Tanzania holds first raw cashew auction for this season
MTWARA: TANZANIA has conducted its first auction for raw cashew nuts for the 2025/2026 season, with farmers selling their produce at prices ranging between 3,520/- and 2,550/- per kilogramme. The…
Over 890,000 students begin Form Two exams today
DAR ES SALAAM: MORE than 898,000 candidates are sitting for the Form Two National Assessment (FTNA) starting today across mainland Tanzania. Of these, 2,267 students will take vocational subjects for…
Why registration exercise of motorists crucial for safety
DAR ES SALAAM: MOTORCYCLE taxis (boda-boda) and three-wheelers (bajaj) operators and riders in Dar es Salaam have welcomed the ongoing registration exercise, saying it will enhance safety, streamline operations and…
Trade bodies push for AfCFTA fast-track
GHANA: AFRICAN trade bodies have called for a shift from talk to action on the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), urging governments to fast-track its implementation. According to the…
Mwinyi to address Zanzibar House of Representatives today
“The president’s address to the House and the public serves as a guiding framework for national development and the implementation of various campaign commitments,” said Speaker Maulid. The post Mwinyi…
Watanzania wahimizwa kupenda nchi, kulinda amani
VIONGOZI wa dini na watu mbalimbali wametoa mwito kwa wananchi kuipenda nchi yao na kulinda amani kwa kuzingatia falsafa ya 4R. Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT),…
UN TOURISM ASSEMBLY: ‘TZ safe, stable’
SAUDI ARABIA: TANZANIA has guaranteed the world that its tourism sector remains safe, secure and open to visitors. Permanent Secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism, Dr Hassan…
Wapinzani waguswa ahadi za Samia
VIONGOZI vya vyama vya upinzani wamesema Rais Samia Suluhu Hassan akitekeleza mambo aliyoahidi kuyafanya katika siku 100 tangu aapishwe, wananchi watapata manufaa makubwa. Alitoa ahadi hizo wakati anazindua kampeni za…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Mzize na bahati isiyojirudia mara mbili
Siku chache zilizopita Klabu ya Yanga ilitangaza taarifa ya mshambuliaji wao Clement Mzize...
#MEZAHURU: Ni kitu gani kinawafelisha wazee wengi kwenye MIPANGO YA KUSTAAFU baada ya kufanya kazi?
#MEZAHURU: Ni kitu gani kinawafelisha wazee wengi kwenye MIPANGO YA KUSTAAFU baada ya kufanya kazi?
Jeshi la Sudan lazima shambulio la RSF katika mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi
Jeshi la Sudan lilizima shambulio la Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) siku ya Jumapili kwenye mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi, walioshuhudia walisema.
Ulinzi, ushambuliaji tatizo Ligi Kuu
Baada ya mechi mbili za jana Jumapili, Ligi Kuu Bara imesimama hadi Novemba 21, 2025 kupisha...
New York Times: Katika vita vijavyo, Iran itarusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuilenga Israel
Gazeti la The New York Times la nchini Marekani limetahadharisha kwamba ikiwa Israel itaishambulia tena Iran, Tehran itajibu hujuma hiyo kwa nguvu zaidi, kwa kurusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja…
HAMAS: Lengo la safari ya rais wa Israel Afrika ni kubadilisha misimamo ya nchi zinazounga mkono Palestina
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa safari ya rais wa utawala ghasibu wa kizayuni katika nchi za Afrika ni jaribio la kutaka kubadilisha msimamo wa nchi…
RSF imezika kwa halaiki na kuchoma moto maiti za mamia ya raia El-Fasher kuficha jinai za mauaji ya kimbari
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa, maiti za mamia ya raia zimezikwa katika makaburi ya pamoja na nyingine zimechomwa moto na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) mjini El-Fasher…
Russia: Hatutakhalifu marufuku ya kufanya majaribio ya silaha za nyuklia, isipokuwa kama US itafanya hivyo
Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin Dmitry Peskov amesema, nchi hiyo haina nia ya kukiuka majukumu yake chini ya makubaliano ya kimataifa yanayopiga marufuku majaribio ya nyuklia, lakini itachukua hatua…
Katz amtusi vikali Erdogan baada ya mahakama ya Uturuki kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa Israel
Waziri wa vita wa utawala wa kizayuni wa Israel, Yisrael Katz amemshambulia kwa matusi makali Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan baada ya mahakama ya nchi hiyo kutoa hati za…
#HABARI: Moto mkubwa umeteketeza vitu kadhaa katika moja ya majengo ya nyumba za maendeleo eneo la Mtemani wilayani Wete huko Pe…
#HABARI: Moto mkubwa umeteketeza vitu kadhaa katika moja ya majengo ya nyumba za maendeleo eneo la Mtemani wilayani Wete huko Pemba, kabla ya kudhibitiwa na kikosi cha Zimamoto na Uokozi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Majeshi ya Somalia yawaua viongozi watatu wakuu wa Al Shabaab
Kikosi cha Wanajeshi wa Kitaifa wa Somalia kimefanya msururu wa operesheni katika maeneo ya Bakool na Bay, na kuwaua maafisa kadhaa waandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabab.
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kuzuru Marekani siku ya Jumatatu
Fidan itafanya mikutano kujadili masuala ya pande mbili na kikanda.
Vita, migogoro na athari za tabianchi zawakumba wakimbizi
Washiriki wapatao 50,000 kutoka mataifa zaidi ya 190 wanaanza mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi nchini Brazil, huku Umoja wa Mataifa ukisema mamilioni ya wakimbizi wapo kwenye hali mbaya.
Roy Keane: Liverpool ipo kwenye mgogoro mkubwa
Aliyekuwa nahodha wa Manchester United, Roy Keane, ametoa kauli kali dhidi ya Liverpool baada...
Rwanda, DRC zaanzisha mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi huku kukiwa na mazungumzo ya amani
Mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda (REIF) "unaelezea maeneo muhimu ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo kati ya mataifa hayo mawili, kuonyesha manufaa yanayoonekana ya amani," nchi hizo…
Sudan: RSF yatuhumiwa kuficha ushahidi wa mauaji ya halaiki Darfur
Mtandao wa madaktari nchini Sudan umeishtumu kundi la wapiganaji wa RSF, kwa kujaribu kuficha ushahidi wa mauaji ya halaiki katika jimbo la Darfur kwa kuchoma miili au kuzika miili ya…
Marekani: Makubaliano ya kusitisha mkwamo wa huduma za serikali yaafikiwa
Maseneta nchini Marekani, wamekubaliana kusitisha mkwamo wa huduma za serikali, ambao umeendelea kwa siku 40, baada ya kukubaliana kupitisha bajeti ya kuruhusu shughuli za kawaida kurejea. Imechapishwa: 10/11/2025 – 04:50Imehaririwa:…
Ulaya, Amerika Kusini kuanzisha muungano dhidi ya madawa
Viongozi wa Amerika ya Kusini na Ulaya wanatarajiwa kufikia makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa kupambana na ulanguzi wa madawa ya kulevya, uhalifu wa kupangwa na ufisadi.
Maseneta wa Marekani wafikia makubaliano kuifunguwa serikali
Maseneta nchini Marekani wamefikia makubaliano ya kurejesha ufadhili kwa serikali kuu na kukomesha hatua ya ufungwaji wa shughuli ulioingia siku yake ya 40 na kulazimisha operesheni nyingi za serikali kusimamishwa.
Uturuki kuwaondosha raia 200 walionaswa chini ya ardhi Gaza
Uturuki inasema inapigania kuwaondosha raia wapatao 200 walionasa kwenye mahandaki katika Ukanda wa Gaza, baada ya kufanikisha kurejeshwa kwa mwili wa mwanajeshi wa Israel aliyeuawa zaidi ya muongo mmoja uliopita.
🔴#MAGAZETI: VIGEZO VYA KUAMUA MRITHI WA MAJALIWA / PANTEV HESABU KALI
🔴#MAGAZETI: VIGEZO VYA KUAMUA MRITHI WA MAJALIWA / PANTEV HESABU KALI
Shoigu awasili Misri kwa mazungumzo ya kijeshi
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi, Sergei Shoigu, amewasili nchini Misri akiongoza ujumbe mkubwa wa maafisa wa kijeshi na wataalamu wa silaha za nyuklia kwa ajili ya mazungumzo na…
Wakimbizi wamenasa kwenye mduara wa migogoro na majanga
Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya wakimbizi wamekwama kwenye mduara wa papo kwa papo wa migogoro na majanga makubwa ya kimazingira.
Araqchi: Iran iko tayari kusaidia kutatua mvutano wa mpaka kati ya Pakistan na Afghanistan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema Iran iko tayari kusaidia juhudu za kutatua mvutano kati ya Pakistan na Afghanistan ambao umeongezeka hivi karibuni kufuatia mapigano makali…
Slovenia: Tunaunga mkono kuanzishwa taifa la Palestina; mauaji ya kimbari yametokea Gaza
Rais Nataša Pirc Musar wa Slovenia ametangaza kuwa, nchi yake inaunga mkono kuanzishwa kwa taifa la Palestina."
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 11, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 11, 2025
Harmonize, AY, Fid Q wabwagwa Grammy
Novemba 7, 2025, waandaaji wa tuzo za Grammy waliachia listi ya majina ya watakaowania tuzo...
Jumatatu, tarehe 10 Novemba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 19 Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na Novemba 10 mwaka 2025.
Kwa nini China inakosoa hatua za Marekani huko Yemen?
Sun Lei, naibu mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amepinga madai ya mwenzake wa Marekani katika kikao cha Baraza la Usalama na kusisitiza kuwa: Washington imekiuka sheria za kimataifa…
Iran yapanua diplomasia ya utalii katika mkutano wa Riyadh
Waziri wa Utalii wa Iran Sayyid Reza Salehi-Amiri jana Jumapili alikutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti mjini Riyadh, Saudi Arabia na maafisa wa ngazi ya juu wa nchi kadhaa, wakiwemo…
Minawi aonya dhidi ya kugawanyika tena Sudan
Gavana wa Darfur, Minni Arko Minnawi, ameonya kwamba makubaliano yoyote ya kusitisha mapigano nchini Sudan ambayo hayajumuishi ulinzi wa raia na kuwajibishwai wahusika wa uhalifu "yatakuwa na maana ya mgawanyiko…
Magaidi watatu vinara wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Jeshi la Somalia jana Jumapili lilifanya oparesheni kadhaa katika majimbo ya Bakool na Bay na kuuwa wanachama wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi la al Shabaab.
10.11.2025 Matangazo ya Jioni
Hekaheka za kumchagua Spika wa bunge la 13 zinaendelea huko Dodoma// Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali7/ Rais wa…
Mjadala wa Michezo – Bayern yakwamishwa na Union Berlin
Mabingwa wa Bavaria Bayern Munich walizuiwa sare na Union Berlin katika pambano la kukata na shoka ambalo lilikaribia kukamilika kwa ushindi wa Union mpaka pale Harry Kane aliposawazisha dakika za…
Kamata kamata ya Watanzania na kesi ya uhaini dhidi yao
Wiki iliyopita Waendesha mashitaka Tanzania waliwafungulia kesi ya Uhaini takriban watu 240, kufuatia maandamano ya vurugu yaliyotokea wakati wa uchaguzi huku taifa hilo likipitia hali ya mashaka ya kisiasa kutokana…
10.11.2025 Matangazo ya Mchana
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya Kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania// Wanaharakati nchini Kenya wametoa wito kwa serikali ya taifa hilo…
10.11.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka…
09.11.2025 Matangazo ya Jioni
Idadi ya waliouawa Ukanda wa Gaza yafikia zaidi ya watu 69,000. Mashambulizi ya Ukraine yawakosesha umeme zaidi ya watu 20,000 Urusi. Uganda yawaachilia huru wanaharakati wawili wa Kenya.