI UKANDA WA NYASA VYAFIKIWA NA MIRADI YA REA*
*VITONGOJI UKANDA WA NYASA VYAFIKIWA NA MIRADI YA REA* 📌Bilioni 3 yapeleka umeme Ludewa milimani 📍Ludewa - Njombe (Feed generated with FetchRSS)