Qatar yalaani wito wa Netanyahu kuwafukuza viongozi wa Hamas
Kupitia mtandao wa kijamii wa X, Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imeilaani ile iliyoiita “kauli ya kipuuzi” ya Netanyahu, ambaye alikuwa amesema kuwa lazima Qatar iwafukuze au iwashitaki…
Kupitia mtandao wa kijamii wa X, Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imeilaani ile iliyoiita “kauli ya kipuuzi” ya Netanyahu, ambaye alikuwa amesema kuwa lazima Qatar iwafukuze au iwashitaki…
Trump aliandika kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kwamba wanasiasa wa mrengo mkali wa kushoto “wamekuwa wakiwalinganisha Wamarekani wazuri kama Charlie na Manazi na ndio chanzo cha mauaji…
Tukio hilo la Jumatano (Septemba 10) ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika kupitia mtandao wa kijamii…
Kikao hicho kilifanyika kwenye makao makuu ya NATO mjini Brussels siku ya Jumatano (Septemba 10), ambapo mabalozi wa mataifa 32 wanachama walijadiliana tukio hilo. Waziri Mkuu wa Poland, Donald Tusk,…
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, alisema siku ya Jumatano (Septemba 10) kwamba shirika lake limefadhaishwa na amri hiyo ya kuwataka watu milioni moja kwenda kwenye kiitwacho na jeshi…
Ujumbe mkubwa wa serikali kutoka jijini Kinshasa, unatarajiwa mjini Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia, baada ya kushuhudiwa kwa maandamano yenye vurugu kwa siku kadhaa zilizopita, yaliyopangwa na mashirika ya…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu mkoani Dar es Salaam kutozungumzia kero ya foleni katika kampeni zao. Je, sio kipaumbele chao kuitatua?
Kikao hicho Baraza Kuu la Umoja la Mataifa killianza siku ya Jumatano (Septemba 10) kwa ufungaji wa kikao cha 79 na kuapishwa rasmi kwa rais mpya wa Baraza hilo, Annalena…
Mkuu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, wiki hii alizuru nchi ya Haiti ambapo ameonya kuhusu kasi ndogo ya msaada wa jumuiya ya kimataifa kwa nchi hiyo kukabiliana…
Vifo vya malaria huenda vikaongezeka mwaka huu kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kigeni, mkurugenzi wa taasisi ya Global Fund, yenye makao yake Geneva, ameonya. Imechapishwa: 11/09/2025 – 04:16 Dakika…
SK2 / S02S11.09.202511 Septemba 2025 Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani ameongeza ukosoaji dhidi ya Israel baada ya shambulizi lake lililowalenga viongozi wa Hamas+++Katika kipindi cha…
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 11 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
“Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025. Ninawatakia kila la kheri katika msimu ujao kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa” amesema Rais Dkt. Samia…
Na Rose York Mwaka mzito wa majonzi umepita. Hata hivyo, maandishi yangu ya kumbukumbu kutoka siku za baada ya mauaji ya Aysenur hunipiga kwa nguvu kila ninaporejea kuyasoma. Septemba 6,…
Mahakama ya Afrika Kusini imewahukumu kifungo cha miaka 20 gerezani raia saba wa China kwa kosa la utekaji nyara na kazi za kulazimishwa, kulingana na taarifa kutoka kwa shirika la…
Katika kipindi cha miaka mitatu tangu Kapteni Ibrahim Traoré ashike madaraka nchini Burkina Faso, amegeuka kuwa maarufu sana kwenye mtandao. Katika mitandao ya kijamii, mara nyingi hulinganishwa na viongozi mashuhuri…
“Somalia inalaani vikali vitendo vya kijeshi vya kigaidi vilivyofanywa na mamlaka za uvamizi za Israel dhidi ya makazi ya raia huko Doha, ambavyo vinakiuka uhuru wa kitaifa wa Jamhuri ya…
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula Von der Leyen amesema kwamba umoja huo utaweka vikwazo kwa Israel na kusitisha sehemu ya biashara na nchi hiyo kutokana na vita vya Gaza.…
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema kitendo cha Poland kuzidungua droni za Urusi zilizoingia kwenye anga ya nchi hiyo mapema Jumatano kimeonyesha wazi kwamba…
Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ametangaza kwamba atapendekeza Umoja wa Ulaya uweke vikwazo na kusitisha sehemu ya makubaliano ya kibiashara na Israel kutokana na vita vya…
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ameingia madarakani huku kukiwa na maandamano katika jiji la Paris ambayo yametatiza shughuli za usafiri, elimu na huduma nyinginezo. Maandamano hayo yanafanyika kuonyesha…
Sébastien Lecornu , aliyechaguliwa na Rais Emmanuel Macron kuwa waziri mkuu wa tano wa Ufaransa katika kipindi cha miaka miwili, alikabidhiwa ofisi ya Matignon na Waziri Mkuu anaeondoka Francois Bayrou,…
Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na magonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria wa Global Funds, Peter Sands amesema vifo vinavyotokana na ugonjwa malaria huenda vikaongezeka zaidi mwaka…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, zikiwemo za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi. Waliokamatwa ni…
Uturuki siku ya Jumatano imetoa salamu za rambirambi kwa wale waliopoteza maisha yao katika shambulio la kigaidi lililolenga mazishi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). “Tumesikitishwa sana na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, atafanya ziara rasmi nchini Italia tarehe 11-12 Septemba, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki…
Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya tatizo la watu kunenepa kupindukia ambalo limeongezeka maradufu miongoni mwa watoto na vijana. Shirika la watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limesema matumizi ya…
Haya yanajiri wakati wa mashambulizi dhidi ya Ukraine, akionya kuwa hali hiyo inakaribia kuwa “mgogoro wa wazi.” Haya yanajiri huku wizara ya Ulinzi ya Urusi ikikanusha kuilenga Poland. Tusk amesema…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hali ya utulivu imerejea katika jiji la Uvira kufuatia maandamano ya siku ya Jumatatu, Septemba 8, ambayo yaligraimu maisha ya mtoto wa miaka…
Na sasa kesi yake iko mbele ya mahakama, huku akiwakilishwa na wakili aliyeteuliwa na mahakama. ICC inadai kumshtaki kwa makosa 39 ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu,…
Watu 200 wakamatwa huku waandamanaji wakipambana na polisi mjini Paris Serikali ya Ufaransa imetuma idadi kubwa ya maafisa wa polisi 80,000 wakati maandamano ya kitaifa yakiendelea, yakichochewa na hasira ya…
Wataalamu wa katiba na siasa wanasema Nepal inaweza kukumbwa na machafuko ya kisiasa na kikatiba kwa muda mrefu iwapo hakutakuwepo na makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Ripoti…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amekanusha kwa mara nyingine madai kwamba aliandika barua ya utata iliyoibuliwa kutoka mali ya aliyekuwa mfanyabiashara Jeffrey Epstein, akisisitiza kuwa sahihi iliyomo si yake. Barua…
#HABARI: “Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na shule na…
#HABARI: Mtiania wa Urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi,…
Hivi karibuni wanamgambo wa Boko Haram waliongeza mashambulizi yao nchini Nigeria na kuwaua zaidi ya watu 500 katika robo ya kwanza ya mwaka 2025. Wachambuzi wanasema serikali ya Nigeria inahitaji…
#HABARI: Mtiania wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA, Hussein Juma Salum (kushoto), akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph…
Qatar imesema shambulizi hilo lilihusisha makombora yaliyopenya bila kutambuliwa na mifumo yake ya ulinzi. Miongoni mwa waliouawa ni mtoto wa kiongozi wa mazungumzo wa Hamas, Khalil al-Hayya, pamoja na walinzi…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hajafurahishwa na hatua ya Israel ya kuwashambulia maafisa wa Hamas nchini Qatar jana Jumanne. Kama ilivyo kwa Israel, Qatarnayo ni mshirika wa karibu wa…
Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen anahutubia hii leo Jumatano kuhutubia Bunge la Ulaya mjini Strasbourg, Ufaransa katika hotuba yake kuu ya kwanza ya muhula…
Jeshi nchini Poland limesema mapema hivi leo kwamba limezidungua droni za Urusi zilizokiuka anga yake wakati wa mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine. Droni hizo zilizodunguliwa zililenga kulishambulia eneo la…
Mapema Jumatano Poland ilitangaza kuwa pamoja na washirika wake wa Jumuiya ya NATO wamedungua droni za Urusi zilizovamia anga yake, na kulitaja tukio hilo kama “kitendo cha uchokozi”, wakati Urusi…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti leo inayoonyesha kwamba kundi la wanamgambo wanaohusishwa na kundi la kiislam lenye itikadi kali la Islamic State wamezidisha…
Katika kikao hicho ambacho kitagubikwa na mzozo wa mashariki ya Kati kufuatia hali mbaya ya kibinaadamu inayoshuhudia Gaza, mataifa kama Ufaransa, Canada, Australia, Uhispania, Norway, Ubelgiji na mengineyo yanatarajia kuitambua…
#HABARI: Mtiania Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mfaume Khamis Hassan, akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji…
Zaidi ya miongo mitatu imeisha huku eneo la mashariki ya Congo lonalopakana na Rwanda na lenye utajiri wa raslimali ya madini likikumbwa na mapigano mabaya kuwahi kutokea tangu kumalizika vita…
#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa. Kwa sasa kuna matukio mengi ya uwepo wa mbwa wenye kichaa. Je unamtambuaje mbwa mwenye kichaa? Madhara yake ni yapi kwa binadamu akikung’ata? Kwa nini kimeitwa…
Serikali ya Rwanda imewasilisha rasimu ya sheria mpya inayosimamia usalama wa barabarani mbele ya Bunge ili kurekebisha sheria ya sasa ya barabarani nchini, ambayo haijabadilishwa kwa takriban miongo minne. Sheria…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa…
#HABARI: Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa…