Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni…Itakuwaje?
Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni...Itakuwaje?
Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni...Itakuwaje?
Wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa ambao waliweka jitihada za makusudi kutunza chanzo chao cha maji, wameanza kunufaika na uhifadhi walioufanya. Hivi sasa wanapata maji ya uhakika kwa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua miradi miwili ya maji katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma itakayogharimu zaidi ya shilingi bilioni 14.6 na kusaidia kutatua changamoto…
Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha Ukanda wa Gaza yamewaweka hatarini zaidi ya wakazi 800,000 ambao hivi sasa wanakumbwa na dhoruba kali kutokana na kuanza kwa msimu wa baridi kali.…
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama limefikishwa nyumbani kwake Itega kwa ajili ya maandalizi ya ibada ya kuuaga mwili itakayofanyika kesho katika kanisa…
Wakati kukiwa na kilio cha wananchi kuhusu upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekiri kukabiliwa na…
Mbunge pekee wa viti maalumu mkoa wa njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Sigrada Mligo, amewaomba viongozi wa serikali na viongozi wa siasa, washirikiane katika kuujenga mkoa huo…
#SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Ila Kobisi, jamani sasa mahari si mwari siku zote 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Madereva watano wa bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kuparamiwa na lori wakiwa kijiweni eneo Makulu jijini Dodoma. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo ambako inadaiwa lori hilo…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 12 Desemba 2025, amepokea tuzo ya kuwa Kivutio Bora cha Mikutano ya Kimkakati Barani…
#HABARI: Jeshi la Magereza nchini limetekeleza agizo la Serikali la Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100 suala linaloifanya jeshi hilo kujikinga na athari…
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, ameendelea kuonesha msukumo wa mageuzi ya kilimo nchini baada ya kuzindua miongozo mipya ya uzalishaji endelevu wa mazao muhimu kama ufuta, maharage, dengu, choroko, soya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 12/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 12, 2025 - WATANO WAFARIKI AJALI YA LORI DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kusuluhisha migogoro ya kazi 4,339 hadi kufikia Septemba…
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya usafiri wa sekta ya bahari pamoja na rasilimali zinazopatikana baharini, ikiwemo kuandaa sera ya usafiri wa majini ili kuchangia ipasavyo katika uchumi wa nchi.…
Shirika la Reli Nchini (TRC) linatarajia kuanza ujenzi wa reli ya kisasa katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, ikiwa ni hatua muhimu ya kutatua changamoto ya usafiri na foleni…
#HABARI: Ikiwa ni simu ya pili tangu kutokea kifo cha aliyekuwa waziri katika wizara mbalimbali na Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, leo Desemba 12, 2025 wabunge, mawaziri na…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA), Bi. Sigrada Mligo, amelalamikia Serikali uwepo wa utitiri wa tozo mbalimbali kwa wafanyabiashara wa mazao ya misitu jambo ambalo limekuwa kisababishi…
Mtangazaji na mwandaaji wa vipindi AzamTV, @bettyomaratz ameshinda tuzo ya Mwandishi wa Habari Bora Katika Ubunifu wa Mavazi kupitia jukwaa la Swahili Fashion Week 2025. Akizungumza kupitia kipindi cha #AlasiriLounge,…
#KIPIMAJOTO: Nini kifanyike kuweka mazingira yenye tija kwa vijana kujiajiri kupitia kilimo?
#HABARI: Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba, ameeleza kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika kujenga kituo cha kujaza gesi asilia kwenye vyombo vya usafiri katika eneo la Mlimani jijini Dar…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA - DESEMBA 12, 2025 -
MABADILIKO YA RATIBA ZA MARUDIO AZAM TWO Msimamizi Msaidizi wa #AzamTWO, @mrisho.senga_ ameelezea mabadiliko ya ratiba za marudio kwenye chaneli namba 102 AzamTWO, ambapo kwa sasa filamu ya Jumamosi usiku…
#HABARI: Vyombo vya Usalama Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, vimemkamata na kumshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Conlite, kwa tuhuma za kutelekeza miradi ya ujenzi wa barabara nne…
Licha ya kukuhakikishia burudani za kutosha, Azam TV inazidi kujiweka karibu nawe kwa kukupa zawadi ya mwisho wa mwaka. Ni zawadi gani na unaipataje…! Fuatilia hapa. #AzamTVUpdates ✍️ Warda John…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amesema mkoa wake umeguswa na msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri mstaafu wa Afya, Jenista Mhagama…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imezindua rasmi jarida lenye tafiti mbalimbali zinazofanyika hospitalini hapo, na kuelezwa kuwa kila mwaka MNH hupokea maombi ya tafiti kati ya 400 hadi…
“Kwa sasa uzalishaji wetu wa maji katika Mitambo ya Ruvu chini na Ruvu juu umeshuka kwa kiwango cha chini ya nusu ya uzalishaji wa kawaida, umeshuka kutoka lita Milioni 534…
#Happybirthday | @_g_meshack #Cloudsmediagroup tunakutakia mafanikio na baraka maishani mwako. #Clouds26Nyoosha
🔴#MEZAHURU: KWANINI FAMILIA NYINGI HAZIPELEKI WATOTO LIKIZO KWA BIBI NA BABU?.... DESEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025
Ohooo Beysungur asije akakamatwa na wasaliti. Ohoo kuna sumu imetumwa ikadhuru familia ya Bey wakati ambao binti Tekfur akiingia kambini na Orhan moyo unalipuka. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00…
Siham bado anateswa na kumpoteza Basma. Stori za mtoto kupotea zinamshtua moyo wake. Upande wa pili Maryam anapambana kumtafutia shule Halla. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya…
HABARI: Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa familia. Hali ya huzuni imetanda nyumbani hapa huku…
Fidan anamlaumu Zeliha kuwa ndiye sababu ya wazazi wao kufariki (Kumbuka wakati mchezo unaanza ni mchumba wake Zeliha ndiye aliyewachoma walipojificha familia yao) Usikose kutazama 6 of Us leo kuanzia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba imeanza rasmi zoezi la uhamishaji wa makaburi kutoka eneo la Kishenge lililotumika kwa ajili ya maziko kuelekea eneo la Buhembe, lengo likiwa ni kuandaa eneo…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amewaomba wakazi wa mkoa huo kujitokeza katika mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama utakapowasili mkoani…
Tumebamba au hatujabamba 😊 #ThePrice #6ofUs #Ummy #AzamTV raha bwana 😍
#HABARI: Maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama yanaarajiwa kufanyika Desemba 16, 2025, katika Kijiji cha Ruanda wilayani Mbinga, ambapo kabla ya maziko, Desemba 15…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025
Kamanda Lukas burudani kabisa 😅
#HABARI: Watu 5 ambao ni waendesha Bodaboda wamefariki dunia katika eneo la Makulu jijini Dodoma, baada ya lori la mchanga lililokuwa likitokea UDOM kuingia katikati ya Jiji la Dodoma kufeli…
#HABAI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amechoshwa na mfululizo wa mikutano kuhusu namna ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine, na kwamba hadi sasa hakuna hatua madhubuti zinazopatikana.…
Sheiza ameanza kazi ya kuwasogelea kina Radhia na Chaichaka...Bisura anamfunda mwanaye Chaichaka...Lakini bado binti ana moto moyoni mwake hataki kumuona...Anajaribu kuweka ukaribu na Radhia lakini ni kama anachochea moto. Tuendelee…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025