Mapigano yaendelea Kongo baada ya kusainiwa mkataba wa amani
Mapigano yameendelea kupamba moto mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku moja Rais Trump wa Marekani kuwaalika viongozi wa Kongo na Rwanda mjini Washington kusaini makubaliano mapya ya amani.
Sweden yasitisha msaada kwa mataifa manne ya Afrika
Serikali ya mrengo wa kulia ya Sweden imesema, inasitisha misaada kwa nchi nne za Afrika na kufunga balozi tatu katika marekebisho makubwa ili kupata fedha za kuisaidia Ukraine.
Bunge la Ujerumani laidhinisha mageuzi tata ya pensheni
Wabunge nchini Ujerumani wameidhinisha mpango wa mageuzi tata ya pensheni yaliyopendekezwa na serikali ya muungano ya Kansela Friedrich Merz. Hatua hiyo imepitishwa baada ya miezi kadhaa ya msuguano wa kisiasa.
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia timu yake ya wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia timu yake ya wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 wametembelea Kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha Erick Memorial…
Sri Lanka: Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaongezeka hadi 607
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyoambatana na Kimbunga Ditwah nchini Sri Lanka wiki iliyopita imeongezeka hadi 607, Kituo cha Usimamizi wa Maafa (DMC) kimetangaza leo…
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kwa kauli moja kimeunga mkono hotuba ya Rais Dkt
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kwa kauli moja kimeunga mkono hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 3 na kusema kuwa hotuba hiyo inaoonyesha dhamira ya…
Serikali imesema imekusudia kunufaisha wananchi milioni 2.85 kupitia mradi wa Mradi wa Mawasiliano ya Simu Vijijini – Awamu ya 1…
Serikali imesema imekusudia kunufaisha wananchi milioni 2.85 kupitia mradi wa Mradi wa Mawasiliano ya Simu Vijijini - Awamu ya 10, ambapo Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki…
Trump abadilisha mkakati kutoka kimataifa hadi kikanda
Serikali ya Marekani imetangaza mkakati mpya wa usalama wa taifa unaobadili sera yake ya kuwa na ushawishi wa dunia na kuelekeza nguvu zake katika ushawishi wa kikanda.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA – DISEMBA 05, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - DISEMBA 05, 2025
Tanzania: Umoja wa Mataifa waonya kuhusu ‘ukandamizaji uliokithiri’
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeonya leo Ijumaa, Desemba 5, kuhusu “ukandamizaji uliokithiri” dhidi ya wanachama wa upinzani nchini Tanzania tangu uchaguzi wa mwishoni mwa Oktoba.…
Sehem ni moja tu JEMA Auto
Sehem ni moja tu JEMA Auto. Karibu tuingie Mnadani pamoja, ujipatie gari kwa bei kitonga Mnada si lazima kusafiri kwenda Japani, tunamalizana hapa hapa bongo Tupigie sasa 0710 011 241…
TANAPA steps up process to incorporate Umba River into Mkomazi Park
TANGA: The Tanzania National Parks Authority (TANAPA), in collaboration with the Tanga Regional Administration and Mkinga District Council, has begun implementing a compensation exercise for residents of Makota Village, Mwakijembe…
Tanzania’s security organs affirm readiness to deal with illegal demonstrations
DODOMA: THE Police, in collaboration with other security and defense organs, continues to prepare for appropriate measures against criminal activities being planned and promoted on social media and by certain…
#KIPIMAJOTO: HOTUBA YA RAIS KWA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM JE IMETOA MUSTAKABALI NA MWELEKEO WA NCHI ?
#KIPIMAJOTO: HOTUBA YA RAIS KWA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DAR ES SALAAM JE IMETOA MUSTAKABALI NA MWELEKEO WA NCHI ?
Zikibaki siku 26, Mukoko, Yacouba, Inonga wapo mjini wanasikilizia dili
HAKUNA anayejua nini kinachoendelea wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Januari mwakani, lakini ni kwamba kama hujui nyota wa zamani wa Simba na Yanga Mukoko Tonombe, Yacouba Songne na…
Umoja wa Mataifa wazuru Syria, waahidi kuisaidia kujijenga
Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umefanya ziara ya kwanza Syria na kuahidi kuiomba jumuiya ya kimataifa kuisadia, siku kadhaa kabla ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert, Chalamila amesema pamoja na mambo mengine yanayodaiwa kuongeza chuki kwenye jamii…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert, Chalamila amesema pamoja na mambo mengine yanayodaiwa kuongeza chuki kwenye jamii ni pamoja na utekaji, kukosekana kwa ajira kwa vijana, wananchi…
SMZ kuongeza bajeti ya elimu hadi Sh1 trilioni
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imepanga kuongeza bajeti ya elimu kutoka Sh864 bilioni...
PM inspects a damaged Ward office, warns youth to avoid violence
MWANZA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has today, December 5, 2025, inspected the Kisesa Ward Executive Office, Mwanza Region, which was damaged during violence that occurred on October 29, 2025.…
Wakimbizi wa Burundi watakiwa kuondoka Tanzania
Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kufuta hadhi ya ukimbizi na kuzifunga kambi za wakimbizi wa Burundi waishio mkoani kigoma nchini Tanzania kabla ya mwezi Juni mwaka ujao wa 2026.
Singida Black Stars v TRA United kazi ipo hapa!
BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi…
Singida Black Stars, TRA Utd mbona kazi ipo
BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi…
Meya Zanzibar aapa akisisitiza utunzaji siri za Serikali
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji amesema atahakikisha anatunza siri za serikali...
Kwenye Usiku wa Makachero wa Michongo Vibes na mabao atakuwepo Mtumishi @kibambetz akiisindikiza Weekend kwa vibe la ngoma za ki…
Kwenye Usiku wa Makachero wa Michongo Vibes na mabao atakuwepo Mtumishi @kibambetz akiisindikiza Weekend kwa vibe la ngoma za kiroho. Fanya kuikumbatia @CloudsTv kuanzia 1:30 Usiku wakati ambapo mtumishi wa…
Makubaliano ya Rwanda na DRC yafungua nafasi ya Marekani kuchimba madini
Mnamo Machi 2025, Rais wa DRC Felix Tshisekedi alipendekeza kwa Marekani kuwezesha upatikanaji wa madini ya kimkakati ili kubadilishana na makubaliano rasmi ya usalama.
Bidhaa bora, ubunifu vyaipaisha Softcare katika Consumer Choice Awards Africa 2025
Novemba 30, 2025 jiji la Dar es Salaam lilishuhudia ugeni mkubwa wa kampuni zenye ushawishi...
Wasomali wakamatwa Minneapolis katika msako dhidi ya wahamiaji
Maafisa hawakutoa idadi kamili ya watu waliokamatwa, lakini walitoa wasifu wa watu 12 waliokamatwa, watano wao wakiwa ni Wasomali, na wengine kutoka Mexiko na El Salvador.
TPA wins accolade for its high-quality financial statements
DAR ES SALAAM: TANZANIA Ports Authority (TPA) has won the excellence award in preparing high-quality financial statements, according to the International Financial Reporting Standards (IFRS). The awards were issued by…
Wapongeza akaunti za Mange, Sarungi kuzuiwa
DAR ES SALAAM: Uamuzi wa Kampuni ya Meta kusitisha akaunti mbili maarufu za mitandao ya kijamii zinazohusiana na wanaharakati wa mtandaoni umepokelewa vyema na Watanzania wengi, ingawa baadhi ya watumiaji…
Dk Mwigulu asema kuna mchezo unachezwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amewaonya vijana wanaochochewa kufanya kuvuruga...
Sh385 bilioni kuimarisha miundombinu ya umeme Zanzibar
Zanzibar inatarajia kupata mfutiko mkubwa katika sekta ya nishati kufuatia kutiwa saini kwa...
Tuambie faida ya Juice ya Miwa…..!
Tuambie faida ya Juice ya Miwa.....!. Laini ya Wana ina kazi moja tu ya kukufungulia dunia wewe Mcloudsania ambae umekuwa Msikilizaji, Mtazamaji na Mfuatiliaji wa kurasa zetu za mitandao ya…
Baadhi ya nchi za Magharibi zataka Tanzania ikabidhi maiti za waliouawa baada ya uchaguzi
Balozi kadhaa zilizopo nchini Tanzania ikiwemo ile ya Uingereza, Canada, Norway, Uswizi, Denmark na jopo la Umoja wa Ulaya, zimetoa wito kwa serikali ya Tanzania kukabidhi maiti kwa ndugu zao…
LATRA Moshi yaonya upandishaji nauli, magari mabovu kipindi cha sikukuu
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Kilimanjaro imewataka watoa huduma za...
TCAA yajipambanua maadhimisho ICAD 2025
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAD) 2025. Akizungumza katika maadhimisho hayo, yaliyofanyika…
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea mpango wa taasisi hiyo wa kuanzisha shule ili kuwasaidia watot…
Jackline Simon -Muazilishi Wa Taasisi Ya Save The Dream akielezea mpango wa taasisi hiyo wa kuanzisha shule ili kuwasaidia watoto wenye changamoto ya kielimu. @save_the_dreamtz #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana #Clouds360
UN yakaribisha makubaliano ya Washington kati ya DRC na Rwanda kama hatua ya kujenga amani ya kudumu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha rasmi kusainiwa kwa Makubaliano ya Washington ya Amani na Ustawi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Rwanda, yaliyosainiwa jana Alhamisi,…
IOM na UNV wazindua mtandao wa ulezi kwa wahamiaji waliorudi barani Afrika
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) kwa kushirikiana na Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Wanaojitolea (UNV) wamezindua mtandao mpya wa ulezi kwa ajili ya kuwasaidia wahamiaji wanaorejea…
Mwaka mmoja baada ya mabadiliko ya utawala Syria haki zaidi inahitajika: OHCHR
Syria inapokaribia kutimiza mwaka mmoja tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar Al-Assad, Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imeonya kuwa licha ya hatua za awali zinazotia…
Vinara wa soka wa Afrika washikamana kutoa “Kadi Nyekundu” kwa polio
Vinara sita wa soka wa Afrika wanalihimiza bara zima kuungana na kuongeza juhudi za kuchanja kila mtoto dhidi ya virusi vya polio vinavyohatarisha maisha.
Mchango wa watu wanaojitolea ni muhimili wa mabadiliko: UN
Katika dunia inayohitaji mshikamano ili kufikia maendeleo, mchango wa watu wanaojitolea umeendelea kuwa nguvu muhimu ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Kila mwaka tarehe…
Maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania siku ya kumbukumbu ya uhuru wa taifa hilo tarehe 9 Desemba
Kuelekea kwenye maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania katika siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Taifa hilo Tarehe 9 Desemba, tunazikumbusha mamlaka juu ya wajibu wao wa kuhakikisha raia wanatekeleza haki…
Hali Msumbiji inazidi kuwa tete huku mashambulizi yakishamiri yaonya mashirika ya UN
Dharura inayoendelea kaskazini mwa Msumbiji inazidi kuwa mbaya, huku mashambulizi yanayoendelea kufanywa na makundi yenye silaha yasiyo ya kiserikali katika jimbo la Nampula yakisababisha ongezeko kubwa la wakimbizi wa ndani…
Kutoka changamoto hadi mafanikio: Safari ya Kibra kupitia msaada wa UN
Katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia, jitihada za kuimarisha makuzi na elimu kwa watoto wenye ulemavu zinaendelea kuleta matumaini mapya, kupitia programu inayoungwa mkono na Ofisi ya Umoja wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….DESEMBA 05, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 05, 2025