HRW: Mwitikio wa kimataifa dhidi ya usaidizi wa Rwanda kwa M23 bado hautoshi
Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekaribisha vikwazo vilivyotangazwa Machi 2 na Marekani dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wanne wakuu wa kijeshi kwa…