Orodha ya nchi 37 ambazo Wakenya wanaweza kuzuru bila visa, kwa kutumia pasi za kusafiria pekee
Gundua nchi zote 37 ambazo wamiliki wa pasipoti wa Kenya wanaweza kuingia bila mahitaji yoyote ya visa. Ni pasipoti ya 10 yenye uzito zaidi barani Afrika.
TMA issues strong wind warning in five regions
DODOMA: THE Tanzania Meteorological Authority (TMA) has issued a warning over strong winds expected to reach speeds of up to 40 kilometres per hour in several coastal regions beginning yesterday.…
China’s Xi Thought Centre opens in Tanzania
KIBAHA: TANZANIA and China have deepened their long-standing political ties with the launch of the Research Centre for Xi Jinping Thought on Socialism with Chinese Characteristics for a New Era…
EX wa Aziz Ki afunguka madai ujauzito wa Morice Abraham
Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii, bila shaka utakuwa umekutana na habari kuhusu...
Arrow Bwoy azungumza kwa mara ya kwanza tangu Nadia Mukami kutangaza kutengana naye
Nadia Mukami alitangaza kutengana kwake kihisia na Arrow Bwoy, ambaye alizungumzia kutengana kwao kwa ucheshi. Wote waliapa kutanguliza malezi ya pamoja ya amani.
Infrastructure bonds in offing
DODOMA: THE government has announced plans to undertake extensive road construction projects across the country, supported by innovative financing mechanisms aimed at strengthening infrastructure development and accelerating economic growth. Presenting…
Ujerumani inataka kuipa Kyiv hadhi ya ‘mwanachama mshirika’ wa EU kabla ya kujiunga nayo
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anapendekeza kuihusisha Ukraine na Umoja wa Ulaya (EU), badala ya kujiunga na EU, jambo ambalo litachukua muda, katika barua kwa viongozi wa Ulaya iliyopatikana na…
Wazazi wa Maribel Irungu wazungumza kwa uchungu wakati wa misa yake ya mazishi: “Inauma kutuacha”
Familia ya TikToker Maribel Irungu inaomboleza kifo chake, ikithibitisha mipango ya kuuchoma mwili wake. Heshima za dhati zinaangazia utetezi wake wa afya ya akili.
Ebola nchini DRC: Idadi ya visa iko mara mbili hadi tano zaidi kuliko takwimu za sasa (utafiti)
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa shirika la Afya Duniani (WHO) na Chuo cha Imperial unakadiria idadi ya visa kuwa mara mbili hadi tano zaidi kuliko takwimu za sasa. Imechapishwa: 21/05/2026…
Kwanini tunaweza kusema mimea ina uwezo wa ‘kuona’?
Bila shaka, mimea haina mboni, macho, au akili, kwa hivyo haina aina ya macho ambayo inahusishwa na viumbe vingine.
Mkurugenzi wa Huduma za Dharura na Majanga, Dkt
Mkurugenzi wa Huduma za Dharura na Majanga, Dkt. Erasto Sylvanus, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha ugonjwa wa Ebola hauingii nchini. Dkt. Sylvanus amesema pamoja na uwepo wa mlipuko…
Mwanahabari na mwandishi wa kipindi cha Uchumi wa Buluu, Betty Masanja, amesema vyanzo vya maji havitoi fursa ya uvuvi pekee bal…
Mwanahabari na mwandishi wa kipindi cha Uchumi wa Buluu, Betty Masanja, amesema vyanzo vya maji havitoi fursa ya uvuvi pekee bali vina rasilimali nyingi zenye mchango mkubwa kiuchumi, ikiwemo mchanga…
Benin: Patrice Talon kukabidhi madaraka baada ya mihula yake miwili madarakani
Baada ya miaka kumi akiwa madarakani nchini Benin, rais Patrice Talon anajiandaa kukabidhi hatamu ya uongozi wa nchi siku ya Jumapili hii, Mei 24, 2026 kwa msindi wa uchaguzi, waziri…
Aston Villa yaipeleka Bournemouth Ligi ya Mabingwa Ulaya
AFC Bournemouth imeandika historia mpya baada ya kujihakikishia nafasi ya kushiriki Ligi ya...
Senegal: Rais Faye aanza mashauriano, Waziri Mkuu Sonko kuhutubia maafisa waliochaguliwa
Nchini Senegali, je, hii ni bahati mbaya ya wakati au mfano mwingine wa mawasiliano yanayokinzana katika ngazi za juu za serikali? Kuanzia Alhamisi, Mei 21 hadi Mei 31, Rais Bassirou…
Mali: Je, vita dhidi ya ugaidi inahalalisha utekaji nyara na usalama wa taifa
Nchini Mali, hakuna habari za wakili na mwanasiasa Mountaga Tall kwa karibu wiki tatu. Baada yake, watetezi wengine wa demokrasia na ndugu wa wanachama wa upinzani walio uhamishoni wametekwa nyara…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 21, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Mei 21, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Kiongozi Muadhamu amkumbuka Shahidi Rais Raeisi, ampongeza kwa uwajibikaji
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ametoa ujumbe wa kuadhimisha mwaka wa pili tangu kufa shahidi aliyekuwa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,…
IRGC yaonya kuwa vita vipya dhidi ya Iran vitavuka mipaka ya eneo
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa onyo kali kwamba endapo vita dhidi ya Iran vitaanzishwa tena, basi vita vya kikanda vilivyoahidiwa hapo awali safari hii vitapanuka kuvuka…
Iran yakosoa upotoshaji wa CENTICOM kuhusu mauaji ya halaiki ya Minab
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha matamshi ya Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kuhusu mashambulizi ya ya makombora yaliyofanywa katika shule ya msingi ya Shajareh Tayyebeh…
Iran yakosoa upotoshaji wa fedheha wa CENTICOM kuhusu mauaji ya halaiki ya Minab
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha matamshi ya Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kuhusu mashambulizi ya ya makombora yaliyofanywa katika shule ya msingi ya Shajareh Tayyebeh…
UNICEF: Mlipuko wa Ebola umewaweka Watoto hatarini
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa…
Putin na Xi walaani vita vya uchokozi vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Rais wa Russia, Vladimir Putin, na mwenzake wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping, wamekemea kwa pamoja vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi…
Putin wa Russia na Xi wa China walaani kwa pamoja vita vya uchokozi vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Rais wa Russia, Vladimir Putin, na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping, wamekemea kwa pamoja vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi…
Ebola DRC: Tani 100 za vifaa vyapelekwa mashariki, WHO yazungumzia hatari ‘kubwa’ ya kikanda
Jibu linaandaliwa ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya Ebola ambao unaendelea kuathiri maeneo kadhaa ya mashariki mwa DRC kwa siku kadhaa. Kitovu cha mlipuko kiko Ituri, Bunia, na katika…
Magazeti ya Kenya: Uzito wa Gachagua Mlima Kenya wafufua zimwi la ‘Tyranny of Numbers’
Ripoti za magazeti zinahusu kuzidi kwa mvutano wa kisiasa licha ya bei za juu za mafuta, mgomo wa matatu unaonukia, na uamuzi wa korti kuhusu mahusiano ya vijana.
Wajibu wa mataifa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa wapitishwa
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloimarisha wajibu wa mataifa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hata hivyo likipata upinzani mkali toka…
Kenya: Serikali yatakiwa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya wanawake
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya, yametoa muda wa siku 40 kwa serikali kushughulikia ongezeko la visa vya mauaji ya wanawake na vitendo vingine vya Ukatili wa Kijinsia,…
Alkhamisi, tarehe 21 Mei, 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na tarehe 21 Mei 2026.
Rachel Wandeto: Polisi wamkamata mshukiwa mkuu wa mauaji katili
Polisi wamemkamata dereva teksi Josiah Runjiri anayehusishwa na mauaji katili ya Rachel Wandeto. Wito umetolewa kukomesha ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake.
Trump: Mazungumzo na Iran yako katika hatua za mwisho, tutawashambulia iwapo hawataafikia makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani ipo tayari kutekeleza mashambulizi dhidi ya Iran, iwapo hawataafikia makubaliano ya kusitisha vita, na kusema kuwa Washington itasubiri kwa siku chache ili kupata…
Sierra Leone yawapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani
Sierra Leone imekuwa taifa jingine la Afrika kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump na kampeni yake dhidi ya aliowataja wahamiaji haramu. Imechapishwa: 21/05/2026 –…
Nchi hizi 5 Afrika mafuta huuzwa kwa bei ya ‘chapati’
Mataifa haya, mafuta ni bei rahisi kiasi kwamba bei hiyo unaweza kununua chapati, na kwa baadhi ya nchi bei yake ni ndogo kuliko bei ya andazi au kitumbua.
Kuyumba kwa biashara ya chai sambamba na ‘kujiongeza’ kwa wakulima duniani kunaweza kuendelea kulifanya zao hilo kupata soko lin…
Kuyumba kwa biashara ya chai sambamba na 'kujiongeza' kwa wakulima duniani kunaweza kuendelea kulifanya zao hilo kupata soko linaloweza kuwapa ahueni wakulima nchini. Emmanuel Kalemba amemtembelea mkulima wa zao hilo…
Mashabiki wa Arsenal watua Kang’o Ka Jaramogi kumuenzi Raila Odinga, mfuasi shadidi na mwaminifu
Mashabiki wa Arsenal walimkumbuka marehemu Raila Odinga kwa kutua Kang’o Ka Jaramogi kusherehekea ushindi wa Ligi Kuu wa klabu hiyo na kutuma rambirambi mtandaoni.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa Ebola Mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku wa…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa Ebola Mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku watu zaidi ya 130 wakithibitishwa kufariki dunia. Taarifa ifuatayo…
Dada yake Tiktoker marehemu Maribel Irungu azungumza kwa mara ya kwanza, azungumzia mazishi
Dada yake TikToker Maribel Irungu Hafsa Wangui amejitokeza kumwombolezea dada yake siku chache baada ya kifo chake. Pia alifunguka kuhusu maandalizi ya mazishi.
Mchungaji Malisa sasa huru
Jamhuri ilidai kuwa, alitengeneza nia ya kuhamasisha umma kushiriki kusanyiko lisilo halali kwa...
Ni nani anayelinda meli eneo la Ghuba na Bahari ya Shamu?
Je, ni miungano gani maarufu zaidi ya kijeshi kwa sasa inayolinda usafiri wa baharini katika eneo la Mashariki ya Kati?
Aston Villa yaweka historia Ulaya baada ya miaka 44
Aston Villa imeandika historia mpya Ulaya baada ya kuibuka mabingwa wa Europa League kwa...
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 21, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Wanufaika wa mbolea Makete waanza kuvuna matokeo
MAKETE: Zaidi ya vijana 160 wa Wilaya ya Makete walionufaika na msaada wa mbolea bure kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea (TFRA) wameanza kufurahia matunda ya mtaji waliouomba kutoka serikalini.…
‘Vipimo sahihi nguzo uchumi wa viwanda’
DODOMA :Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya vipimo nchini ili kuongeza ushindani wa bidhaa za ndani katika soko la kimataifa, kukuza viwanda na kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea sayansi na teknolojia.…
Takukuru Mtwara yafanikisha malipo ya Sh milioni 87.3
MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha malipo ya Sh milioni 87.3 za serikali katika sekta binafsi na umma. Yamejiri hayo leo Mei 20, 2026…
#NBCPL Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah anasema mechi ilikuwa ni kama fainali akiwashukuru Mashujaa kwa kuwapa “game nzuri”, h…
#NBCPL Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah anasema mechi ilikuwa ni kama fainali akiwashukuru Mashujaa kwa kuwapa “game nzuri”, huku Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, akichambua kiufundi alichokifanya…
#NBCPL Haya hapa magoli yote mawili, akitangulia William Edgar dakika za asubuhi,
#NBCPL Haya hapa magoli yote mawili, akitangulia William Edgar dakika za asubuhi,.. lakini Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ akachomoa dakika za jioni. FT: Dodoma Jiji 1-1 Mashujaa FC. Coastal Union vs Simba…
MSIMAMO: KMC mambo bado…!!!
MSIMAMO: KMC mambo bado…!!! Je, tuanze kuwahesabia #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable (Feed generated with FetchRSS)
#RSL Ahli wamehitimisha msimu kwa kishindo…!!!
#RSL Ahli wamehitimisha msimu kwa kishindo…!!! FT: Al Khaleej 1-4 Al Ahli Kimbembe cha ubingwa ni kesho Mei 21…. Je, ni Al Nassr au Al Hilal… Mechi zote mbili utazipata…