Iran yalaani vikali shambulio la polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa Mpalestina
Iran imelaani vikali shambulio la kikatili lililofanywa na polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa mwanamume Mpalestina, ikitoa wito kwa serikali ya Uholanzi kuchunguza tukio hilo na kuwawajibisha waliohusika.