Leo saa 4:00 usiku katika movie ya Weekend kupitia AzamTWO ni kitu cha Avengers: Age Of Ultron
Leo saa 4:00 usiku katika movie ya Weekend kupitia AzamTWO ni kitu cha Avengers: Age Of Ultron. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #avengersageofultron
Huyu Mama ana ajenda gani dhidi ya ndugu yake?
Huyu Mama ana ajenda gani dhidi ya ndugu yake? 🥶
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Mhe.Jenista Mhag…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Mhe.Jenista Mhagama Mbunge wa Peramiho, leo Novemba 13, 2025 jijini Dodoma. Powered by #MCHEZOSUPA…
#HABARI: Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mha
#HABARI: Mkurugenzi wa Huduma za Uhandisi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mha. Erick Madinda, amesema kuwa TPA inatekeleza jumla ya miradi 16 ya kimkakati, yenye umuhimu mkubwa…
Mtoto wa marehemu, Joackim Mhagama, amesema kuwa mama yake, Jenista Mhagama, hana deni lolote kwani aliwatumikia wananchi kwa mo…
Mtoto wa marehemu, Joackim Mhagama, amesema kuwa mama yake, Jenista Mhagama, hana deni lolote kwani aliwatumikia wananchi kwa moyo wote na kwa dhati. Ameeleza kwamba marehemu aliamini katika kufanya kazi…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiomba familia ya marehemu pamoja na ndugu na jamaa kuen…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiomba familia ya marehemu pamoja na ndugu na jamaa kuendelea kushikana na kupendana katika kipindi hiki cha majonzi,…
Familia ya Kobisi ni vita kila siku 😆
Familia ya Kobisi ni vita kila siku 😆 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
#HABARI: Waziri wa Kilimo, Mhe
#HABARI: Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha kuwa miradi yote ya umwagiliaji inakamilika kwa wakati na inaleta tija kwa wakulima nchini. Ameeleza hayo wakati wa ziara…
“…toka nimeingia bungeni 2005 nilimzoea Jenista na jina lake alikuwa na ananiita mimi mwanangu na mimi namuita mama, tuliishi vi…
“…toka nimeingia bungeni 2005 nilimzoea Jenista na jina lake alikuwa na ananiita mimi mwanangu na mimi namuita mama, tuliishi vizuri sana sifa zilizotolewa hapa na Baba Paroko ni za ukweli…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko Alan Thomas Mvano, amesema kuwa atashughulikia kwa haraka changamoto ya ukosefu waZahanati n…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko Alan Thomas Mvano, amesema kuwa atashughulikia kwa haraka changamoto ya ukosefu waZahanati na Mnara wa Mawasiliano katika eneo la Nyamwironge wilayani Kakonko, ili kuwasaidia…
Katibu wa Bunge Baraka Leonard ametangaza kuwa chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho marehemu Jenista Mhaga…
Katibu wa Bunge Baraka Leonard ametangaza kuwa chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho marehemu Jenista Mhagama ni maradhi ya moyo. Akisoma wasifu wa marehemu wakati wa…
Wazee wa Baraza la Mila na Desturi mkoani Ruvuma wameamua kufunga mvua kwa siku zote zitakazokuwa zinaendelea shughuli za mazish…
Wazee wa Baraza la Mila na Desturi mkoani Ruvuma wameamua kufunga mvua kwa siku zote zitakazokuwa zinaendelea shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe Jenista Mhagama,…
GAZETI LA BURUDANI AZAM ONE JUMAPILI HII 🙌🏽🔥🍿🥤
GAZETI LA BURUDANI AZAM ONE JUMAPILI HII 🙌🏽🔥🍿🥤 Saa 3:00 asubuhi - Saa 4:00 asubuhi ni Marudio ya #TheOldMan Saa 4:00 asubuhi - Saa 9:00 Alasiri ni marudio ya #MinesOfPassion…
#HABARI: Padre akiimba wimbo ambao alikuwa akiupenda marehemu Jenista Mhagama enzi za uhai wake kwenye Ibada Maalum ya Misa ya k…
#HABARI: Padre akiimba wimbo ambao alikuwa akiupenda marehemu Jenista Mhagama enzi za uhai wake kwenye Ibada Maalum ya Misa ya kuaga mwili wa marehemu katika Kanisa la Mtakatifu Mwenyeheri Maria…
Kobisi amechoka maisha ya kuigiza kuwa mume wa mtu
Kobisi amechoka maisha ya kuigiza kuwa mume wa mtu. Shughuli ya Shida imefika. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Bado siku tano kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza
Bado siku tano kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
#MICHEZO: Warembo hawaogopi tena mitikiso ya ngumi kutua ndani ya miili yao
#MICHEZO: Warembo hawaogopi tena mitikiso ya ngumi kutua ndani ya miili yao. Bondia Leila Macho, mtoto wa nyota wa zamani wa Simba, Yusuph Macho, ametangaza vita kali dhidi ya Hidaya…
Kobisi mahari ndio mada mdomoni mwake…😅 Kina Tukae wamsanua Chiku, Mashavu kaolewa mke wa pili 🙌
Kobisi mahari ndio mada mdomoni mwake...😅 Kina Tukae wamsanua Chiku, Mashavu kaolewa mke wa pili 🙌 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amesema tafiti zinazofanyika katika hospitali hiyo ni nyenzo muhimu katika kuleta mageuzi ya huduma za afya nchini kwa kuboresha…
#HABARI: Makamu wa Rais Mstaafu Dkt
#HABARI: Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Philip Mpango na viongozi mbalimbali wa Serikali wamewasili katika Kanisa la Mtakatifu Mwenyeheri Maria Teresa Ledochowska Parokia ya Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma, kwa…
“Katika mapumziko ya mwisho wa mwaka au safari lazima upange bajeti ambayo itakidhi mahitaji ya safari ili ufurahi na kuburudika…
"Katika mapumziko ya mwisho wa mwaka au safari lazima upange bajeti ambayo itakidhi mahitaji ya safari ili ufurahi na kuburudika bila kuwa na msongo wa kifedha",- Mdau wa Kutembelea Vivutio…
Hii vita wa kuiamua ni wao wenyewe 🙌😭
Hii vita wa kuiamua ni wao wenyewe 🙌😭 #NomaSeries
#HABARI: Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema hahusiki na ukiukwaji wa makubaliano yaliyosainiwa baina yake, Marekani na Jamhuri …
#HABARI: Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema hahusiki na ukiukwaji wa makubaliano yaliyosainiwa baina yake, Marekani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wiki iliyopita mjini Washington. Rais Kagame amesisitiza kwamba…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa T…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo ili…
Siham amuwakia Maryam baada ya kukuta jina lake limeandikwa na Basma
Siham amuwakia Maryam baada ya kukuta jina lake limeandikwa na Basma. Sauti ya mtoto wake inasikika masikioni mwa Siham. Mambo yatachukua sura mpya Usikose kutazama Ummy leo saa 1:00 usiku…
Baada ya kuachwa, Mwana amfanyia Chichi usiku wa talaka lele lele 😅🙌 Nawanda awekewa mshahara mnono na Wendy ili akae kimya kwa …
Baada ya kuachwa, Mwana amfanyia Chichi usiku wa talaka lele lele 😅🙌 Nawanda awekewa mshahara mnono na Wendy ili akae kimya kwa alichokiona ofisini...Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku…
Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha
Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha. Yusuf anatakiwa kuwasaidia wasikamatwe na kina Yavuz. Hashmet, Melis na wanafamilia wengine hawaoni uzito huo. Balim ana swali zito kidogo kwa Aziza…
Kobisi ameombwa aigize kwa mara ya mwisho…Eeeeh hii ya Madina leo mbona kazi 😆 Shughuli ya Shida pambe sio pambe?
Kobisi ameombwa aigize kwa mara ya mwisho...Eeeeh hii ya Madina leo mbona kazi 😆 Shughuli ya Shida pambe sio pambe? 😅 Tukutane saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#HABARI: Mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kijitonyama Dr
#HABARI: Mchungaji wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kijitonyama Dr. Eliona Kimaro, amewasihi Watanzania kukemea na kukataa roho za machafuko, akirejea matukio ya Oktoba 29 na kuwataka waumini kulaani na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 13, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 13, 2025
#KIPIMAJOTO: Agizo la mgao wa maji kwa usawa
#KIPIMAJOTO: Agizo la mgao wa maji kwa usawa. Je, Mamlaka itangaze ratiba kuondoa malalamiko?
🔴#MAGAZETI: POLISI – TUNAMSHIKILIA MWAMBE TUHUMA ZA JINAI….DESEMBA 13, 2025
🔴#MAGAZETI: POLISI - TUNAMSHIKILIA MWAMBE TUHUMA ZA JINAI....DESEMBA 13, 2025
#HABARI: Huzuni imetawala wakati mwili wa marehemu Jenista Mhagama ukifikishwa nyumbani kwake, Itega jijini Dodoma
#HABARI: Huzuni imetawala wakati mwili wa marehemu Jenista Mhagama ukifikishwa nyumbani kwake, Itega jijini Dodoma. Marehemu Jenista aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na aliyewahi kuzitumikia Wizara kadhaa enzi za uhai wake.…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 12 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 12 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..12 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..12 DESEMBA 2025
Ni kipaji gan unatamani ungekuwa nacho?
Ni kipaji gan unatamani ungekuwa nacho? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
“Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako
"Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako. Kwamba usiandike ukavuka mipaka pengine ukajipakulia minyama zaidi, ukawasahau na wengine kwamba wakija wataimba wapi?- @officialwelle kutoka @welleandtheband #SentroYaCloudstv
Burudani kutoka kwa @officialwelle akiwakilisha @welleandtheband hapa Kitivoni Sentro Clouds TV
Burudani kutoka kwa @officialwelle akiwakilisha @welleandtheband hapa Kitivoni Sentro Clouds TV. #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Hali halisi nyumbani kwa Mashavu…Maswali muhumu na magumu ambananisha Awadh wake
Hali halisi nyumbani kwa Mashavu...Maswali muhumu na magumu ambananisha Awadh wake... #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Hashmet haeleweki kuna muda ana roho mbaya kuna muda ubinadamu unamuijia
Hashmet haeleweki kuna muda ana roho mbaya kuna muda ubinadamu unamuijia
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salama (DAWASA), kugawa maji kwa usawa kuw…
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salama (DAWASA), kugawa maji kwa usawa kuweka ratiba ya mgao wa maji na kuhakikisha inakuwa…
🔴KIPIMAJOTO: NINI KIFANYIKE KUWEKA MAZINGIRA YENYE TIJA KWA VIJANA KUJIAJIRI KUPITIA KILIMO?
🔴KIPIMAJOTO: NINI KIFANYIKE KUWEKA MAZINGIRA YENYE TIJA KWA VIJANA KUJIAJIRI KUPITIA KILIMO?
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kanisa walimokuwa wamejikinga na mvua iliyoambata…
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kanisa walimokuwa wamejikinga na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha leo mchana, wilayani Bariadi mkoani Simiyu. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mkoani Mtwara, katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, tumekutana na Mohamed Abdallah Chinung’a ambaye licha ya kuwa na umri wa mia…
Mkoani Mtwara, katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, tumekutana na Mohamed Abdallah Chinung’a ambaye licha ya kuwa na umri wa miaka 98 bado anachapa kazi za kumuingizia kipato, akiwa na imani…
#HABARI: Katika hali isiyotarajiwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mh
#HABARI: Katika hali isiyotarajiwa, Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mh. Abdallah Ulega, amejikuta akitoa fedha ambazo kiasi chake hakikufahamika mara moja kama zawadi kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani…
Madereva bodaboda watano wamefariki dunia baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T 824 EKS, ambalo lilipata hitilafu k…
Madereva bodaboda watano wamefariki dunia baada ya kugongwa na lori lenye namba za usajili T 824 EKS, ambalo lilipata hitilafu kwenye mfumo wa breki katika eneo la Makulu, barabara inayoelekea…