VP urges integrity among secretaries
ARUSHA: VICE-PRESIDENT, Emmanuel Nchimbi, has urged personal secretaries to uphold high standards of discipline and professionalism required in their role, as they are the face and gateway of their institutions.…
William Ruto aagiza bei za dizeli zipunguzwe zaidi kwa KSh 10 katika duru ya Juni-Julai
Rais William Ruto alitangaza kupunguzwa zaidi kwa bei za dizeli kwa KSh 10 kwa mzunguko wa Juni-Julai ili kupunguza gharama za mafuta baada ya mgomo mkubwa.
Over 7,500 youths get overseas employment
DODOMA: OVER 7,500 youths have secured employment opportunities abroad through agreements signed between the government and various countries, the National Assembly was told yesterday, as the state intensifies efforts to…
Government sets aside 800bn/- to clear arrears
DODOMA: THE government has allocated 800bn/- in the 2026/27 financial year for the payment of verified arrears owed to contractors, suppliers and public servants, in a move aimed at clearing…
Israel inaendelea na mashambulizi yake kusini mwa Lebanon licha ya usitishaji mapigano
Jeshi la Israel linasema limewaua watu wawili kusini mwa Lebanon leo Ijumaa asubuhi, Mei 22, karibu na mpaka. Kulingana na shirika la habari la Lebanon, ANI, wafanyakazi wanne wa afya…
Dar rallies EAC to protect Lake Victoria
MWANZA: TANZANIA has called for stronger cooperation among Lake Victoria riparian states to protect and sustainably utilise the lake’s resources to enhance regional security and prosperity. Lake Victoria’s water surface…
Lamine Yamal adata na penzi la mwanamitindo Garcia
Mwanamitindo na mwanamitandao maarufu, Inés García kutoka Sevilla, Hispania, ameonekana kwenye...
MPs warn against diversion of road funds
DODOMA: MEMBERS of Parliament have urged the government to protect Road Fund revenues and ensure contractors are paid on time, warning that delays could slow infrastructure projects and weaken economic…
SPECIALIST CARE: Surgical services go mobile
DAR ES SALAAM: WANANCHI in remote and underserved areas will now access specialised surgical services closer to their communities following the launch of the country’s first mobile surgical theatre by…
Pezeshkian: Serikali imejitolea kikamilifu kuboresha uwezo wa Jeshi la Iran
Rais Masoud Pezeshkian amesema serikali yake itatumia “nguvu na rasilimali zote zilizopo” kuimarisha majeshi ya ulinzi huku akisifu majibu ya kijeshi ya Iran kuwa “makini, madhubuti na yanayozuia uchokozi” kufuatia…
Gaza yaripoti visa zaidi ya 125,000 vya maambukizi yanayohusiana na panya na vimelea: UNRWA
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limeripoti visa zaidi ya 125,000 vya maambukizi yanayohusiana na panya na vimelea katika Ukanda wa Gaza ulioathiriwa na vita…
Nyota watano wanaotarajiwa kung’ara wakati wa michuano ya kombe la Dunia.
Wasiwasi kuhusu kiwango cha uchezaji na utimamu wa mwili umeanza kuenea kwa baadhi ya mastaa wakubwa wa soka, huku zikiwa zimesalia wiki tatu tu kabla ya Kombe la Dunia kuanza,…
Eldoret: Mashabiki 8 wa Arsenal wakamatwa, washtakiwa kwa kusherehekea ushindi wa EPL kifidhuli
Mashabiki wanane wa Arsenal huko Eldoret walitozwa faini ya KSh 500 kila mmoja baada ya kukiri kosa la kufanya fujo wakati wa sherehe za ubingwa wa EPL.
Mkutano wa NATO Helsingborg: Mvutano mpya kati ya Ulaya na Marekani
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi thelathini na mbili za Muungano wa Atlantiki wanakutana tangu siku ya Alhamisi, Mei 21, na Ijumaa, Mei 22, 2026, huko Helsingborg, kusini mwa…
Kokoto kuongeza mapato serikalini
NJOMBE: Mradi mkubwa wa uzalishaji wa kokoto uliopo mtaa wa Kambarage kata ya Njombe Mjini, unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa kokoto na kuchochea shughuli za kiuchumi na kuongeza mapato ya Serikali…
Kenya: Wadau katika sekta ya usafirishaji watangaza kumaliza mgomo wao
Wadau wa sekta ya usafirishaji nchini Kenya, wametangaza kumaliza mgomo waliopanga kuufanya tena wiki ijayo baada ya majadilino na Rais William Ruto. Imechapishwa: 22/05/2026 – 08:35 Dakika 1 Wakati wa…
Magazeti ya Kenya: Ruto akuna kichwa suala la bei ya mafuta ataka urafiki na wadau sekta ya uchukuzi
Rais Ruto anaanza ziara ya maendeleo Mombasa huku vyama vya wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi vikitaka hatua za haraka kuhusu bei ya juu ya mafuta ili kuzuia mgomo.
Jamhuri ya Afrika ya Kati: Rais Faustin-Archange Touadéra ateua serikali mpya
Ingawa matokeo ya mwisho ya duru ya pili ya uchaguzi wa wabunge bado hayajatangazwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, mkuu wa nchi ametangaza muundo wa serikali yake mpya siku…
Jinsi ya kuzuia picha zako za faragha zisivuje
Kupiga picha za utupu ni uamuzi ambao ni ngumu kuuingilia. Lakini kile ambacho makala hii inakusudia kukigusia, ni ushauri wa namna ya kujilinda ili picha zako za faragha zisiende kwenye…
Chad: Waziri Mkuu wa zamani Succès Masra ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela
Mahakama Kuu ya Ndjamena imefutilia mbali siku ya Alhamisi, Mei 21, rufaa iliyowasilishwa na kundi la mawakili wa kiongozi wa zamani wa serikali, na hivyo kumfanya ahukumiwe kifungo cha miaka…
DRC: Sintofahamu yazuka katika kituo cha matibabu cha Rwampara, mahema mawili yateketezwa moto
Huko Rwampara, yapata kilomita kumi kutoka Bunia, ndugu wa mgonjwa aliyefariki kutokana na Ebola wameteketeza mahema katika kituo cha matibabu siku ya Alhamisi, Mei 21, 2026, baada ya wafanyakazi wa…
Tanzania: Mwanachama wa chama Chadema anusurika kimiujiza jaribio la utekaji nyara
David Djumbe, msaidizi binafsi wa Tundu Lissu, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema ambaye mwenyewe anafungwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja, amefanikiwa kutoroka kundi la watu wenye silaha…
Maandamano yafanyika Dublin kulaani mauaji ya raia wa DRC
Mamia ya wandamanaji walijitokeza hapo jana nje ya bunge la Ireland kulalamikia kifo cha raia wa DRC akiwa mikononi mwa maofisa wa usalama wiki iliopita. Imechapishwa: 22/05/2026 – 06:41 Dakika…
Jenerali Qa’ani: Freedom Flotilla imewafedhehesha Wazayuni
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema katika ujumbe wake kwamba mafanikio ya msafara wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili…
KONA YA MSTAAFU: Ngoma za mstaafu zinapokaribia kupasuka!
“Kila mwenye ngoma zake acheze na zipasuke” ulikuwa msemo mmojawapo wa wahenga wetu waliokikuza...
Cuba ni tishio kwa usalama wa Marekani – Marco Rubio
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa Cuba ni tishio kwa usalama wa taifa la Marekani na kuwa hakuna uwezekano wa kuafikiwa kwa makubaliano ya amani…
Ebola: India yaahirisha mkutano wa kilele wa Afrika kutokana na kuzorota kwa ‘hali ya afya’
India na Umoja wa Afrika wameahirisha mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika wiki ijayo, kuanzia Mei 28 hadi 31, huko New Delhi, kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Nakuru: Mvulana wa miaka 16 akiri kumuua msichana wa gredi ya 6, asema mapepo yalimuingia akapagawa
Polisi huko Nakuru wamemkamata kijana wa miaka 16 kwa mauaji ya Mercy Nyambura, 12, aliyepatikana amekufa baada ya kutoka shule. Upasuaji wa maiti unaonyesha mateso.
Maonyesho ya “Kisiwa cha Dhambi” yafanyika Magharibi mwa Kabul
Maonyesho maalumu ya yanayodhihirisha uhalifu wa nchi za kibeberu pamoja na kashfa za kingono za viongozi wa nchi za Magharibi yaliyopewa jina "Kisiwa cha Dhambi" yanafanyika magharibi mwa mji mkuu…
Video ya mama asiyeona akifanya kazi ya kusaga mahindi kwa ajili ya familia yasisimua mioyo ya wengi
Mama asiyeona amewavutia watumiaji wa mtandao kwa uhuru na nguvu zake, akifanya kazi katika kiwanda cha mahindi. Azimio lake linavutia watu wengi mtandaoni.
Ebola DRC: Vifo 159 vinakadiriwa na visa 626 vinavyoshukiwa, atangaza Waziri wa Afya wa Kongo
Waziri wa Afya wa Kongo ametangaza siku ya Alhamisi asubuhi, Mei 21, katika kipindi cha RFI cha “Appels sur l’actualité”, taarifa mpya kuhusu janga la Ebola linaloathiri sehemu za mashariki…
Ndoto ya Afrika isiyo na mpaka yakaribia baada ya Togo kuruhusu Waafrika kuingia nchini humo bila visa
Togo imetangaza ruhusa kwa raia wa nchi zote za Afrika kuingia nchini humo bila visa na kukaa huko kwa hadi siku 30, mradi tu wawasilishe maombi kielektroniki kupitia jukwaa la…
Ijumaa, tarehe 22 Mei, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na tarehe 22 Mei 2026.
Zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe vyafungwa Sudan
Nchini Sudan, zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe katika jimbo la Darfur Magharibi,vimelazimika kusitisha shughuli zao kutokana na kupungua kwa ufadhili, watu karibu laki mbili wakisalia bila msaada. Imechapishwa:…
Uganda yasitisha kwa muda usafiri wote wa umma kwenda DRC
Mamlaka nchini Uganda imetangaza kusimamisha usafiri wote wa umma kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mlipuko mbaya wa Ebola umeendelea kuenea. Imechapishwa: 22/05/2026 – 05:43Imehaririwa: 22/05/2026 – 05:45 Dakika…
“Awuoro”: Ruth K adai alitumia KSh 900,000 kuhama nyumba ya Mulamwah baada ya kutengana
Ruth K anaelezea uzoefu wake wa kuhama nyumba ya Mulamwah, akifichua gharama zinazohusika na kushughulikia hisia za kushangaza kutoka kwa mashabiki nchini Kenya.
Namungo, Mbeya City hakuna mbabe
MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City, imeshindwa kutoa mshindi, baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 zikifungana bao 1-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani…
Wasanii wa Afrika Mashariki wanavyoishi katikati ya vita ya Marekani na Iran
Wanamuziki wengi wa Afrika Mashariki hupenda kufanya matamasha na kuishi Dubai kwa lengo la kupata malipo mazuri pamoja na kutumia jukwaa hilo kuwafikia mashabiki wa kimataifa.
Maoni mseto huku Celestine Ndinda akipuuza bathidei ya Njugush: “Mapenzi yaliisha”
Timothy Kimani, almaarufu Njugush, anakaribia bathidei yake ya kwanza bila mke wake wa zamani Celestine Ndinda. Mashabiki wameamsha kimya chake kikuu.
Maseneta waishinikiza Marekani kutathmini upya uhusiano na Tanzania
"Tanzania imekuwa mshirika muhimu wa Marekani katika Afrika Mashariki, lakini kuzorota kwa demokrasia, vurugu za kisiasa na ukandamizaji wa hivi karibuni haviwezi kupuuzwa," amesema Jeanne Shaheen.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 22, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Ronaldo aipa Al Nassr ubingwa wa Saudi Arabia
Ronaldo amefunga mabao mawili katika ushindi huo ulioipa Al Nassr taji la ligi kwa mara ya...
Mbunge Malinyi akumbushia miundombinu ya barabara
DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk Mecktridis Mdaku ameiomba Wizara ya Ujenzi kuendelea kuzingatia changamoto za kijiografia na mazingira katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu, akisema maeneo yenye mvua nyingi…
Programu ya “Startups za Viwango” yazinduliwa
Kampuni ya huduma za kidijitali na mawasiliano, Yas, kwa kushirikiana na Chemba ya...
#NBCPL Magoli yote makali….ameanza Hassan Kabunda, akajibiwa na Eliud Ambokile;
#NBCPL Magoli yote makali….ameanza Hassan Kabunda, akajibiwa na Eliud Ambokile; Je, lipi umelipenda zaidi? FT: Namungo FC 1-1 Mbeya City Yanga vs Singida BS ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD…
MSIMAMO: ‘On top of the table’, kwa mara ya kwanza msimu huu: Je, watakaa hapo kwa saa ngapi?
MSIMAMO: ‘On top of the table’, kwa mara ya kwanza msimu huu: Je, watakaa hapo kwa saa ngapi? #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable (Feed generated with FetchRSS)