‘Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi’
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.