Klabu za Tanzania na mtego mgumu robo fainali CAF
Raundi ya nne ya hatua ya makundi ya mashindano ya Klabu Afrika 2025/2026 ilikamilika jana...
Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria vimetajwa kupungua nchini kutoka vifo 5,431 mwaka 2015 hadi kufikia vifo 1,231 mwaka 2024
Vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria vimetajwa kupungua nchini kutoka vifo 5,431 mwaka 2015 hadi kufikia vifo 1,231 mwaka 2024. Hata hivyo, ripoti ya malaria duniani ya mwaka 2024 inaonyesha…
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRL) imekamilisha kazi ya upembuzi …
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRL) imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi wa Reli ya…
Ujerumani yakabiliwa na mgomo wa kitaifa wa usafiri wa umma
Mabasi mengi na treni zinazopita mitaani zimeanza mgomo wa siku nzima wa kitaifa leo Jumatatu nchini Ujerumani, ulioitishwa na chama kikubwa cha wafanyakazi cha Verdi.
Miaka 10 Jela kwa Sheikh Hasina kwa makosa ya ufisadi
Mahakama ya Bangladesh imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina, miaka 10 Jela kwa makosa ya ufisadi. Uamuzi huo umetokea wakati serikali ya mpito ikijitayarisha kwa uchaguzi unaoatarajiwa kufanyika Februari…
#MEZAHURU: “MITANDAO YA KIJAMII INAWEZA KUCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA KWA KUDHALILISHA UTU WA WATU, JE, WATUMIAJI WANATAMBUA ATH…
#MEZAHURU: "MITANDAO YA KIJAMII INAWEZA KUCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA KWA KUDHALILISHA UTU WA WATU, JE, WATUMIAJI WANATAMBUA ATHARI HIZI KATIKA JAMII?", 02 FEBRUARI 2026
Yvette Cooper yuko ziarani Ethiopia kujadili uhamiaji
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uingereza Yvette Cooper, amesema atatumia ziara yake nchini Ethiopia kuzungumzia mikakati ya kuwazuwia wahamiaji huko kufika Uingereza.
Kivuko cha Rafah chafunguliwa tena Kusini mwa Gaza
Maafisa wa usalama wa Misri na Israel wamesema kivuko muhimu cha Rafah kinachopakana na Misri Kusini mwa Ukanda wa Gaza, kimefunguliwa.
UN: Ni hatua chanya baada ya miezi 21 ya kufungwa, kivuko cha Rafah chafunguliwa tena
Wakati leo Jumatatu, Februari 2, kivuko cha mpaka wa Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kikianza kufanya kazi tena baada ya miezi ishirini na moja ya kufungwa, mashirika…
YALIYOJIRI JARIDANI LEO: Kivuko cha Rafah/Sudan Kusini njiapanda/Mifereji ya umwagiliaji Dodoma
Kivuko cha Rafah huko Mashariki ya Kati chafunguliwa rasmi Wananchi Sudan Kusini wako njiapanda kuamua wasonge mbele na amani au waendelee na machafuko. UNCDF yaleta matumaini kwa wakulima Dodoma, Tanzania…
Lucy Natasha Afungua Tawi Jipya la Kanisa la ECC Nchini Sudan Kusini baada ya Kufunga la Nairobi
Mhubiri mahiri Lucy Natasha anapanua huduma yake, Empowerment Christian Church (ECC), hadi Sudan Kusini wiki chache tu baada ya kufunga tawi la Nairobi.
Trump atishia kumshtaki mtangazaji wa Grammy wa Afrika Kusini, Trevor Noah
Mchekeshaji Noah, ambaye alitangaza kuwa huu utakuwa mwaka wake wa mwisho kuandaa Grammys baada ya zamu sita kama emcee, amekuwa akiepuka maoni ya kisiasa katika miaka iliyopita.
Iran yapinga IRGC kuorodheshwa kama kundi la kigaidi
Iran imesema imewaita mabalozi wote wa Umoja wa Ulaya waliopo ndani ya Jamhuri hiyo ya kiislamu, kupinga hatua ya Umoja huo, kukiorodhesha kikosi maalum cha walinzi mapinduzi kama kundi la…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
Health Minister launches new scan machine for cancer screening at the ORCI
DAR ES SALAAM: THE MINISTER of Health, Mohamed Mchengerwa, has officially launched a PET scan machine used in cancer screening and producing drugs at the Ocean Road Cancer Institute (ORCI)…
Dr Samia heads to the UAE for major global summits
DUBAI: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to participate in the launch of the Global Africa Investment Summit (GAIS), which will be held alongside the World Governments Summit (WGS) 2026…
Tanzania deploys a mix of technologies to protect communities against wildlife
DODOMA: THE Tanzanian government has continued to adopt and deploy a mix of technologies, including electric fencing, to enhance the safety and security of communities living around national parks and…
#HABARI:Katika kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu kwa Wananchi wanaozunguka Hifadhi na Mapori tengefu, Serikali ime…
#HABARI:Katika kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu kwa Wananchi wanaozunguka Hifadhi na Mapori tengefu, Serikali imeendelea kubuni na kutumia teknolojia mseto ikiwemo uzio wa umeme ili kuimarisha ulinzi na usalama…
TTB adds AFCON, Cultural tourism as major tourist attractions
ARUSHA: THE Tanzania Tourist Board (TTB) has outlined various strategies to promote the country’s tourism attractions, including strengthening global and domestic tourism in efforts to achieve the National Development Vision…
CCM Mbeya yaapa kupambana na wanaowabeza viongozi
Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikisherekea miaka 49 tangu kuanzishwa kwake, wanachama wa...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imezindua mashine ya kisasa ya PET Scan katika Hospitali ya Ocean Road, hatua inayotarajiwa kubo…
Serikali kupitia Wizara ya Afya imezindua mashine ya kisasa ya PET Scan katika Hospitali ya Ocean Road, hatua inayotarajiwa kuboresha kwa kiwango kikubwa huduma za uchunguzi na tiba ya ugonjwa…
Majaji, mahakimu wakumbushwa kutenda haki
Majaji na mahakimu mkoani Mara wametakiwa kutenda haki wakati wa kutimiza majukumu yao, hususan...
Waziri pekee mwanamke nchini Syria anavyopambana kuleta mabadiliko
Alipokuwa kiongozi wa upinzani uhamishoni, Kabawat anakiri kwamba serikali imefanya makosa tangu vikosi vya waasi vya Rais Ahmed al-Sharaa vilipoingia katika mji mkuu mnamo Desemba 8, 2024.
In just 100 days of leadership under H.E
In just 100 days of leadership under H.E. President Dr. Samia Suluhu Hassan, Tanzania’s mining sector has undergone a profound transformation, positioning itself as one of the most compelling examples…
Maxime asisitiza jambo, Josiah apiga mkwara
WAKATI leo Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ukitarajiwa kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Mbeya City na Dodoma Jiji, makocha wa timu hizo kila mmoja ameibuka kwa staili…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu, amesema kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) k…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu, amesema kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwaita Mh. Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo na Mhe. Kangi Lugola…
Guede ajiapiza Singida Black Stars
LICHA ya kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya AS Otoho, mshambuliaji Joseph Guede amesema bado wana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe…
Imeelezwa kuwa Mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 …
Imeelezwa kuwa Mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), utakaonufaisha Wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara nchini unakwenda kuchochea shughuli…
Mdau wa elimu, Moses Kyando, amesema kuwa tofauti ya ufaulu kati ya wanafunzi wa shule za serikali na binafsi inachangiwa kwa ki…
Mdau wa elimu, Moses Kyando, amesema kuwa tofauti ya ufaulu kati ya wanafunzi wa shule za serikali na binafsi inachangiwa kwa kiasi kikubwa na uhaba wa walimu katika shule za…
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kuelekea Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Rais Samia ameondoka leo Februari 2, 2026, ambapo atashiriki kwenye mkutano wa World Government Summit (WGS…
Aman Josia: Ukimgusa Edgar, hawa watakumaliza
WAKATI Dodoma Jiji ikishuka uwanjani leo kuikabili Mbeya City, kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema hawaingii kazini wakimtegemea mchezaji mmoja, Wiliam Edgar bali wapo wengine wenye uwezo wa…
Mbeya City ni kufa au kupona Ligi Kuu Bara
KIPA wa Mbeya City, Soud Dondola amesema mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji ni kufa au kupona, akieleza kuwa pointi walizopoteza zinatosha na sasa kazi inaanza upya, huku kocha mkuu…
Waalikwa kuwekeza kiwanda cha Kahawa Nyasa
DODOMA; WIZARA ya Viwanda na Biashara imewaita wawekezaji wenye nia ya kuwekeza katika kiwanda cha kukoboa kahawa kilichopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
Iran: Mpango wa mazungumzo na Marekani utakamilika karibuni
Iran imesema Jumatatu kwamba inataraji mpango mkakati wa mazungumzo na Marekani kuhusu nyuklia huenda yakakamilika katika siku chache zijazo, wakati Rais Donald Trump akitishia kuivamia kijeshi.
Mbunge Pinda aibana Serikali ataka barabara
Dodoma. Serikali imesema kuwa wakandarasi wa ujenzi wa barabara kutoka Tanganyika hadi Uvinza...
Tanzania sees fortune in agri-business with a 32.8m US dollars boost
DODOMA: THE Tanzanian government has called on institutions implementing the Building a Better Tomorrow (BBT) Programme to invest in the production of livestock feed as a key step toward improving…
Kivuko cha mpaka wa Rafah chafunguliwa tena
Kivuko cha mpaka cha Rafah kati ya Gaza na Misri kimefunguliwa tena leo kuwezesha kupita kwa muda kwa idadi ndogo ya watu.
Mgodi waporomoka, zaidi ya watu 200 wafariki Kongo
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inaomboleza kufuatia maafa ya watu zaidi ya 200 yaliyotokea kwenye maporomoko ya tope ya migodi ya Rubaya. Manusura wanatibiwa na familia nyengine zinajiandaa kwa maziko.
Tanzanian judiciary pledges to take decisive measures to quicken justice delivery
DODOMA: THE Judiciary has pledged to take decisive measures to ensure courts deliver justice promptly, rather than becoming places where disputes are delayed unnecessarily. The Chief Justice of Tanzania, George…
J-20A: Ndege ya China inayobadili mizani ya nguvu za anga duniani
Wataalamu wa kijeshi wanasema J-20A si maboresho ya kawaida, bali ni mabadiliko makubwa yanayolenga kuifanya China kuwa na nguvu kubwa zaidi ya anga, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki.
Ukraine, Urusi zathibitisha mazungumzo mapya UAE
Mashambulizi ya droni za Urusi yameua raia na kulenga hospitali nchini Ukraine, huku Ukraine ikishambulia Belgorod nchini Urusi. Haya yanajiri wakati pande hizo mbili zikithibitisha duru nxingine ya mazungumzo nchini…
“Walau tumevuna Pointi 6 ni kitu kikubwa kwetu sote, tuzidi kushikamana, tuzidi kusonga mbele, kama ujuavyo namba zetu katika Af…
"Walau tumevuna Pointi 6 ni kitu kikubwa kwetu sote, tuzidi kushikamana, tuzidi kusonga mbele, kama ujuavyo namba zetu katika Afrika ziko juu kwa hiyo tunahitaji kuzilinda" Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam…
#MICHEZO: Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe, amelaani kitendo alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba…
#MICHEZO: Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe, amelaani kitendo alichofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, na Mashabiki baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
Tanzania gets hi-tech mineral exploration gear as it targets 50 percent coverage
KAHAMA: THE Minister for Minerals, Anthony Mavunde, has launched the deployment of a helicopter fitted with advanced exploration equipment as part of the government’s strategy to expand Tanzania’s mineral exploration…
TLS yawasihi viongozi kukaa kimya kilichotokea Oktoba 29
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amewasihi viongozi wa umma...
Works Minister acts tough on contractor of Kyerwa road project
BUKOBA: THE Minister for Works, Abdallah Ulega, has ordered the immediate initiation of procedures to terminate the contract of a Chinese construction firm, Shandong Luquiao Group, over poor performance on…
Jeshi la Somalia lawaua magaidi wa Al Shabaab wakiwa katika mkutano wa kupanga mashambulizi
Operesheni hiyo ililenga viongozi wa Al Shabaab katika eneo la katikati mwa Shabelle, na baadhi yao waliuawa, anasema waziri wa habari.