Sekta binafsi kubeba miradi mikubwa ya maendeleo
DODOMA:Serikali imepanga kuongeza ushiriki wa sekta binafsi katika kugharamia na kutekeleza miradi ya maendeleo, ikisema hatua hiyo ni muhimu katika kuharakisha ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ajira nchini.…