DRC: Serikali yafuta agizo la kufuta leseni kwa wachimbaji wadogo wa madini Kolwezi
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Wizara ya madini imefuta kwa muda, marufuku iliyokuwa inatekelezwa baada ya kusitishwa kwa shughuli za usafishaji wa madini ya Shaba na Cobalt huko Kolwezi.Kabla…