NPS Yavunja ukimya kuhusu OCS wa Central Police, yaelezea kwa nini hatafikishwa mahakamani
Inspekta Mkuu Dishen Angoya alikamatwa kwa madai ya kuwaachilia huru washukiwa 64 wa maandamano kuhusu bei ya mafuta; uchunguzi unaendelea ila afya yake inatia hofu.