🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA – MEI 19, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA - MEI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA, WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI BARABARA - MEI 19, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Nchini Sudan, Abu Lu Lu, kamanda mkuu wa vikosi vya wanamgambo wa RSF, ambaye alipewa jina la utani la mchinjaji wa El-Fasher, amerudi mstari wa mbele. Kamanda huyu wa FSR…
NYUMA ya pazia alichokifanya msanii wa vichekesho nchini, Aman Nzala ‘Anko Nzala’ kumshawishi mwekezaji na rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kufanya naye kazi, chanzo…
NYUMA ya pazia alichokifanya msanii wa vichekesho nchini, Aman Nzala ‘Anko Nzala’ kumshawishi mwekezaji na rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ kufanya naye kazi, chanzo…
#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu yetu”. Vijana wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali katika kujikwamua kiuchumi na…
Nchini DRC, visa vya kwanza vilivyorekodiwa vya Ebola Bundibugyo huko Ituri vilianza Aprili 15, 2026. Mlipuko wa ugonjwa huo haukuthibitishwa rasmi hadi Mei 14. Kulingana na vyanzo mbalimbali, kuchelewa huku…
Nyota wa zamani wa Manchestsr United na England, Rio Ferdinand jana alianza rasmi ziara yake nchini kwa mapokezi makubwa huku akitoa ahadi ya kuhakikisha analisaidia soka la Tanzania kupiga hatua.
FISTON Kalala Mayele kama ulivyosikia amechaguliwa kuwa kwenye kikosi cha timu ya taifa lake DR Congo kinachokwenda kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026.
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa katika kundi L la kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 zitakazofanyika hapa nchini kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.
“…Serikali ilitoa ahadi ndani ya Bunge kupitia kwa Waziri aliyepita Dkt. Tax kwamba kuanzia mwezi Julai, Maveteran wa vita ya Kagera ambao hawapati posho, wataanza kulipwa rasmi posho na Serikali…,”…
Kennedy Kaunda, kigogo wa sekta ya matatu alijitokeza kuwapinga Mawaziri Wandayi na Chirchir katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu mgomo wa gharama ya mafuta.
DODOMA; WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuiongezea wizara hiyo Sh bilioni sita kwa ajili ya kulipa kifuta jasho na kifuta machozi…
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema mechi dhidi ya Simba ni wa malengo kwa timu hiyo, huku akitaja mkakati maalumu wa kumdhibiti, Clatous Chama ambaye amekuwa gumzo kwenye…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango wa kufanya mapitio ya sheria zinazohusiana na uhifadhi kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya maeneo ya hifadhi na jamii zinazozunguka…
Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya Sh4.3 trilioni kwa...
WAKALA wa Vipimo (WMA) umesisitiza kuendelea kufanya ukaguzi wa matumizi ya vipimo sahihi kwenye maeneo ya uzalishaji, maghala yanayouza bidhaa kwa ujumla na masoko ili kukuza uchumi imara, jumuishi na…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Mei 25, 2026 Jamhuri itamsomea hoja za awali (Ph)...
Serikali mkoani Morogoro, imeanza utekelezaji wa mkakati wa kupanda miti milioni mbili ya...
#HABARI: Taharuki imeibuka katika Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro baada ya kijana mmoja Sadiki Mrisho maarufu kama Kipanya, kudaiwa kufariki dunia kwa kuchomwa moto, nduguze…
#HABARI: Serikali imeshauriwa kuwekeza nguvu kwenye kutunga na kusimamia sera rafiki zitakazowezesha ubunifu na utengenezaji wa Mifumo ya akili Mnemba (AI) itakayoendana na mazingira ya Tanzania ili kuchagiza uchumi wa…
Wakulima wa zao la kakao wilayani Muheza wameeleza namna mfumo wa stakabadhi ghalani...
Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kwamba mkono wa chuma wa vikosi vya jeshi na taifa thabiti la Iran vitailazimisha Marekani kurudi nyuma…
Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za...
Uganda imeanzisha udhibiti wa mipaka kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebola. Wafanyakazi wa afya nchini humo tayari wameanza kupima halijoto ya watu huku wakiwasaidia kunawa mikono yao karibu na…
Polisi wa San Diego huko California nchini Marekani wametangaza kwamba watu watano wameuawa katika shambulio lililolenga kituo cha Kiislamu cha mji huo, wakiwemo washambuliaji wawili.
Kampuni ya iTrust Finance Limited imezindua hatifungani yake ya kwanza ya Sh100 bilioni kwa...
Mmiliki wa kiwanda hicho ni raia wa China, Bhaozang Ge (50), alikuwa anaishi ndani ya kiwanda...
Dereva wa Narok alitumia bango lenye maneno “One Term" kupita kizuizi cha barabarani kwa usalama huku waandamanaji wakimshangilia kwenye video iliyotamba mtandaoni
Dereva wa Narok alitumia bango lenye maneno “One Term" kupita kizuizi cha barabarani kwa usalama huku waandamanaji wakimshangilia kwenye video iliyotamba mtandaoni
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana CMSA, imezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ya uwekezaji wa hisa kupitia hatifungani ambazo zinatolewa na taasisi hizo kufuata muongozo…
DAR ES SALAAM: THE Capital Markets and Securities Authority (CMSA) has urged financial institutions offering investment services through bonds to comply with regulatory guidelines issued by the authority and the…
Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 halikuenda kikamilifu kwa Tanzania, lakini timu hiyo haikudhihirika vibaya hata kidogo. Walionyesha heshima kubwa dhidi ya baadhi ya wapinzani wakali zaidi barani Afrika, wakionesha…
Hassan Omar wa UDA alitishia kukamatwa kwa aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua kutokana na maandamano ya kupinga matumizi ya mafuta, akitaja uchochezi.
Mahakama ya Rufani nchini imetupilia mbali rufaa ya Wakili Steven Cleophace aliyekuwa akipinga...
Wajasiriamali 320 wa chakula wamepatiwa mafunzo ya biashara pamoja na majiko banifu...
Katika maeneo mengi ya pwani ya Kenya, wanawake na wasichana bado wanapambana na changamoto za mila, ukosefu wa elimu, ndoa za mapema na kunyimwa haki za urithi.
Kila tarehe 19 Mei dunia inaadhimisha Siku ya kimataifa ya haki kwenye michezo au World Fair Play Day, siku hii maalum ilianzishwa na Umoja wa Mataifa lengo likiwa ni kuhimiza…
Chanjo ya Ebola ya Zaire penginepo miezi kadhaa ijayo Jamii ndio yenye ufunguo wa kudhibiti maambukizi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Biashara UNCTAD, limeonya kuwa uchumi wa dunia unakabiliwa na changamoto mpya kutokana na kuongezeka kwa misukosuko ya biashara, chakula na fedha duniani.
SINGIDA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kujenga kiwanda kipya na uwekaji mitambo ya kisasa kwa ajili ya kuchakata mazao ya nyuki ili kuwezesha kukidhi mahitaji ya soko…
Licha ya kusifika na wengi kwa uandishi mzuri na kutoa nyimbo kali tena mfululizo, bado kuna...
Wamiliki wa Matatu wakomesha mgomo huku kukiwa na mazungumzo na serikali; maelezo muhimu yanatoka katika mkutano na wanahabari na CS Kipchumba Murkomen.
Malalamiko ya wabunge kuhusu ratiba ya vikao vya madiwani kwa halmashauri za majiji, manispaa...
MOROGORO: Stakeholders in skills development in Tanzania have said that strengthening the apprenticeship system in line with international standards set by the International Labour Organization (ILO) will help increase employment…
Machi 2007, tasnia ya muziki wa Taarabu ilipata pigo baada ya kumpoteza mwanamuziki, Omary...
DODOMA: Tanzania’s road racing calendar is set for another major spectacle after the National Bank of Commerce (NBC) officially launched the seventh edition of the NBC Dodoma Marathon, scheduled for…
DODOMA; WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imesema inatambua vema mchango wa michezo kwa ustawi wa wanajeshi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 19, 2026 na Waziri…