Kongo yashawishi mauaji ya halaiki yatambuliwe mashariki
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezindua kampeni katika Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne ikitaka kutambuliwa kimataifa kwa “mauaji ya halaiki” dhidi ya watu wa mashariki mwa Kongo. Waziri anayeshughulikia…