AU yatoa wito wa kuchukuliwa hatua za kimataifa kushughulikia mgogoro wa Mali
Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssef, ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota kwa kasi hali ya usalama nchini Mali, ambako makundi aliyoyataja kuwa ya "kigaidi" yamezuia operesheni…
Afrika Kusini: Tume ya uchunguzi kuhusu ukosefu wa haki yaanza kazi yake
Tume ya Khampepe, iliyoanzishwa Mei mwaka jana, – iliyopewa jina la jaji mstaafu wa kikatiba ambaye ndiye mwenyekiti wake – imepangwa kufanya kikao chake cha kwanza cha umma leo Jumatatu,…
Utoaji umeme kwa mgao wawaathiri mamilioni ya Waukraine
Mamlaka nchini Ukraine zimesema mamilioni ya watu nchini humo, wameathiriwa Jumatatu kwa kukosa umeme.
Dube aendelea kuwa lulu Zimbabwe akipambania AFCON
Licha ya kipindi kigumu anachopitia akiwa na kikosi cha Yanga msimu huu, mshambuliaji Prince...
Machafuko yasababisha vifo vya wafungwa 31 gerezani Ecuador
Wafungwa hao waligunduliwa wamekufa kwa kukosa hewa kwa sababu ya hali inayoashiria kujinyonga au kunyongwa.
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeshindwa kuendeleza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, T…
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeshindwa kuendeleza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutokana na Upande wa Jamhuri kueleza kuwa wameshindwa kuwaleta mashahidi…
Cameroon: Issa Tchiroma Bakary aipa Mamlaka saa 48 kuwaachilia wafuasi wake waliokamatwa
Katika video mpya iliyotolewa siku ya Jumapili, Novemba 9, kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, ambaye bado anakataa kutambua ushindi wa Paul Biya katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, ametoa…
Uturuki inamkumbuka Ataturk miaka 87 baada ya kufariki
Rais wa Uturuki, viongozi wa vyama vya siasa, maafisa waandamizi wa mahakama, maafisa wa jeshi, watumishi wengine wa serikali walikusanyika Anitkabir jijini Ankara kumkumbuka Mustafa Kemal Ataturk, muasisi na rais…
Uwekezaji MUST watajwa kuchochea ongezeko la udahili, wataalamu
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), umesema uwepo wa miundombinu bora...
Zuchu kwenye kivuli cha Beyonce
Bado muziki wa Bongofleva unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Kati kutokana na ukweli...
Al Sharaa, Trump kufanya mazungumzo Whitehouse
Rais wa mpito wa Syria Ahmad al-Sharaa yuko ziarani Marekani ambako anatazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump Jumatatu 10.11.2025 katka ikulu ya Whitehouse.
Riyama: Wasanii hawana shukrani
Tasnia ya burudani katika sanaa za tamthilia na filamu nchini ina waigizaji wengi na kila...
Ukraine yatoa wito wa kusitishwa kwa uajiri wa wanajeshi wa kiafrika katika jeshi la Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine anazisihi serikali za Afrika kupambana na uajiri wa mamluki kupigana katika safu za jeshi la Urusi. Siku ya Ijumaa, Novemba 7, Andrii Sybiha…
Bidhaa za wajasiriamali wa Tanzania wanaoshiriki Maonesho ya 25 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Masharik…
Bidhaa za wajasiriamali wa Tanzania wanaoshiriki Maonesho ya 25 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yajulikanayo kwa jina maarufu la ‘Nguvu Kazi’ au ‘Jua…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Simulizi ya mizimu ya mganga na mauaji ya muuguzi mstaafu KCMC – 4
Jana katika mfululizo wa simulizi ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC...
Waandishi habari 44 kati 270 waliouawa na Israel huko Gaza waliuawa wakiwa kwenye mahema ya wakimbizi
Kundi la kutetea haki za waandishi wa habari wa Palestina limeripoti kuwa jeshi la Israel limewaua waandishi wa habari 44 wa Palestina katika mahema ya wakimbizi huko Gaza, wakiwa kati…
Mazishi ya mke wa muigizaji India yaacha maswali
Mke wa mwigizaji na mtayarishaji mkongwe wa filamu za Bollywood, Sanjay Khan, Zarine Khan...
Rais wa Syria, mwanajihadi wa zamani, apokelewa kwa heshima katika Ikulu ya White House
Tukio lisilo la kawaida linafanyika leo. Mkuu wa nchi wa Syria anapokelewa Washington. Hili halijawahi kutokea tangu uhuru wa nchi hiyo. Na ni mabadiliko ya kweli ya historia. Imechapishwa: 10/11/2025…
RPC Geita aonya matapeli tiba asili
GEITA; JESHI la Polisi mkoani Geita limesema limejizatiti kuhakikisha linakomesha vitendo vya utapeli, ukatili wa kijinsia na ramli chonganishi vinavyofanywa na watu mbalimbali kwa kivuli cha tiba za asili. Kamanda…
Bundi katua kwenye muziki wa Hip-Hop duniani
Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 35, hakuna hata wimbo mmoja wa Hip Hop...
Wafugaji Kaskazini Wahimizwa Kuchanja Mifugo
WAKALA ya Maabara ya Vetenari Tanzania (TVLA) Kanda ya Kaskazini wamewashauri wafugaji kanda hiyo kuhakikisha wanaipa chanjo mifugo yao ili kuikinga na magonjwa. The post Wafugaji Kaskazini Wahimizwa Kuchanja Mifugo…
Brazil’s beef exports to China surge due to volatile US relations
BRAZIL: Brazil’s beef exports to China surged by 38.3% in September 2025, reaching 187,340 tonnes, according to industry group Abrafrigo. This jump comes as Beijing strategically pivots away from U.S.…
Rekodi ya Yanga, mlima mrefu Ligi Kuu
Ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC jana kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam...
COP30 Brazili: ‘Lula ni sehemu ya kizazi ambacho kimekuwa kikihusisha mafuta na maendeleo’
Mkutano wa Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP30) unafunguliwa leo Jumatatu, Novemba 10, huko Belém, nchini Brazil. Kama kila mwaka, suala la mpito wa nishati duniani na mafuta ya visukuku…
Uchafuzi wa hali ya hewa huchangiwa na shughuli nyingi za binadamu ambazo kw aupande mwingine wa shilingi huitwa ‘Maendeleo’
Uchafuzi wa hali ya hewa huchangiwa na shughuli nyingi za binadamu ambazo kw aupande mwingine wa shilingi huitwa 'Maendeleo'. Je, wewe unachukua hatua gani kulinda mazingira ili dunia iendelee kuwa…
Ufunguzi wa COP30 Belém: Ni zipi changamoto kwa Afrika
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa, COP30, unaanza leo Jumatatu, Novemba 10, 2025, huko Belém, ukingoni mwa Amazon nchini Brazil. Imechapishwa: 10/11/2025 – 10:05 Dakika 2 Wakati…
G Nako hubeba zana hizi, anapokwenda kurekodi wimbo
Rapa kutoka kundi la Weusi, G Nako ameendelea kuwa mfano wa msanii anayekua na kubadilika...
Jamii yaagizwa kuchukua tahadhari ya moto
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wananchi wa mkoa huo kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na kudhibiti majanga ya moto katika mkoa huo. Senyamule alitoa kauli hiyo jijini…
Baada ya Azam Complex sasa ni Amaan
Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya soka nchin, timu nne za Tanzania zimefuzu kwa hatua ya...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Riadha inavyorudisha heshima
Mchezo wa riadha ni moja ya michezo yenye mashabiki wengi nchini Tanzania, utafiti unaonyesha...
Galatasaray wakoleza tetesi kumsajili Messi
Rais wa Galatasaray, Dursun Ozbek ametoa majibu ya kijasiri baada ya kuulizwa iwapo miamba hiyo...
Watanzania Tumieni Hospitali ya Mirembe
WATANZANIA wametakiwa kuitumia Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe mkoani Dodoma kupata ushauri ukiwemo wa kisaikolojia. Daktari katika hospitali hiyo iliyopo jijini hapa Godfrey Mkama alitoa ushauri huo…
Gabon: Kesi ya Sylvia na Noureddin Bongo yaanza Libreville
Ingawa rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo hayumo miongoni mwa washtakiwa, mkewe Sylvia, mwanawe mkubwa Noureddin, na washirika wao wa karibu 11 waliokuwa wanashikilia nyadhifa kuu mwishoni mwa utawala…
#HABARI: Mawakili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu wameiomba Mah…
#HABARI: Mawakili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu wameiomba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam itoe ahirisho la siku 14…
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanikiwa kuuza jumla ya tani 26,254 za Korosho ghafi zinazozalishwa na wakulima wanao…
#HABARI: Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanikiwa kuuza jumla ya tani 26,254 za Korosho ghafi zinazozalishwa na wakulima wanaounganishwa kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU Ltd, katika mnada wa…
Zungu wins CCM nod for Speaker
DODOMA: The ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM), has endorsed Ilala Member of Parliament (MP) Mussa Issa Zungu for Speaker of the National Assembly. Zungu secured the nomination after winning…
Waumini Waelimishwe Kuhusu Amani
ASKOFU wa makanisa ya PMC Tanzania, Gervase Masanja amesema ni muhimu viongozi wa dini waelimishe waumini waombe amani na utulivu. Askofu Masanja amesema jambo kubwa kwa sasa ni kuendeleza mshikamano…
Tz makes historic strides in Tennis
TANZANIA has stamped a new chapter in its sporting history after rising tennis prodigy Ethan Dzidzonu earned selection to compete in the Les Petits As qualifying tournament, set to take…
Yanga ascend to league summit
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans SC moved to the top of the Tanzania Premier League with a commanding 4–1 win over KMC FC at the KMC Complex in Dar es…
Voda profit rises 28pc on M-Pesa, data growth
DAR ES SALAAM: VODACOM Tanzania Plc has reported a strong operating profit growth for the six months ending September, underpinned by double-digit gains in M-Pesa, data and digital services, as…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Protect Kiru–Magara Irrigation project, farmers told
MANYARA: FARMERS from four wards implementing the Kiru–Magara Valley Irrigation Project in Babati District, Manyara Region, have been urged to protect the irrigation infrastructure so that it can benefit future…
COPRA distributes seeds to mung bean farmers
DODOMA: THE Cereals and Other Produce Regulatory Authority (COPRA) has handed over three tonnes of mungbean seeds to Simiyu Regional Commissioner Anamringi Macha for distribution to farmers as part of…
COP30 yafunguliwa Belém kwa matumaini ya kuokoa kile kinachoweza kuokolewa
Mkutano wa 30 wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa unafunguliwa Belém, ukingoni mwa Amazon ya Brazil. “COP ya Watu, COP ya Ukweli, COP ya Utendaji”… Ofisi ya rais…
Body of Tanzanian killed in Israel to be repatriated
ISRAEL: TANZANIA through its Embassy in Tel Aviv, has confirmed that it is continuing to work closely with the government of Israel to complete the process of repatriating the remains…
Youth with albinism in Morogoro trained in business skills
MOROGORO: THE Tanzania Albinism Society (TAS) in Morogoro Region has empowered 70 young people with albinism by providing them with entrepreneurship training and start-up capital to help them establish small…
Geita launch crackdown against unregistered healers
GEITA: POLICE Force in Geita Region has declared a crackdown on fraud, gender-based violence and misleading witchcraft practices being conducted by individuals posing as traditional healers. The Geita Regional Police…