Baghaei: Vita vilivyotwishwa Iran vimelenga utambulisho wa Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Vita vya kulazimishwa vya Wamarekani na Wazayuni dhidi ya Iran vimelenga uwepo na utambulisho wa Kiirani.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Vita vya kulazimishwa vya Wamarekani na Wazayuni dhidi ya Iran vimelenga uwepo na utambulisho wa Kiirani.
Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa nchi hiyo haitadanganywa tena na Marekani kuhusu vita dhidi ya Iran.
Maandamano ya kulaani hujuma za kijeshi za Washington na Tel Aviv dhidi ya Iran yangali yanaendelea katika pembe mbalimbali za dunia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam ndiko ulikopigwa mchezo wa dabi ya Mzizima iliozikutanisha Azam FC na Simba katika kampeni ya kusaka taji la Ubingwa wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa vitisho vya Marekani vya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran ni kukiri wazi nia ya kutenda uhalifu wa kivita.
MZIZIMA DERBY: Nyota wa mchezo Aishi Salum Manula akieleza namna mchezo ulivyokuwa... FT: Azam FC 0-0 Simba SC Imeandaliwa na @rajjmsangi #MzizimaDerby (Feed generated with FetchRSS)
MZIZIMA DERBY: ''Simba walikuwa bora mwanzo kutuzidi'', Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge akizungumzia dakika 90 za mchezo uliomalizika dhidi ya Simba SC katika Dimba la Azam Complex. Amesema licha…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo ametangaza neema kwa wakulima wa Idofi, Wilaya ya Makambako ambapo Serikali itatekeleza mradi mkubwa wa umwagiliaji utakaohusisha zaidi ya ekari 1.300. Amesema Serikali kupitia Tume…
Umeyapokea je matokeo ya leo?? (Feed generated with FetchRSS)
Fikiria hali hii: mke anapata mshahara mkubwa kuliko mume. Je, hiyo ni baraka kwa familia au...
Dakika chache za mwanzo mnapokutana na mwenza wako baada ya kutengana kwa muda, hata kama si...
MUDA mchache baada ya leo Aprili 5, 2026 Singida Black Stars kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Walima Alizeti hao wamevunja…
Jeddah: Saudia, the national flag carrier of Saudi Arabia, has introduced Google’s Find Hub share item location feature to support the recovery of lost or delayed baggage, offering guests an…
PAMOJA na Tanzania Prisons kushika nafasi ya pili kutoka mkiani katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 13, nyota wa timu hiyo, bado wana imani ya kusalia msimu…
ALICHOKIFANYA kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' msimu wa 2023-2024 na 2024-2025 na muendelezo wake msimu huu, kimewaibua baadhi ya mastaa wa zamani kuona anaweza akaandika rekodi…
Kuna visa vinavyozidi kuongezeka ambapo wanandoa hutoana roho kisa mali. Japo tutakachojadili...
ACHANA na matokeo ya ushindi wa 3-2 waliopupata Mbeya City dhidi ya KMC, uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya umesema timu hiyo itarejesha makali yake licha ya kutoanza vyema…
BAADA ya kufanya kweli katika mchezo uliopita, Dodoma Jiji imesema kwa sasa inafikiria jinsi ya kuvuka mtego dhidi ya Simba ili kujitabiria makubwa na historia mpya katika Kombe la Shirikisho…
ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu,…
Fedha za malipo kwa wanafunzi wa halaiki walioshiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru...
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wa waliohusika na mauaji katika Wilaya za Malinyi, Kilombero na Kilosa Mkoani Morogoro. Akithibitisha kutokea kwa Matukio hayo Kamanda wa…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Idara ya upelelezi wa kodi kanda ya nyanda za juu kusini, Imewafikisha mahakamani Watu wawili kwa tuhuma za kukiuka sheria za ushuru wa bidhaa…
Ilianza kama siku nyingine za kawaida katika soko la Simu 2000 jijini Dar es Salaam, kelele za...
Iran imesema imeangusha ndege mbili za kivita za Marekani, aina ya C-130 na helikopta mbili katika angaa lake, wakati huu vita vikiendelea. Imechapishwa: 05/04/2026 – 15:41Imehaririwa: 05/04/2026 – 15:48 Dakika…
Wakiristo kote duniani, wanaadhimisha sikukuu ya Pasaka, kukumbuka kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wao Yesu Kristo, wakati huu dunia ikishuhudia vita kwenye nchi za Mashariki ya Kati. Imechapishwa: 05/04/2026…
Katika jitihada za kulinda afya ya umma na kuinua viwango vya usalama wa chakula, sekta ya...
KUANZIA sasa, Black Sailors inahitaji pointi tisa tu ili msimu ujao ishiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) baada ya msimu huu kuwa na mwendo mzuri katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda…
CHIPUKIZI, Mwenge, Wawi Stars, Azimio, Machomane na Chakechake, zimefuzu robo fainali ya Kombe la FA Kanda ya Pemba, baada ya kufanya vizuri hatua ya 16 bora.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa 25 kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji ya Henry Shubati Myuwanga ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Wema Mkoani…
KINARA wa mabao Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, kutoka Black Sailors, Mansour Omar Kombo 'Vardy' amesema presha ya mashabiki ndiyo sababu kubwa inayomfanya ashindwe kutupia mabao kwenye mechi…
LICHA ya timu ya Taifa ya Kabaddi Wanawake Zanzibar kushiriki mashindano ya kimataifa yaliyofanyika Bangladesh na India kutwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo, lakini bado wanawake kisiwani hapa…
Watu watano wamefariki dunia katika matukio matatu tofauti yaliyotokea jana na leo, Aprili 5...
Watoto zaidi ya 500 wanaolelewa katika vituo na makao yaliyopo mkoani Dar es Salaam wamepewa mahitaji muhimu kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Pasaka. Akikabidhi mahitaji hayo kwa viongozi waliowakilisha…
DAR ES SALAAM: AS part of its ongoing commitment to strengthening quality education and empowering educators within the communities, Rotary Club of Dar es Salaam through its Gift of Education…
#HABARI: Katika kuendeleza Ushirikiano kati ya Tanzania, Zambia na China ulioanzishwa na viongozi wa nchi hizo, akiwemo Rais wa Awamu ya Kwanza na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,…
#HABARI: Kufuatia sintofahamu inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini juu ya baadhi ya wanaume kudai kushikwa bega na kuchukuliwa nyeti zao kwa mazingira tatanishi, matukio ambayo yanahusishwa na imani za kishirikina,…
Dawa hizo ni pamoja na morphine, fentanyl na tramadol Hutumika kupunguza maumivu lakini wengine hugeuza za kulevya Matumizi kupindukia husababisha vifo na magonjwa Mapendekezo ni pamoja na kila aliyeathirika vibaya…
Uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni ya mtandao wa Jamiiforums kwa...
Viongozi wa dini nchini wametoa mahubiri ya Pasaka wakitaka ukweli, haki, amani na umoja.
SERIKALI ya Tanzania imeipongeza timu ya Dar City kwa kuweka historia ya kufuzu hatua ya nane bora (mtoano) ya mashindano ya mpira wa kikapu ya Africa (Basketball Africa League).
TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Queens umetokana na mabadiliko makubwa ya kiufundi na kisaikolojia kwa wachezaji wake.
HADI raundi ya 12 mshambuliaji wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga anaongoza kwenye msimamo wa wafungaji akiwa na mabao 18, huku akiacha maswali kama ataivunja rekodi ya Aisha Masaka
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametangaza mkakati mpya wa Serikali wa kuanzisha mfumo wa...
#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha Ziwa Nyasa, kufurika na maji kufunika gati la Bandari ya Mbambabay, hatua iliyosababisha meli kushindwa kutia nanga na hivyo safari za meli za ndani na…
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema hakuna mechi rahisi kwenye ligi hiyo kwani kila timu inapambana zaidi inapokutana nayo.
🔴TAMASHA LA MICHEZO: MASHINDANO YA TAIFA YA KUOGELEA...APRILI 5, 2026 (Feed generated with FetchRSS)