Kozi 90 Udsm kufundishwa kwa njia ya mtandao, wakufunzi wanolewa
Wakati Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm) kikijipanga kuanza kutoa elimu kwa njia ya mtandao...
Mazoezi yanavyotumika kuimarisha urembo kwa wanawake
Kwa muda mrefu, dhana ya mazoezi imekuwa ikihusishwa zaidi na kupunguza uzito au kutengeneza...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
ACT Wazalendo Zanzibar yataka uchaguzi sawa na wa haki
Othman amesema kuwa serikali yake haitoruhusu biashara ama uwekezaji kwa wageni unaoweza kufanywa na wenyeji na badala yake itawezesha wananchi kiutalamu.
Zuchu WCB kafika hana mpango wa kuondoka
Msanii wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Soud 'Zuchu', amesema hana mpango wa kuondoka kwenye lebo...
Mazungumzo ya Hamas na wapatanishi yaanza vyema
Duru ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Gaza kati ya Hamas na Israel imemalizika siku ya Jumatatu usiku. “Mazungumzo kwa ujumla yalikuwa mazuri,” vimesema vyanzo vilivyo karibu na wapatanishi wa Misri…
Wawili wafariki ajalini, gari la mizigo na basi zikigongana Geita
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo...
Duru ya kwanza ya mazungumzo ya wapatanishi wa Hamas inaisha katika ‘mazingira chanya’
Trump anasema maendeleo yalipatikana kuelekea usitishaji vita wa Gaza huku mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yakiendelea huko Sharm el-Sheikh.
“Tupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha matumizi ya mita janja kwa watanzania wote.” – Meneja Msimamizi wa Mita wa Shiri…
"Tupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha matumizi ya mita janja kwa watanzania wote." - Meneja Msimamizi wa Mita wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Eng. Nyanda Mlagwa alipokuwa akieleza…
Mmisri Khaled el-Enany ateuliwa kuongoza UNESCO
Bodi ya Utendaji ya UNESCO, siku ya Jumatatu, Oktoba 6, imemteua Mmisri Khaled el-Enany kuwa Mkurugenzi Mkuu wake kwa miaka minne ijayo, Mwenyekiti wa bodi hiyo, Vera El Khoury Lacoeuilhe,…
Meneja Msimamizi wa Mita – TANESCO, ENG
Meneja Msimamizi wa Mita - TANESCO, ENG. Nyanda Mlagwa amesema asilimia 14.8 ya umeme inapotea kwenye shirika kuanzia kwenye kusafirisha na kusambaza, ambapo asilimia sita ipo kwenye usafirishaji na asilimia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoa…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo lillokuwa limebeba vifaa vya…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na…
Israel: Benjamin Netanyahu, ambaye anadhoofishwa na mazungumzo ya amani, anajaribu kujipanga
Wakati wa maandamano ya kila wiki nchini Israel, waandamanaji wanalaani kwa utaratibu tabia ya mkuu wa serikali, ambaye, kulingana na familia za mateka, aliharibu uwezekano wa makubaliano kwa manufaa yake…
Israel: Benjamin Netanyahu, ambaye anadhoofishwa na mazungumzo ya amani, anajaribu kujipanga
Wakati wa maandamano ya kila wiki nchini Israel, waandamanaji wanalaani kwa utaratibu tabia ya mkuu wa serikali, ambaye, kulingana na familia za mateka, aliharibu uwezekano wa makubaliano kwa manufaa yake…
Araghchi: Israel inatumia mamilioni ya dola kulipa watu waongope mitandaoni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameshutumu kampeni ya propaganda iliyofichuliwa hivi karibuni ya Israel, yenye lengo la kuhamasisha uungwaji mkono kwa utawala huo kwenye mitandao…
CENCO ‘inasikitishwa’ na uamuzi wa Mahakama Kuu ya kijeshi dhidi ya Joseph Kabila
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Oktoba 6, Baraza la Kitaifa la Maaskofu wa Kanisa Katolika nchini DRC (CENCO) limesema linasikitishwa na hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais wa…
CENCO ‘inasikitishwa’ na uamuzi wa Mahakama Kuu ya kijeshi dhidi ya Joseph Kabila
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Oktoba 6, Baraza la Kitaifa la Maaskofu wa Kanisa Katolika nchini DRC (CENCO) limesema linasikitishwa na hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais wa…
Zaidi ya watu 20 wahukumiwa vifungo virefu kwa uhusiano wao na ADF Beni
Mahakama ya kijeshi ya Beni katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa DRC, siku ya Jumatatu, Oktoba 6, 2025, imewahukumu watu ishirini na watatu vifungo virefu vya kuanzia miaka mitano…
#HABARI: Mwakilishi wa Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw
#HABARI: Mwakilishi wa Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Abdillahi Mutabazi, amevitaka vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) kutokata tamaa katika utendaji kazi wao wa kila siku huku akimtolea…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe imemhukumu Athumani Bakari Mbagando kifungo cha miaka 20 Jela baada ya kutiwa hatiani kw…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe imemhukumu Athumani Bakari Mbagando kifungo cha miaka 20 Jela baada ya kutiwa hatiani kwa kukutwa na miguu minne ya Twiga, vipande 2 vya ngozi…
Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Mallesa linalofanya safari kati ya Dar es Sal…
Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Mallesa linalofanya safari kati ya Dar es Salaam na Geita, na lori lililokuwa limebeba vifaa mbalimbali vya ujenzi.…
Hamas: Msimamo mmoja wa Muqawama wa Palestina umeitenga zaidi Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema msimamo mmoja ulioidhinishwa na mirengo yote ya Muqawama wa Palestina kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani la kusitisha mapigano Gaza, umepelekea…
Serikali ya Tanzania yatakiwa itoe taarifa kuhusu aliko Polepole
Wanaharakati na mawakili nchini Tanzania wametoa wito kwa mamlaka za usalama nchini humo kutumia rasilimali zote kuhakikisha hali ya usalama wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole inafahamika na kuwekwa wazi kwa…
ICC yamtia hatiani kiongozi wa kwanza wa wanamgambo wa Darfur kwa uhalifu wa kivita
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC jana Jumatatu ilimtia hatiani kiongozi wa kwanza wa wanamgambo wa Janjaweed aliyepandishwa kizimbani akihusishwa na ukatili na jinai zilizofanyika katika jimbo la Darfur nchini…
Iran yaibuka ya 3 katika Mashindano ya Riadha ya Walemavu India
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemaliza katika nafasi ya tatu katika Duru ya 12 ya Mashindano ya Riadha ya Walemavu yaliyofanyika nchini India.
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UBUNIFU KWENYE SAMANI ….OKTOBA 07, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UBUNIFU KWENYE SAMANI ....OKTOBA 07, 2025
Kuona Kombe la Dunia 2026 gharama hizi hapa
Kama unataka kutazama mbashara Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika Marekani, Canada...
#HABARI: Baraza la Maaskofu wa Kitaifa wa Congo (CENCO) limelaani hukumu ya kifo iliyotolewa kwa Rais wa zamani Joseph Kabila na…
#HABARI: Baraza la Maaskofu wa Kitaifa wa Congo (CENCO) limelaani hukumu ya kifo iliyotolewa kwa Rais wa zamani Joseph Kabila na Mahakama Kuu ya Kijeshi ya Kinshasa. Wakielezea imani hiyo…
Sayyid Hassan Nasrullah; Tunu Adhimu ya Ulimwengu wa Kiislamu; Kumbukumbu ya kuuawa shahidi
Karibuni wasikilizaji wapendwa kutegea sikio kipindi hiki cha makala ya wiki tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutimia mwaka mmoja tangu kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
“Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa”, Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa, Sept 25
Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.
“Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa”, Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa (MAKALA YA WIKI)-EDITED
Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.
Turathi zinazoibwa na utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi, Sept 9
Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Redio Tehran katika Makala ya Wiki ambapo leo tutazungumzia jinai ya kiutamaduni inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuyakalia kwa mabavu maeneo ya kale…
M23 na serikali ya Kinshasa watarejea kwenye meza ya mazungumzo?
Wakati huu makabiliano yakiendelea kuripotiwa nchini DRC, suala ibuka ni iwapo awamu ya sita ya majadiliano kati ya kundi waasi AFC/M23 na serikali ya Kinshasa yatarejelewa juma hili jijini Doha…
Skudu Makudubela akoshwa na Doumbia wa Yanga, awataja Maema, Rushine De Reuck
Anko Nzala awataja Diarra, Sowah MSANII wa vichekesho nchini, Aman Nzala maarufu kama ‘Anko Nzala’ amesema japo ni shabiki wa Simba lialia, anafurahi kuonA video zake zinafuatiliwa hadi na watu…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 7, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 7, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Wanaakiolojia wagundua makaburi 60 ya miaka 2,200 Magharibi mwa Uturuki
"Katika makaburi, tulifunua hirizi nyingi, hirizi, na mawe yanayodhaniwa kuwa na sifa za uponyaji," mwanaakiolojia asema.
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: – PANTEV: 80% SIMBA BINGWA ATOA SABABU ZITAZOMBEBA
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: - PANTEV: 80% SIMBA BINGWA ATOA SABABU ZITAZOMBEBA
Kilichopelekea maandamano ya kuipinga Israel katika nchi za Ulaya kugeuka kuwa vuguvugu kubwa la umma barani humo
Maandamano makubwa ya wananchi wa mataifa ya Ulaya dhidi ya sera za utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza yangali yanaendelea.
#MEZAHURU: Kipi kinachangia kwenye maisha ya kizazi hiki, TABIA NYINGI ZA WAZAZI kutoendana na WATOTO wao kitabia.?
#MEZAHURU: Kipi kinachangia kwenye maisha ya kizazi hiki, TABIA NYINGI ZA WAZAZI kutoendana na WATOTO wao kitabia.?
Sumaye atoa mtazamo kusuasua vyama vya upinzani kwenye kampeni
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiingia siku ya 39 kesho, Jumanne Oktoba 7, 2025, Waziri Mkuu...
🔴KUMEKUCHA: MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI (COP 30) …OKTOBA 07, 2025
🔴KUMEKUCHA: MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI (COP 30) ...OKTOBA 07, 2025
HAMAD MOHAMED IBRAHIM: Anaomba urais aipe Zanzibar vinu vya nyuklia
United People’s Democratic Party (UPDP), ni chama kilichopata usajili wa kudumu Februari 4, 1993.
Mazungumzo ya Hamas na wapatanishi yaelezwa kuanza vyema
Wajumbe kutoka upande wa Hamas na Israel Jumanne hii wanaanendelea na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yalioanza jana nchini Misri kuhusu kumaliza vita vilivyotimiza miaka miwili huko Gaza.
Jenerali wa jeshi ateuliwa kuwa Waziri Mkuu nchini Madagascar
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, amemteua Jenerali wa jeshi Ruphin Fortunat Dimbisoa Zafisambo, kuwa Waziri Mkuu mpya, wakati huu kisiwa hicho kinachoendelea kukabiliwa na maandamano ya vijana. Imechapishwa: 07/10/2025 –…
🔴MAGAZETI: POLEPOLE AZUA SINTOFAHAMU- 07 OKTOBA 2025
🔴MAGAZETI: POLEPOLE AZUA SINTOFAHAMU- 07 OKTOBA 2025
Imetimia miaka miwili tangu shambulizi la Hamas la Oktoba 7
Waisrael wanajiandaa kuomboleza waliouawa, wakati taifa hilo linaadhimisha miaka miwili tangu shambulio la Hamas la Oktoba 7, ambalo liliingiza eneo hilo katika vita vya maangamizi
Duru ya kwanza ya mazungumzo ya Hamas yamalizika vyema
Duru ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Gaza kati ya Hamas na wapatanishi imekamilika "katika mazingira chanya", nchini Misri. Hayo ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vinavyohusishwa na serikali ya…