Trump anataka mafuta ya Venezuela, Je, mpango wake utafanikiwa
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Donald Trump ameapa kuingia katika hifadhi ya mafuta ya Venezuela baada ya kumkamata Rais Nicolás Maduro na kusema Marekani "itaendesha" nchi hiyo hadi kipindi "salama" cha mpito.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo katika kikao cha dharura baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela tarehe 3 Januari mwaka huu, hatua iliyozua hofu…
Huko nchini Kenya katika kaunti ya Tana River, hali mbaya ya hewa na migogoro imesababisha takriban watu 140,000 kuyahama makazi yao. Upatikanaji wa huduma za afya nao umekuwa mgumu na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi (UNFPA), nchini Burundi, linaongeza juhudi zake kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 05, 2025
Arusha. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kuendana na kasi ya maendeleo ya sayansi na...
Mamlaka ya Sudan kwa muda mrefu imekuwa ikiilaumu RSF kwa kufanya mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya miundombinu ya wananchi.
Iran, kwa mara nyingine tena, imekosoa kitendo cha Marekani cha kumteka nyara Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe, Cilia Flore, na kueleza kuwa waliotekwa nyara lazima waachiwe huru kama…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kwamba maandamano ya watu lazima yasikilizwe, huku akionya kwamba watu binafsi wanaohusishwa na mashirika ya ujasusi ya kigeni wanaotaka kuteka nyara…
KIGOMA: THE Tanzanian Police, through the Community Policing Commission, have conducted a one-day training program for Community Policing Officers from regional, unit, and district levels, aimed at building capacity, strengthening…
Katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2025, kiwanda hicho kimenunua dhahabu ghafi kilo 2,995...
Pemba. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 05, 2025
Jeshi la Sudan limetangaza leo Jumatatu kwamba limedungua ndege zisizo na rubani za waasi wa Rapid Support Forces (RSF) zilizojaribu kushambulia bwawa na makao makuu ya kambi mbili za kijeshi,…
Ameonekana kwa muda mrefu kama kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, Flores pia amekabiliwa na tuhuma za ufisadi na upendeleo wa kifamilia.
Mtoa huduma wa intaneti ya setilaiti, Starlink, amesitisha upatikanaji wa mtandao wake wa...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema operesheni ya kijeshi nchini Colombia “inaonekana kuwa wazo zuri,” akidai kuwa nchi hiyo inaendeshwa na “mtu mgonjwa.”
Burkina Faso ilikumbwa na hali ya wasiwasi siku za Jumamosi na Jumapili ya jana, kufuatia ripoti za kuwepo jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim…
Klabu ya Manchester United imemfuta kazi kocha wake Ruben Amorim, kutokana na muendelezo wa...
Mradi huo upo chini ya wanahisa Kampuni ya Total Energy yenye hisa asilimia 62, Shirika la...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Abdulaziz Jaad, amesema kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na jeshi la Marekani ni kitendo kinachokiuka sheria za kimataifa. Jaad amesema operesheni hiyo haikufuata…
Nawanda bado haamini kuwa Salma sio wake 🥹
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 05/01/2025
Kesi ya mauaji ya Rhoda Mobe (42) aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Burunga Wilaya ya Serengeti...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 05, 2025
Serikali iko katika hatua za mwisho kukamilisha Mfumo wa Kidijitali wa Utoaji wa Taarifa na Maoni kuhusu maafa yanayoweza kutokea, pamoja na namna ya kuyakabili kwa haraka. Mfumo huo utakuwa…
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), inatarajia kujenga vyuo 65 zaidi ili kutoa fursa kwa Vlvijana wengi nchini kupata elimu ya ufundi. Akizungumza katika Maonesho ya Kimataifa…
Utambulisho wa @msnajmapaul, Ingizo jipya Power Breakfast ya @cloudsfmtz #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Kanisa la Tanzania Methodist (TMC) limetoa mkono wa pole kwa washirika wa kanisa hilo waliopata...
Rodríguez alimrejea Rais wa Marekani, Donald Trump, akisema yeye, wananchi wa Venezuela na...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, amezungumzia matukio yaliyotokea mwaka 2025 na kumpongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kulinda tunu ya amani huku…
Rais Tinubu pia aliagiza uokozi wa haraka wa wote waliotekwa wakati wa shambulio hilo na kuagiza mashirika ya usalama kuimarisha ulinzi katika maeneo yanayokabiliwa na hatari.
Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake inaandaa sheria mpya itakayotoa adhabu ya kifo kwa makosa yanayohusiana na biashara ya dawa za kulevya.
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi zaidi ya 300 ambao vitambulisho vyao vimeshatengenezwa na havijachukuliwa kuharakisha kuvichukua. Rai hiyo ya NIDA imetolewa sambamba na kuwakumbusha wananchi hao kuwa…
Rais wa Marekani Donald Trump amesifia operesheni ya nchi yake ya kumteka Rais wa venezuela na mkewe, lakini hatua hii imepokelewa kwa shutuma na tahadhari kutoka jamii ya kimataifa kama…
@veronicasimulizi akieleza anavyopata Simulizi zake. Ni wakati wako kuwa karibu na redio ya watu, @cloudsfmtz kuzipata Simulizi kunako Jahazi HD. #Clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Serikali imetoa onyo kwa watendaji wanaosimamia mradi wa soko la kimataifa la dagaa lililopo Chato maarufu kama “Chato Beach” kukaa mbali za hila na ubadhirifu wakati wa ugawaji wa vizimba…
WAKIJIANDAA kwa mechi ya mwisho kuhitimisha kundi A ambayo imebeba hatma ya kila mmoja wao, nyota wa URA, Mulikyi Hudu ameitumia salamu Azam FC kwa kusema, ijiandae kupokea maumivu na…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembe, amesema mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Uganda hadi Tanzania umezalisha zaidi ya ajira 10,000 pamoja na…
LEO Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada ya dakika tisini, tunaweza kushuhudia jambo kubwa sana.
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Ahmed Abbas amewaagiza wakuu wa wilaya zote katika mkoa huo kuwachukulia hatua wazazi watakaoshindwa kupeleka watoto shule kupata elimu. Agizo hilo amelitoa nyakati katika ziara…
(@veronicasimulizi) leo hii amekuwa tiba ya upweke ameungana na Timu ya Jahazi HD. Zile Simulizi zote zitawekwa Ki-HD pale Jahazini. #Clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Weka comment yako hapo chini ili uwe sehemu ya mjadala siku ya Jumatano ya Januari 7, 2026 kuanzia saa 2 : 00 asubuhi kwenye kipindi cha Morning Trumpet. #AzamTVUpdates #MorningTrumpet
Serikali ya Cuba imetangaza kwamba raia wake 32 waliuawa wakati wa shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, ambapo askari wa kikosi maalumu wa Marekani walimteka nyara Rais…
#HABARI: Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kulinda tunu ya amani na mshikamano wa taifa, huku…
Maduro alikamatwa wakati wa uvamizi wa kijeshi uliofanyika Jumamosi mjini Caracas, tukio...
KABLA ya jana jioni Yanga haijacheza dhidi ya KVZ, kuna mastaa wawili katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 walikuwa wamefunika kwa kubeba tuzo nyingi.
DAR ES SALAAM: Klabu ya Singida Black Stars imesema haina pingamizi lolote kwa mamlaka husika endapo Miguel Gamondi atateuliwa kuwa kocha wa kudumu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…