Ebola: Uganda yakashifu vikwazo vya usafiri vilivyotangzwa dhidi yake
Uganda imeshtumu vikwazo vya safari ya angaa vilivyowekwa na mataifa kadhaa ikiwemo Marekani, kufuatia maambukizi ya virusi vya Ebola, ambavyo vimeingia nchini humo kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia…