🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
*KUFUNGULIWA BARABARA ZA MJI KUNAENDA KUINUA UCHUMI NJOMBE* Wakazi wa Njombe wamesema ufunguzi na uboreshaji wa barabara za ndani ya halmashauri ya mji njombe unataraji kuongeza kasi ya shughuli za…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amesema Venezuela “itawasilisha” hadi mapipa 50m ya mafuta kwa Marekani, baada ya operesheni ya kushtukiza ya kijeshi iliyomuondoa Rais Nicolás Maduro mamlakani. Mafuta hayo…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SOKO LA MUZIKI WA BONGO FLEVA, JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
Afisa Elimu Awali na Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Shomari Bane, ametangaza nafasi za ajira kwa walimu watakaofundisha katika shule za Serikali za English Medium zinazoanzishwa na Halmashauri…
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: JANUARI 07, 2025
🔴#KUMEKUCHA: UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA TAASISI YA TEITI.... . JANUARI 07, 2026
#KIPIMAJOTO: Serikali kuwafungia wakazi wa Mburahati jijini Dar es Salaam mtambo wa kubadili maji ya chumvi ya Kisima kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani. Je, kifanyike katika maeneo…
🔴TAARIFA YA ASUBUHI..... JANUARI 07, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 06, 2026
#HABARI: Familia zilizoathirika na mafuriko yaliyosababisha zaidi ya Kaya 400 kukosa makazi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, zimekabidhiwa msaada wa tani tano za sukari ya Bwana Sukari na Kampuni ya Kilombero…
🔴MCHEZO SUPA:UTAMU WA NGUVU YA BUKU UKO HAPA.. JANUARI 06, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 06, 2026 - FLYOVER YAKWANZA YAZINDULIWA ZANZIBAR
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MWANZA - JANUARI 06, 2026
#HABARI: Serikali imejidhatiti kutekeleza maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kurejesha hadhi ya Mkoa wa Tanga kama kitovu cha viwanda, maarufu…
#HABARI: Mwili wa kijana Sigela Hamisi Maulidi, Afisa Usafirishaji wa Pikipiki, mkazi wa Kata ya Tumbi, Manispaa ya Tabora, aliyepotea tangu Januari 04, 2026, umekutwa umetelekezwa kwenye Msitu wa Matitumbi,…
#MEZAHURU: “Kuna wanafunzi wametoka mazingira magumu sana baba na mama hawana hela umasikini mtupu lakini wanajituma wao wenyewe wanajituma kwa hali ngumu mpaka huyo chou kikuu…..”- Hyasinta Kessy – Mwalimu…
🔴MEZA HURU: UMUHIMU WA MAZINGIRA KWENYE MALEZI YA WATOTO...JANUARI 06 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi huko mkoani Tanga limefanikiwa kumkamata mfugaji anayedaiwa kuendesha mtandao wa kuwashambulia wakulima wanao walalamikia wafugaji wanaoingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima na kuwachapa viboko huku baadhi…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha…
#HABARI: Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo ilikuwa irejee nchini kesho Januari 07, 2025 sasa itarejea Januari 08, 2026. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 06/01/2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
#MEZAHURU: Je MAZINGIRA yanazomzunguka mtoto yanahusika na MALEZI kwenye kujenga tabia ya mtoto au kubomoa.?
🔴AFCON 2026: TIMU ZILIZOINGIA ROBO FAINALI ? |JANUARI 06, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
#HABARI: Miili nane kati ya miili kumi iliyohusisha magari mawili kugongana na kuwaka moto katika eneo la Maseyu tarafa ya Mikese mkoani Morogoro imetambuliwa na ndugu zao na kukabidhiwa kwa…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: JANUARI 06, 2025
#HABARI: Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro. Rodríguez, 56,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55...JANUARI 06, 2026
#KIPIMAJOTO: Serikali kupiga marufuku kwa Kampuni za kigeni kufanya shughuli za migodini ambazo wazawa wanaziweza. Je, wazawa wanajengewa mazingira ya kukopesheka
#MEZAHURU"....unapopanga malengo kuna maeneo kama matatu hivi....eneo la kwanza panga muda ambao una utulivu, tunashauri kuanzia ile saa nane mpaka saa kumi usiku...."Mwalimu Bryson Makena Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: JANUARI 06, 2025
🔴TAARIFA YA ASUBUHI..... JANUARI 06, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 05, 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU.. JANUARI 05, 2025
#HABARI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amepiga marufuku ucheleweshaji wa ujenzi wa jengo la kanda la TBS jijini Mwanza na kuagiza marekebisho ya haraka ya makosa ya…
🔴DAKIKA 45 NA AFISA MTENDAJI MKUU DAWASA...JANUARI 05, 2026
#HABARI: Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amebainisha kuwa mradi wa bomba la mafuta ghafi (EACOP) umefungua fursa kubwa za kiuchumi, ikiwemo ajira takribani 12,000. Katika ajira hizo,…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuyapa kipaumbele makosa ya uhalifu wa mitandaoni pamoja na makosa ya barabarani yanayosababishwa na madereva…
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 05, 2026 - WATU WATATU WAFARIKI KWA AJALI YA MOTO - MARA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU -05/01/2026
#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), anayeshughulikia Afya, Dkt. Jafar Seif, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wafawidhi wote kutangaza huduma…
#HABARI: Zaidi ya wanafunzi 800 wanaotarajiwa kuanza masomo Januari 13 mwaka huu, katika Shule ya Msingi Tandau, iliyopo Kata ya Kongowe, wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wanakabiliwa na changamoto kubwa ya…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA - JANUARI 05, 2026
#HABARI: Zaidi ya majiko banifu 10,000 yamejengwa katika kaya mbalimbali za Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kupunguza matumizi ya kuni na…