Habari kubwa za Magazeti leo Januari 2,2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Wananchi wa mtaa wa Saeni katika kata ya Misugusugu Kibaha mkoani Pwani wameiomba serikali kupitia Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kusimamisha uzalishaji wa viwanda vinavyotirisha maji taka yenye kemikali…
Dodoma: Tanzania has expressed its ambition to retain its position as a global leader in conservation following the acquisition of sophisticated technologies and transport equipment by the Tanzania Forest Services…
Shakei hataki tena urafiki 😅
Kisiwa cha Taiwan kimeongeza uwekezaji katika sekta ya ulinzi ikiwa ni hatua ya tahadhari dhidi ya mazoezi ya kijeshi yaliyofanywa na China kuzunguka kisiwa hicho. Je, bajeti hiyo mpya inalenga…
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imepongeza ulipaji kodi wa hiyari sambamba na sera za uchumi kuwa kiini cha muendelezo wa mafanikio ya kuvuka malengo la ukusanyaji wa kodi huku mamlaka…
Miongoni mwa fursa zilizojificha kwenye 'kero na kubezwa' ni ujasiriamali wa ukusanyaji na uzoaji wa takataka. Ndio, takataka ni fursa kwakuwa 'unawaondolea kero na hatari ya magonjwa' na ukitaka kuamini…
Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika ukumbi wa baa kwenye hoteli ya kifahari ya Crans-Montana iliyopo kwenye mji wa…
Baadhi ya abiria walionusurika kifo katika ajali iliyoua watu 10 usiku wa kuamkia Januari mosi, 2026 mkoani Morogoro wamesema ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na mwendokasi wa gari yao.…
Watu kumi wamefariki dunia na wengine 23 Kujeruhiwa kwenye ajali ilitoka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Maseyu, Kata ya Gwata Wilaya ya MorogoroBarabara kuu ya Morogoro Dar es…
Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Handeni mkoani Tanga zimeendelea kusababisha athari kwa wananchi wilayani humo baada ya idadi ya nyumba zilizoezuliwa na mvua hiyo inayoambatana na upepo mkali kuongezeka siku hadi…
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 01, 2026 - WATANZANIA WASHEREHEKEA KUINGIA MWAKA 2026
#LIVE:TAARIFA YA HBARI YA USIKU - 01/01/2026
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi kwa kukusanya Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Disemba 2025 pekee, ikiwa ni ufanisi wa asilimia 102.9 ya lengo lililowekwa. Kamishna Mkuu wa…
Taasisi ya Sisi Na Mama Organisation imetumia sikukuu ya kusherehekea Mwaka mpya wa 2026 kwa kufanya matendo ya Huruma kwa jamii kwa tutenbelea katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala na…
#HABARI: Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza umri wa miaka 96 ambapo ndugu na jamaa wamehudhuria hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika nyumbani…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA - JANUARI 01, 2026
Mwaka 2025 umeendelea kuwa kipindi muhimu katika historia ya uchumi wa dunia, ambapo mataifa...
#HABARI: Uongozi wa Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani umesimamisha uzalishaji katika kiwanda cha Fortune Paper kufuatia malalamiko kutoka kwa wakazi wa Kata ya Misugusugu. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya maji…
Ziara ya maofisa wa UN imefanyika baada ya kuuawa walinda amani, hivyo imewapa fursa kujionea...
Takriban watu 40 wanahofiwa kufariki dunia na wengine 100 wamejeruhiwa baada ya mlipuko kutokea...
Tanzania kwa sasa inajikuta katika kipindi cha kipekee cha kihistoria, ikiwa ni nchi pekee...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imetoa amri ikimwamuru Thadei Kweka, anayedaiwa kuwa raia wa...
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa hotuba ya kufunga mwaka 2025 iliyolenga...
KIKOSI cha Pamba Jiji kimerejea kambini kujifua tayari kwa ngwe iliyosalia na Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyosimamishwa tangu mapema Desemba mwaka jana kupisha…
Chama cha Waendeshaji Watalii Tanzania (Tato) kimezitaka taasisi, wawekezaji na wadau wa sekta...
Kutokana na kupanda kwa bei ya mchele na bidhaa nyingine jijini Mbeya, serikali wilayani humo...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imeishtumu Rwanda kwa kuwauwa raia wa kawaida 1,500, Mashariki mwa DRC tangu mapema mwezi Desemba mwaka 2025. Imechapishwa: 01/01/2026 – 14:35Imehaririwa: 01/01/2026 – 14:46 Dakika…
Ni mwaka wa uchaguzi. Hivyo ndivyo unavyoweza kuuelezea mwaka 2026 katika ulingo wa siasa za...
Wakati zikiandaliwa kanuni kuwabana wawekezaji kuwajibika kwa jamii (CSR) katika maeneo...
Watanzania wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili amani iendelee kudumishwa nchini...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuvuka lengo la makusanyo ya kodi katika robo ya...
ENGLAND: Klabu ya Chelsea imethibitisha kumfuta kazi kocha mkuu, Enzo Maresca, raia wa Italia. Taarifa ya Chelsea imeeleza kuwa uamuzi huo unatoa taswira mpya ya kuirudisha timu kwenye ushindani na…
Mbali na dereva wa lori kuhama njia na kugongana uso kwa uso na basi, ajali iliyosababisha vifo...
Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na taasisi nyingine za kimataifa mjini Geneva, Uswisi ametahadharisha kuwa hatua ya Marekani ya kuhalalisha vitisho dhidi ya vituo…
Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina imeripoti kuwa mwaka 2025 ulikuwa mwaka mbaya zaidi katika uga wa kibinadamu na idadi ya jamii ya watu huko Palstina kutokana na vita vya…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa wito huo likionya tabia ya kuendesha magari kwa fujo...
#HABARI: Mfuko wa Bodi ya Barabara mkoani Mtwara umetoa muda wa siku 14 kwa Mkandarasi Mshauri kuhakikisha barabara za michepuko zinapitika bila kero. Agizo hili limetolewa ili kupisha ujenzi wa…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thadaeus Ruwa'ichi amesema 2025...
Kampeni ya ‘Magift ya Mixx Pesa’ inaendelea kunogesha msimu huu wa mwisho wa mwaka kwa...
Kocha mpya wa Simba Steven Parker jana aliondoka na jeshi lake kwenda visiwani Zanzibar huku...
BUKOBA: Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Mhandisi Johnston Mtasingwa, amekabidhi jumla ya magodoro 20 kwa Kituo cha Vipaji cha Tyaido Academy kilichopo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba, mkoani…
Kiungo wa Azam FC, Himid Mao ametoboa siri ya ubora wake akisema unachangiwa na namna ambavyo...
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amefunga mwaka uliopita kwa bonanza lililojaa hamasa, burudani na matumaini mapya kwa vijana wa Iringa, akitumia…
Mchungaji Godfrey Malisa aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kufukuzwa...