Rais Trump akutana na mwenzake wa China Xi Jiping jijini Beijing
Rais wa Marekani Donald Trump, amepokea mapokezi makubwa jijini Beijing nchini China, mbele ya mwenyeji wake Xi Jinping wakati huu, wakianza mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kibiashara, vita vya Iran na…
RDC: Upinzani kuungana dhidi ya marekebisho ya katiba
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, upinzani unatafuta kuungana na kupanga mikakati dhidi ya marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa. Mei 6, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais Félix Tshisekedi…
Dar to host ICGLR Women Parliamentary Conference 2026
Dodoma: Approximately 200 women parliamentarians from all 12 member states of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) are expected to gather in Dar es Salaam later this…
Jeshi la Iran: Hakuna silaha za Marekani zikazovuka Mlango-Bahari wa Hormuz
Jeshi la Iran limetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaruhusu tena silaha za Marekani kuvuka Mlango-Bahari wa Hormuz na kuingia katika vituo vya nchi za kanda hii. Limesema kuwa njia hiyo…
Waziri Mkuu wa Uhispania ampongeza Lamine Yamal kwa kusherehekea ubingwa na bendera ya Palestina
Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, amesisitiza uungaji mkono wa nchi yake kwa haki ya Wapalestina ya kuanzisha nchi yao wenyewe, akitoa maoni yake kuhusu utata uliosababishwa na hatua ya…
“Hakuna barabara haina bumps”: Mke wa Dkt. Obwaka afichua jinsi walivyokutana, alimpenda kiukweli
Everose Chemtai akimsifu mumewe Dkt. Job Obwaka wakati wa misa yake ya wafu, akikumbuka miaka yao 46 ya mapenzi, vicheko, na watoto wao saba pamoja.
Barua ya wanasayansi zaidi ya 1,000 yasisitiza kulindwa vyuo vikuu vya Iran dhidi mashambulizi ya Marekani na Israel
Mamia ya wanachama wa Muungano wa Kimataifa wa Wanasayansi Duniani wameandika barua ya wazi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UNESCO, na Kamishna Mkuu…
Putin apongeza uzinduzi wa ‘kombora lenye nguvu zaidi duniani’
Russia imefanya majaribio ya kombora jipya la balestiki lenye uwezo wa kupiga shabaha kutoka bara moja hadi jingine, huku Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo akilitaja kombora hilo lenye uwezo…
China yaionya Marekani kuhusu mauzo ya silaha kwa Taiwan
China kwa mara nyingine tena imepinga vikali hatua ya Marekani kuzidisha himaya na uungaji mkono wake wa kijeshi kwa Taiwan sambamba na ziara ya Rais Trump mjini Beijing.
Mke wa Dkt. Obwaka akumbuka maneno ya mwisho ya mumewe, asema walikula kiamsha kinywa pamoja
Dkt. Job Obwaka atazikwa Ijumaa, Mei 15, nyumbani kwake Musanda, Mumias, Kaunti ya Kakamega. Obwaka alifariki Mei 1 baada ya kupata mshtuko wa moyo.
Daktari wa Karen Hospital akanusha kumficha Rigathi Gachagua ili kukwepa kung’atuliwa
Dkt Dan Gikonyo anakataa madai kwamba kulazwa kwa Rigathi Gachagua hospitalini ilikuwa ni mbinu ya kukwepa kushtakiwa, akidai alikuwa mgonjwa kweli na alilazwa.
Rwanda yazindua mfumo mpya wa mirahaba kwa wasanii, kuipiku Tanzania
Kwa wasanii wengi, mageuzi hayo yamepokelewa kama hatua ya muda mrefu iliyokuwa ikisubiriwa.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 14, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Mbunge wa Segerea Agnesta Lambert Kaiza ameikumbusha Serikali kuhusu malipo ya fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 104 kwa wananc…
Mbunge wa Segerea Agnesta Lambert Kaiza ameikumbusha Serikali kuhusu malipo ya fidia ya zaidi ya shilingi bilioni 104 kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha eneo la uwanja wa ndege akieleza kuwa…
KARIAKOO DERBY WANAWAKE: “…mchezo huo hautakuwa na kiingilio”
KARIAKOO DERBY WANAWAKE: “…mchezo huo hautakuwa na kiingilio”. Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo akizungumza machache kuhusu maandalizi ya Dabi ya Kariakoo, kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens.…
#LaligaEASports Sevilla wamepindua meza kibabe katika harakati zao za kujinusuru na balaa la kushuka daraja
#LaligaEASports Sevilla wamepindua meza kibabe katika harakati zao za kujinusuru na balaa la kushuka daraja. FT: Villarreal 2-3 Sevilla FC FT: Espanyol 2-0 Athletic Club Zinafuata mbili tena.. Getafe vs…
Kukaribia mwisho wa kisiasa wa Starmer na kuzidi kupata nguvu Iran
Pars Today - Magazeti ya Uingereza yameripoti kwa wingi habari inayosisitiza kuwa, kusambaratika kisiasa Waziri mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer kumekaribia.
NBC Premier League Alhamis hii
NBC Premier League Alhamis hii Mechi nne kupigwa, mnyama Simba SC na matajiri wa jiji Azam FC dimbani Je, nani kuondoka ama kudondosha alama tatu? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Serikali imeanza mkakati wa kuimarisha usuluhishi wa migogoro ya ndoa ngazi ya jamii, hatua inayolenga kupunguza talaka na kupun…
Serikali imeanza mkakati wa kuimarisha usuluhishi wa migogoro ya ndoa ngazi ya jamii, hatua inayolenga kupunguza talaka na kupunguza mzigo wa mashauri mahakamani. Kupitia mafunzo yaliyotolewa na Wizara ya Katiba…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepewa wiki moja na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwasilisha maelezo kuhusu…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepewa wiki moja na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwasilisha maelezo kuhusu madai ya kukiuka masharti ya Sheria ya vyama vya siasa…
Changamoto ya ukosefu wa mitaji imeendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa wafungwa wanaotoka gerezani kuanza maisha mapya, licha ya ba…
Changamoto ya ukosefu wa mitaji imeendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa wafungwa wanaotoka gerezani kuanza maisha mapya, licha ya baadhi yao kupata mafunzo ya ujuzi mbalimbali wakiwa vifungoni. Kutokana na hali…
Dkt. Obwaka: Mahakama yamwachilia huru Wangari, yasema ripoti ya upasuaji wa maiti ilidhoofisha kesi
Mahakama Kuu imeamuru Beatrice Wangari aachiliwe huru baada ya matokeo ya uchunguzi wa kifo cha Dkt. Job Obwaka kufuta tuhuma za mauaji zilizohusu kifo cha Dkt.
Wataalamu wataja suluhisho kupunguza upofu nchini
Wataalamu wa afya ya macho wameeleza kuwa kuimarishwa kwa programu za mwongozo wa kitaaluma kwa...
Mfumo wa PRIS kuzinduliwa kesho
Dar es Salaam – Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah amesema Kampuni hiyo inaunga mkono Mfumo wa Kimkakati wa Uchumi wa Dijitali Tanzania (2024–2034), unaolenga kuiweka…
Kiungo afichua kinachombeba Abuya
KIUNGO wa KMC, Omary Chibada amesema amekuwa akivutiwa na kiwango cha Duke Abuya kutokana na namna anavyocheza kwa utulivu mkubwa.
Kesi ya Gachagua kung’atuliwa: Dkt. Gikonyo aibua kicheko, akiri hajui kwa nini yuko mahakamani
Daktari Daniel Gikonyo alikiri kutojua kwa nini aliitwa mahakamani katika kesi ya Rigathi Gachagua kung'atuliwa, na kuzua kicheko katika Mahakama ya Milimani.
Wizara ya Uchukuzi imewasilisha bajeti yake bungeni huku wabunge wakihimiza matumizi makubwa ya Bandari Kavu ya Kwala mkoani Pwa…
Wizara ya Uchukuzi imewasilisha bajeti yake bungeni huku wabunge wakihimiza matumizi makubwa ya Bandari Kavu ya Kwala mkoani Pwani, ili kusaidia kupunguza msongamano wa magari, uharibifu wa miundombinu na foleni…
Washindi watatu wa kampeni ya CRDB kuona kombe la dunia Canada
Mkuu wa mkoa wa Rukwa na mwanasiaka mkongwe nchini, Charles Makongoro Nyerere ni miongoni mwa...
Discovery Health yapania kuboresha huduma za afya kwa waajiri nchini
Kampuni ya utoaji wa bima ya afya kwa waajiri, Discovery Health – Global Health Solutions...
Kocha Gamera ajitoa Fufuni, New City yasisitiza kutoshuka daraja
KOCHA Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohammed ‘Mani Gamera’ ameamua kuachana na timu hiyo baada ya kumalizika kwa mechi ya hatua ya robo fainali ya Kombe la FA ambapo timu hiyo…
Bunge la Tanzania mwenyeji mkutano wa mabunge Maziwa Makuu
Bunge la Tanzania litakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa wabunge wanawake wa nchi 12 za Jukwaa la...
Serengeti Boys mzigoni ikisaka tiketi Kombe la Dunia
ILE siku ambayo Watanzania wengi walikuwa wakiisubiri imewadia, ambapo timu ya Taifa ya soka chini ya miaka miaka 17 (Serengeti Boys), leo inaanza safari yake katika Fainali za Kombe la…
Msajili ailima barua Chadema, yenyewe yafafanua
Alipotafutwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, kufafanua kuhusu barua hiyo...
Mashujaa v Simba ‘msondo’ uko hapa!
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa, huku vita ya pointi tatu ikitarajiwa kusakwa kibabe kuanzia saa nane mchana. Katika vita hiyo, kuna shoo ya Clatous Chama…
Rais Mwinyi akemea makundi ndani ya CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesisitiza umoja...
Wakazi wa Mafia walalamikia kukwama usafiri kuharibika MV Kilindoni
Wakazi wa Wilaya ya Mafia mkoani Pwani wameendelea kulalamikia changamoto ya usafiri wa majini...
Wamiliki wa shule binafsi wapanga kupandisha gharama za usafiri
Baadhi ya wamiliki wa shule za msingi na sekondari binafsi wamesema huenda wakaongeza gharama...
CRDB kujadili ongezeko gawio la Sh90 kwa kila hisa
Majadiliano hayo yatafanyika katika mkutano mkuu wa 31 wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo...
Mwanamke atoweka, familia wahaha kumtafuta kwa zaidi ya siku 90 Arusha
Hali ya sintofahamu imeigubika familia ya Scola Peter Chuwa (45), mkazi wa Mtaa wa Ndarivoi...
Mabroka 100 washiriki mnada madini ya vito Tanzanite
Wafanyabiashara wadogo 100 wa madini wenye leseni (mabroka) wameshiriki kwenye mnada wa madini...
King’ora chawashtua wabunge, waelezwa hakuna hatari
King'ora cha kuonyesha hali ya hatari kimeleta taharuki ndani ya Bunge na kufanya baadhi watoke...
TRC kuipunguzia mzigo Serikali, yaanza kujitegemea
Waziri Mbarawa amesema TRC sasa imefikia hatua ya kuanza kujiendesha bila kutegemea ruzuku ya...
Chama lako lipo namba ngapi?
Chama lako lipo namba ngapi? (Feed generated with FetchRSS)
Baadhi ya wazee waliokuwa wanachama wa Chama cha Ushirika cha Mikahawa wamemuomba rais Dkt
Baadhi ya wazee waliokuwa wanachama wa Chama cha Ushirika cha Mikahawa wamemuomba rais Dkt. Samia kuingilia kati na kuwarejeshea majengo yao ya biashara yaliyochukuliwa kimabavu na Chama cha Mapinduzi (CCM)…
Wananchi Maswa walia shida ya maji
Wananchi wa Kijiji cha Sulu wilayani Maswa mkoani Simiyu wamelazimika kuendelea kutumia maji...