#NBCPL Balama Mapinduzi ndiye mkombozi wa Mashujaa
#NBCPL Balama Mapinduzi ndiye mkombozi wa Mashujaa. FT: Dodoma Jiji 1-1 Mashujaa FC Coastal Union vs Simba ni saa 12:30 jioni LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuyaNBC #NBCUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJiji #MashujaaFC…
Rais Samia awazawadia Tanzanite Queens Sh50 milioni
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa Rais Samia...
Adan Mohamed: Kamishna Jenerali mpya wa KRA aapishwa, kesi kortini dhidi yake yapuuzwa
Adan Mohamed aapishwa kimya kimya kuma kamishna mkuu wa KRA huku kukiwa na kesi mahakamani kuhusu umri wake, sifa zake. Hali hiyo imezua uteuzi huo.
Raila Junior afurahia ushindi wa Arsenal, awamiminia sifa kedekede Arteta na Bukayo Saka
Raila Junior amesherehekea ushindi wa Arsenal katika Ligi Kuu ya soka Ulaya, akiutoa kwa ajili ya baba yake marehemu. Pia alisema ni nani aliyekuwa bora msimu mzima.
Mahakama yashindwa kuamua hatima kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Chama cha...
Gawio la wanahisa NMB lafikia Sh305 bilioni
Gawio hilo linajumuisha gawio la kawaida la Sh504.26 kwa kila hisa lenye thamani ya Sh252...
Wataalamu waeleza matumizi sahihi ya AI
Teknolojia ya Akili Unde (AI) imeendelea kutajwa nyenzo muhimu inayorahisisha ujifunzaji...
TANESCO: Chalinze–Dodoma 400kV Power Line to be completed by August 2026
COAST REGION: TANESCO Managing Director Lazaro Twange has said the 400-kilovolt power transmission line project from Chalinze to Zuzu is expected to be completed by August 18, 2026. Speaking on…
Orodha ya nchi 10 za Kiafrika zilizo na madeni mazito zaidi ya IMF mnamo Mei 2026
Gundua nchi 10 za Kiafrika zenye deni kubwa zaidi linalodaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulingana na data ya mikopo ya IMF ya Mei 2026.
Serikali kutoa Sh482 milioni barabara ya mchepuko Mlima Nyoka
Daraja hilo linajengwa kwenye barabara ya mchepuko kutoka Mlima Nyoka, Uyole kuelekea Kasumulu...
Mkalimani akwamisha kesi wanaodaiwa kuingia tani 11 dawa za kulevya
Shaweji na wenzake wanadaiwa kuingiza nchini shehena hiyo ya dawa za kulevya aina ya Mitragyna...
Kakoso ataka wabunge wachukue uamuzi mgumu barabara zijengwe
Mbunge wa Tanganyika mkoani Katavi, Selemani Kakoso amewataka wabunge kuchukua uamuzi mgumu ili...
Hizo ndizo fadhila za siku kumi za Dhul Hijja kwa Waislamu
Waislamu duniani wameingia katika moja ya vipindi vitukufu zaidi katika kalenda ya Kiislamu...
Cape to Cairo Arusha International Marathon 2026: Where footsteps become a movement
ARUSHA: THE Northern safari capital is bracing to host the annual Cape to Cairo Arusha International Marathon later this month, in what organizers describe as far more than a sporting…
Tanzania, Kuwait explore areas of cooperation in efforts to broaden their long-standing ties
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Kuwait have reaffirmed their commitment to strengthening bilateral cooperation following talks between Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, and Kuwait’s…
Wawakilishi waibana Serikali utoaji huduma usioridhisha
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema licha ya majengo mazuri ya hospitali yaliyojengwa...
Dream Space architect calls for unity, creativity in advancing the Film Industry
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian film industry has been urged to strengthen unity and collaboration among practitioners in order to accelerate its growth and global competitiveness. This was said by…
Afariki dunia baada ya kuzama bwawani
Abasi Massoud Athumani (30), amefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la maji lililopo...
Nordic experienced Matinyi starts Algeria diplomatic assignment
ALGERIA: Ambassador Mobhare Matinyi arrived in Algiers on Tuesday, May 19, 2026, ready to officially begin his duties representing Tanzania in the People’s Democratic Republic of Algeria as Ambassador, marking…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 20 2026 – MFUMO WA MABARAZA YA ARDHI KUPITIWA UPYA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 20 2026 - MFUMO WA MABARAZA YA ARDHI KUPITIWA UPYA (Feed generated with FetchRSS)
TBS stages Viwango Marathon to mark its Golden Jubilee
DAR ES SALAAM: TANZANIA Bureau of Standards has organized a marathon known as the “Viwango Marathon” as part of celebrations marking 50 years since the establishment of the organization. The…
RC, waandishi wamlilia mpigapicha aliyefariki dunia ajalini, Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amewatembelea baadhi ya majeruhi wa ajali ya gari...
Aliyemlawiti mtoto wa rafiki yake akwama Mahakama Kuu
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Geita imebariki hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya mkazi...
#HABARI: Watumishi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria kwa ku…
#HABARI: Watumishi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuendesha mafunzo ya elimu ya uraia, utawala bora, na usimamizi wa…
Kituo utafiti wa maendeleo dhidi ya umaskini Afrika chazinduliwa
Viongozi wa vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika wamekutana Kibaha mkoani Pwani kushuhudia...
Serikali yaja na hati fungani kujenga barabara
Waziri Ulega ameeleza namna fedha hizo zitakavyotumika kwa kila taasisi ambapo Wizara ya Ujenzi...
Ujenzi jengo la MSD Chato wafikia asilimia 57, kukamilika Oktoba
Mradi wa ujenzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia dawa na vifaa tiba la Bohari ya Dawa (MSD)...
CCM Mbeya yawataka viongozi kwenda kwa wananchi
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewataka viongozi na makatibu wake kwenda kwa...
Nadia Mukami Atangaza Kukatika kwa Uhusiano Wake na Arrow Bwoy Baada ya Kumkaribisha Mtoto wa Pili
Mwanamuziki Nadia Mukami alisimulia matatizo ambayo amevumilia katika uhusiano wake na Arrow Bwoy huku akithibitisha kwamba walitengana miezi kadhaa iliyopita.
Nabi aendelea kutaka Fei Toto kucheza kimataifa
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Edward Christopher ambaye kwa sasa anaichezea Stand United ‘Chama la Wana’ iliyopo Ligi ya Championship, amesema kila anapowaamgalia Wanamsimbazi wakicheza mechi anavutiwa na ufundi wa…
Uganda: Watu zaidi ya 100 wamewekwa karatani wakishukiwa kuambukizwa Ebola
Nchini Uganda, watu zaidi ya 100 wamewekwa karatini, baada ya kushukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, wakati huu serikali ikiweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo, baada ya watu wawili…
Chilunda aibeba TRA United ikilipa kisasi kwa Mtibwa
BAO la dakika ya 90 la mshambuliaji wa TRA United, Shaaban Idd Chilunda, limetosha kuipa ushindi timu hiyo wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mechi kali na ya…
Azam yasaka winga Mkongo
AZAM FC imeendelea kusuka kikosi chake kuelekea msimu ujao, ambapo sasa iko hatua za mwisho kumnasa winga wa FC Saint-Éloi Lupopo, Henoc Molia, baada ya mapendekezo ya kocha Florent Ibenge.
Rupia akitoka, Mkongomani anaingia Singida BS
SINGIDA Black Stars imeanza mchakato wa kusuka upya safu ya ushambuliaji ambapo kwa sasa inafanya mazungumzo na mshambuliaji Candidat Mapendo wa AS Dauphins Noirs ya DR Congo.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI – MEI 20, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, MADINI KUTOA MIKOPO KWA WACHIMBAJI - MEI 20, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Watanzania wanavyochangamkia uwekezaji wa hatifungani
Hatifungani hiyo iliyolenga kukusanya Sh15 bilioni, imefanikiwa kuvutia zaidi ya Sh33 bilioni...
Takukuru Mtwara yaokoa Sh87 milioni, wakulima walipwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imefanikiwa kuokoa zaidi ya...
Hakuna Diamond BET 2026, Wanigeria watawala tena
Kutangazwa kwa majina ya wanaowania tuzo za BET kumezua mjadala mitandaoni baada ya mashabiki...
KVZ, Fufuni jino kwa jino, Malindi shaka ZPL
WAKATI Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), ikielekea ukingoni, maji na mafuta vianza kujitenga kutokana na ushindani wa kila eneo kutoka wasaka ubingwa hadi wale wanapigana kubaki katika ligi hiyo msimu huu.
Takukuru yarejesha Sh11.4 milioni zilizolipwa kwa mtumishi hewa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imefanikiwa kurejesha...
Chadema yamjibu Msajili, CCM yaingia mtegoni
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kisimamishiwe usajili wake, kitozwe faini...
Serikali yajenga kilomita 1,495 barabara za lami miaka mitano
DODOMA: Serikali imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya…
Mwanafunzi adaiwa kujifungua, kumtupa mtoto chooni
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Kibindu wilayani Bagamoyo mkoani Pwani...
Bibi wa miaka 70 atoa ushuhuda daraja la Magufuli
DODOMA: Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa…
Imani ya wawekezaji yawezesha hatifungani EFTA kuvuka lengo
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA) imesema kuongezeka kwa imani ya wawekezaji katika masoko ya mitaji nchini, sambamba na mazingira mazuri yaliyowekwa na serikali,…
Wahandisi 1,000 kushiriki kongamano uhandisi
DAR ES SAAM: ZAIDI ya wadau 1,000 wanatarajia kushiriki Kongamano la 12 la wahandisi lenye lengo la kubadilishana uzoefu katika taaluma zao ambalo litafanyika tarehe 13 hadi 17 mwezi Septemba…
Wasioona waomba msaada elimu ya usalama barabarani
Dar es Salaam. Wanachama wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania (TAB) wameiomba Serikali kuweka mpango...
Wadau wachambua uteuzi majaji tisa Mahakama ya Rufani
Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa wa Mahakama Kuu kuwa majaji wa mahakama ya...