Oryx conducts clean-up exercise at Feri Fish Market, donates sanitation equipment
DAR ES SALAAM: THE Oryx Gas has conducted a clean-up exercise at the International Feri Fish Market in Dar es Salaam and donated various sanitation equipment to traders as part…
Kocha Serengeti Boys: Tupeni nafasi muone kazi
KOCHA Mkuu wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, amesema ni wakati sasa kwa wadau wa soka nchini kuendelea kuwaamini makocha wazawa kutokana na uwezo mkubwa wanaouonyesha katika timu za taifa na…
Vita vya Ebola Laikipia: Seneta Apendekeza Wagonjwa Wajengewe Kituo cha Karantini Ikulu
Tangazo la serikali ya Marekani kwamba imekubaliana na serikali ya Ruto kuanzisha kituo cha karantini ya Ebola nchini Kenya lilizua hasira na ghadhabu.
Ebola: WHO na Afrika CDC watangaza mpango wa dola Milioni 518, Juni-Novemba
Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) vimetangaza mnamo Juni 5, 2026, uzinduzi wa mpango wa pamoja wa dola milioni 518 (euro milioni…
Temeke,ever green plant over 500 trees for world environment week
DAR ES SALAAM: TEMEKE District, in collaboration with Ever Green Landscaping Co. Ltd, has planted more than 500 trees as part of the 2026 World Environment Week commemorations, aimed at…
World Environment Day decorates TADB for backing climate-smart agriculture
DODOMA: THE Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) has been recognised for its contribution to climate-smart agriculture and environmental sustainability after receiving a prestigious award during the 2026 World Environment Day…
Aina mpya ya ugonjwa wa kisukari unaowapasua vichwa wataalamu
Madaktari walimwambia Noella alikuwa na kisukari aina ya 5, ambayo huwaathiri vijana hususan wale walio na uzani mdogo sana.
Ma-dj ni hawa tu
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa orodha ya Manju Muziki (DJ's) waliosajiliwa rasmi na...
Temeke, Ever Green wapanda miti 500 maadhimisho wiki ya mazingira duniani
Wilaya ya Temeke kwa kushirikiana na Kampuni ya Ever Green Landscaping Co. Ltd imepanda miti...
Nigeria kuwaondoa raia wake zaidi ya Elfu Moja nchini Afrika Kusini
Nigeria inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake zaidi ya Elfu 1 kutoka Afrika Kusini ,wakati huu machafuko na mashambulizi yanayohusishwa na chuki dhidi ya wageni na wenyeji ,yakiendelea. Imechapishwa: 05/06/2026 –…
Youth called upon to champion drug prevention efforts in Eastern Africa
ARUSHA: YOUNG people across Eastern Africa have been urged to take a leading role in addressing the region’s growing drug challenge through prevention, education and active participation in policy discussions.…
Kihongosi: Tukemee ukatili, tulinde watoto
ARUSHA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kusimama kidete katika kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya watoto pamoja na…
Alichosema Dk Nchimbi akimwakilisha Rais Samia Siku ya Mazingira
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ametaka utoaji wa vibali vya ujenzi nchini uambatane na...
CCM: Msikubali kununuliwa
ARUSHA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kutolukubali kununuliwa au kutumiwa na watu kwa maslahi yao binafsi, kikisitiza kuwa kitendo cha kununuliwa ni kudharauliwa. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…
Shirika lapanda miti utunzaji mazingira
SHINYANGA: SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Tanganyika Christian Refugee Service (TCRS) limeweka mkakati wa utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti na kutoa elimu ya matumizi ya jiko banifu kwa lengo…
When golf meets the Serengeti Breaking the ice at golf course
THE official launch of the new Serengeti National Park Golf Course, nestled at Fort Ikoma within the Wildlife Management Area border ing Serengeti National Park, was sup posed to be…
Tanzania, Russia broaden ties in mining sector through expanding geological exploration, technology transfer
MOSCOW: TANZANIA and Russia have moved to strengthen cooperation in the mining sector, with a focus on expanding geological exploration, technology transfer and capacity building to unlock untapped mineral potential.…
Nearly 50 people die of thirst in Sahara desert after lorry breaks down
NORTHEN NIGER: At least 49 people have died of thirst in a remote part of the Sahara desert in northern Niger after the truck carrying them broke down, authorities said.…
Mama wa Nairobi Ahofia Usalama wa Mwanawe Shuleni Anayeitwa William Ruto
Mama aliyejaa hofu anaomba ulinzi kwa mwanawe, William Ruto, anayedhulumiwa shuleni kwa sababu ya jina lake. Anahofia maisha yao kufuatia joto la kisiasa nchini.
CCM yatahadharisha wananchi kumaliza kesi za ubakaji, ulawiti majumbani
Kimesema Serikali imeweka sheria nzuri, lakini baadhi ya wazazi na walezi wanaficha wahalifu wa...
‘World-first’ vaccine designed by artificial intelligence
ENGLAND: Artificial intelligence has been used to develop a “fundamentally new” type of vaccine that could protect against large swathes of viruses and prevent pandemics, say researchers. The team at…
Top 100 innovators advance in ‘Vijana Uchumi Challenge 2026’
DODOMA: A total of 100 young innovators have advanced to the next stage of the Vijana Uchumi Challenge 2026, a competition aimed at generating ideas to strengthen Tanzania’s economy against…
DAS Ileje atoa miezi miwili kila kaya kuwa na choo bora
Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe inatarajia kuanza kutekeleza sheria na kanuni...
Dakika 90 za kihistoria kwa Geita Gold kurejea Ligi Kuu
BAADA ya Geita Gold kudumu katika Ligi ya Championship kwa siku 740, ambazo ni sawa na miaka miwili na siku 10 au miezi 24 na siku 10, hatimaye kikosi hicho…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimetoa siku moja kwa Serikali kufungua vituo vya ununuzi wa pamba ambavyo hav…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimetoa siku moja kwa Serikali kufungua vituo vya ununuzi wa pamba ambavyo havijafunguliwa hadi sasa ili kuweka mazingira wezeshi ya Mkulima kuuza…
🔴MEZA HURU: ..JUNI 05, 2026
🔴MEZA HURU: ..JUNI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Ripoti ya UN yasema hatua za pamoja za kimataifa zinahitajika ili kulinda na kuhifadhi baharí
Katika vyumba vilivyopambwa kwa mbao kwenye Klabu ya Wavumbuzi ya New York, nchini Marekani yenye historia ndefu, ambapo picha za wavumbuzi mashuhuri zimepangwa ukutani, wanadiplomasia, wanasayansi na watetezi wa bahari…
UN yaadhimisha siku ya walinda amani, Guterres awatambua mashujaa wa amani
Umoja wa Mataifa leo umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani kwa mwaka 2026, huku Katibu Mkuu wake António Guterres akiongoza hafla ya kuwaenzi walinda amani waliotoa maisha yao wakitekeleza…
UNHCR: Maelfu wa watu wako hatarini kutokana na mapigano na mafuriko Sudan Kusini
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeonya kuhusu kuzorota kwa hali ya usalama katika jimbo la Jonglei huko mashariki mwa Sudan Kusini, ambapo mamia ya maelfu ya…
Haiti: Janga la watu kuyakimbia makazi yao lafikia milioni na nusu huku ghasia zikiongezeka
Takribani watu milioni 1.5 wamekimbia makazi yao nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia, kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM).
Wananchi DRC watishia wahudumu wa afya waliotaka kusimamia mazishi ya aliyekufa kwa Ebola
Kutoka Bunia, Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hii leo tunasikia kisa cha wanajamii waliotishia kuwaita waasi kukabili wahudumu wa afya waliotaka kusimamia mazishi salama ya yenye…
Mkuu wa UN: Dunia iko hatarini kutokana na janga la tabianchi
Dalili za janga la mazingira zinaonekana kila mahali huku sayari ikielekea kuvuka kiwango hatari cha ongezeko la joto cha nyuzi joto 1.5C.Hilo ni onyo lililotolewa leo na Katibu Mkuu wa…
Jamii yaongoza uhifadhi wa Ziwa Victoria jijini Mwanza nchini Tanzania
Ikiwa leo dunia inaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 5 Juni ya kila mwaka, wakazi wa kata ya Luchelele iliyopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, kaskazini-Magharibi mwa Tanzania,…
Tanzania hails World Bank support in major economic shocks, geopolitical tensions, climate-related challenges
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has reaffirmed the strong partnership between Tanzania and the World Bank, citing the institution’s significant contribution to national development through concessional loans and grants…
Tanzania, UK in talks aimed to deepen their long-standing ties in key economic, social sectors
DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has held talks with the British Ambassador to Tanzania, Marianne Young, in efforts to strengthen diplomatic and development cooperation between the two countries. The discussions,…
Serikali yahimiza utunzaji miti baada ya kuipanda
Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Dodoma anayeshughulikia Sekta ya Uchumi na Uzalishaji Mali...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JUNI 05, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JUNI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Experts advise Tanzania to increase investment in quality seed production, agricultural research to achieve higher productivity
MOROGORO: TANZANIA must increase investment in quality seed production, agricultural research, and innovation if it is to achieve higher farm productivity, strengthen food security, and build a more resilient agricultural…
Tanzania takes extra precautions in the borders of countries affected by Ebola
MOROGORO: THE Ministry of Health through the Emergency and Disasters Unit continues to implement interventions to strengthen preparedness and capacity to respond to disasters and other public health emergencies, including…
Mashambulizi ya makombora na ‘hatari inayowakabili viongozi wa Iran’
Siku za hivi karibuni lugha ya vita na vitisho imeonekana kushamiri katika taarifa za maafisa wa Iran kuliko kuzingatia diplomasia na ''mazungumzo".
Trust the process, it will pay off in AFCON 2027
DAR ES SALAAM: THERE are moments in football when results matter less than the message behind them. Tanzania’s Under-17 national football team, the Serengeti Boys, delivered one such message during…
Dili iliyokufa – 11
ILIPOISHIA “Kutoka siku hiyo Sharifa akaajiriwa na Wakwetu. Alitakiwa kuanza kazi siku ile ile. Baada ya kufanya kazi kwa miezi mitatu, Wakwetu alibadili mawazo yake. Siku moja alimwita ofisini kwake…
Burna Boy, Shakira sasa rasmi kukiwasha Kombe la Dunia
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy ameendelea kunga’ara baada ya kuthibitishwa rasmi...
Trump sasa adai atahisi “heshima” kukutana na Kiongozi mpya wa Iran
Rais wa Marekani Donald Trump amesema angehisi “heshima” kukutana na Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, Kiongozi mpya aliyechaguliwa wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, iwapo makubaliano yatafikiwa ya kumaliza vita kati…
Hizbullah yashambulia vikosi vamizi vya Israel kusini mwa Lebanon
Wapiganaji wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wametekeleza a wimbi la mashambulizi yaliyoratibiwa siku ya Alhamisi, wakilenga ngome kadhaa za kijeshi za Israel na kusababisha hasara kubwa kwa wanajeshi hao…
Gachagua Achochea Hasira: Kauli ya Rigathi Kuhusu Kituo cha Ebola Mlima Kenya Yamuweka Pabaya
DP wa zamani Rigathi Gachagua anadai kuwa karantini ya Ebola Laikipia ni tishio kwa jamii ya Mlima Kenya, jambo lililosababisha ukosoaji wa ubaguzi wa kikabila
TAWOMA gains stronghold in value addition as women fully engaged in mineral value chain
DODOMA: A major milestone has been recorded in Tanzania’s mining sector after women stakeholders signed a new agreement aimed at strengthening value addition and expanding women’s participation across the mineral…
Iran yaikosoa Israel na Marekani kwa kuua watoto vitani
Iran imekosoa vikali Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua watoto wasio na hatia katika nchi mbalimbali kupitia uhalifu wa kivita na uvamizi wa kijeshi.
Iran yakosoa Israel na Marekani kwa kuua watoto vitani
Iran imekosoa vikali Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua watoto wasio na hatia katika nchi mbalimbali kupitia uhalifu wa kivita na uvamizi wa kijeshi.