Iran yalaani kikao cha UNHRC, yasema haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya kigeni
Iran siku ya Ijumaa ilipinga kikao maalum cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikikitaja kuwa hakina uhalali. Mjumbe wa Iran mjini Geneva alisisitiza kwamba Iran…