Jumanne, tarehe 27 Januari, 2026
Leo ni Jumanne tarehe 7 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Januari 27 mwaka 2026.
Leo ni Jumanne tarehe 7 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Januari 27 mwaka 2026.
Kadiri wimbi la fitina, vurugu na machafuko yanayohusishwa na ushawishi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran lilivyozidi kupamba moto, nafasi ya vyombo vya habari hasimu katika…
Iran imeonya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu itatoa "jibu la kujutisha" kwa kitendo chochote cha uchokozi, ikisisitiza kwamba taifa hili sasa lina uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi kuliko hapo awali.
Serikali ya Algeria imeishutumu Ufaransa kwa kuidhinisha 'uchokozi' dhidi ya nchi hiyo ya Afrika Kaskazini, baada ya televisheni ya serikali ya Paris kurusha makala ya matukio ya kweli (documentary) ambayo…
Iran imewasilisha malalamiko ya kisheria na jinai katika majukwaa ya kimataifa dhidi ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel, na makundi kadhaa ya kigaidi kwa kuunga mkono na kufadhili vitendo…
Serikali ya Tunisia imesema kuwa, takriban wahamiaji 50 aghalabu yao kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua yao kupinduka katika pwani ya Tunisia.
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuna uwezekano mataifa zaidi kuzalisha silaha za nyuklia kutokana na kuongezeka ukosefu wa utulivu duniani.
Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, Dmitry Medvedev amesema kuna uwezekano mataifa zaidi kuzalisha silaha za nyuklia kutokana na kuongezeka ukosefu wa utulivu duniani.
Hujambo msikilizaji mpenzi, na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita kote duniani.
Rais wa Shirikisho la soka la Ujerumani (DFB), amesema ni wakati wakati wa kujiondoa kwenye Kombe la Dunia la 2026 kutokana na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amepuuza madai ya hivi karibuni kwamba takriban watu 30,000 waliuawa wakati wa ghasia zilizoungwa mkono na wageni za hivi…
Jeshi la Mali (FAMa) limeeleza kuwa liimefanya mashambulizi ya anga dhidi ya makundi ya kigaidi kusini-magharibi mwa nchi hiyo, na kulenga "harakati kubwa" ya wanamgambo karibu na eneo la Mourdiah.
Makaburi mawili ya umati yenye mabaki ya miili ya maelfu ya watu yalipatikana hivi majuzi mjini Khartoum mji mkuu wa Sudan. Kupatikana kwa makaburi hayo kumefichua sura ya giza katika…
Balozi wa Russia nchini Venezuela amesema Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, alisalitiwa na vibaraka wa ndani nchini humo.
Harakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq (Brigedi za Hizbullah) imetangaza kuwa iko tayari kushiriki katika vita vyovyote vitakavyotokea ili kuilinda Iran, ikitoa wito kwa wanamapambano duniani kote kujiandaa kwa ajili…
Leo tunafuatilia nyayo za kuhusika Marekani na Israel katika ghasia na machafuko ya karibuni nchini Iran..
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty ametoa wito kwa utawala wa kizayuni wa Israel kujiondoa katika Ukanda wa Ghaza na kufungua tena kivuko cha mpakani cha Rafah…
Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine Vladimir Zelensky wanaweza kukutana kwa mazungumzo ya ana kwa ana muda si mrefu ujao…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema, sababu zilizotajwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo la afya la Umoja wa Mataifa si za kweli na…
Bangladesh imesema "imeshangazwa" na "kushtushwa" kuona India imemruhusu waziri mkuu wa zamani mtoro Sheikh Hasina kutoa hotuba ya hadhara mjini New Delhi.
Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa Wajerumani wengi wanamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama tishio kwa nchi yao.
Leo ni Jumatatu 6 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 26 Januari 2026.
Vyanzo vya habari, vikiwanukuu maafisa wa NATO na Rais wa Marekani Donald Trump, vimeripoti kuanza mazungumzo kati ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Marekani na Denmark kuhusu…
Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Sudan ameeleza kuwa kesi za jinai zimefunguliwa dhidi ya takriban mamluki 122 wa kigeni wanaopigana bega kwa bega na wanamgambo waasi wa Rapid Support Forces (RSF),…
Mapigano mapya nchini Sudan Kusini yamewalazimisha watu zaidi ya 180,000 kuyahama makazi yao, huku mashuhuda wakizungumzia utumiaji holela wa mabomu ya mapipa na raia kukimbilia kwenye vinamasi, huku hali tete…
Brigedia Jenerali Ahmad Reza Radan, Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran amesema kuwa wananchi na maafisa wa Iran watailinda Jamhuri ya Kiislamu hadi tone la mwisho la damu yao.
Wafanyakazi wa huduma za uokoaji nchni Indonesia leo wameendelea kufanya juhudi kubwa ndani ya matope kufuatia maporoko ya udongo yaliyoikumba nchi hiyo kwa lengo la kutafuta makumi ya watu ambao…
Wananchi wa Sweden wamefanya maandamano mengine katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm, kulaani mashambulizi ya Israel yanayowalenga Wapalestina katika Ukanda wa Gaza licha ya kufikiwa mapatano ya usitishaji vita.
Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema Iran itatoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wowote wa maadui zake.
Watoto wawili wameuawa shahidi katika shambulio la Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya utawala huo katili na Harakati…
Maajenti wa serikali kuu ya Marekani wamemuua kwa kumpiga risasi mtu mwingine mjini Minneapolis huku kukiwa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, na kushadidisha maandamano na wito mpya kwa Rais…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema wanamapambano wa Muqawama waliwazuia askari 75,000 wa jeshi la adui Mzayuni kusonga mbele kusini mwa Lebanon wakati wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuitoza Canada ushuru wa asilimia 100 iwapo Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney atatekeleza makubaliano ya kibiashara na China.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Iran sasa ina makombora bora na imara zaidi kuliko yale yaliyotumika wakati wa vita vifupi kati yake na utawala wa Kizayuni…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa utawala wa Israel umeshindwa kwa fedheha kubwa zaidi katika ghasia za kigaidi zilizotokea hivi karibuni nchini Iran ikilinganishwa na vita…
Mkuu wa majeshi ya Sudan Kusini amewapa wanajeshi muda wa siku saba “kuukandamiza uasi” mashariki mwa nchi, ambao unatishia usalama wa mji mkuu, Juba.
Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza kuwa, nchi yake itataendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la Palestina huko Gaza ameripoti kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya…
Leo ni Jumapili 5 Shaaban 1447 Hijria awa na 25 Januari 2026 Miladia.
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limefuata sera ya Marekani ya kuichafua Iran kwa kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
Maafisa na wachambuzi wa Israel, wameonya kuhusu matokeo mabaya ya mzozo wowote na Iran, wakisisitiza kwamba nguvu ya makombora na uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni changamoto kubwa…
Askari usalama wa Iran wamefanikiwa kuwatambua na kuwakamata vinara 140 waliohusika katika machafuko ya karibuni hapa nchini kwa ufadhili na kuungaji mkono na nchi za nje. Vinara hao wa ghasia…
Makundi ya kisiasa ya Sudan ambayo yamejitenga na muungano mkuu wa demokrasia yamesema kuwa yanafanya juhudi za kuunda muungano mpana unaolenga kurejesha utawala wa kiraia nchini humo baada ya karibu…
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amethibitisha kwamba Marekani ilitumia silaha zisizojulikana wakati wa shambulizi la kumteka nyara Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ameilaani Israel kwa kubomoa makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina…
Kamanda mwandamizi wa jeshi la Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu iko tayari na ina hakika itajibu kwa nguvu vitisho na kauli za Rais wa Marekani, Donald Trump.
Vyombo vya habari vya utawala wa Israel vimeripoti kwamba Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, hakuhudhuria Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) mjini Davos wiki hii kutokana na wasiwasi kwamba angeweza…