Shambulio kaskazini magharibi mwa Nigeria: Watu 20 wameuawa, kulingana na ripoti ya usalama
Shambulio lililofanywa na wanajihadi, wanaoshukiwa kuwa wa kundi lililolengwa na mashambulizi ya anga ya Marekani mwezi Desemba mwaka uliyopita, limesababisha vifo vya watu 20 kaskazini magharibi mwa Nigeria, kulingana na…