DRC: Kalemie inaendelea kupokea watu waliokimbia vita kutoka mikoa ya Kivu
Vita kati ya jeshi la Kongo na waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda inaendelea kusababisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao mashariki mwa DRC. Huko Kalemie, zaidi ya…