Onyonka amuomba radhi Gachagua kwa kuchangia kufukuzwa kwake serikalini: “Sikujua wewe ni mtu mwema”
Seneta wa Kisii Richard Onyonka ameomba radhi kwa Rigathi Gachagua kwa kuchangia katika kung'atuliwa kwake serikalini, akionyesha mabadiliko ya moyo wake binafsi.
Allarakhia apandisha timu England, Mnoga akiisaka League One
SOKA la England linaendelea kushuhudia mchango wa wachezaji wenye asili ya Tanzania, huku Tarryn Allarakhia akiwa tayari ameandika historia kwa kuisaidia Rochdale A.F.C. kupanda kutoka National League (Daraja la Tano)…
Mavunde asimamisha uchimbaji madini kwenye mito Katavi
Kufuatia ukaguzi uliofanywa kwa wamiliki wa leseni wanaofanya uchimbaji kwenye mto na kuathiri...
Shivo Tanzania eyes Zanzibar expansion after strong growth
Unguja: Real estate developer Shivo Tanzania has reported strong early-stage growth, signalling rising investor confidence in Zanzibar’s fast-expanding property market as it positions for large-scale project delivery in Paje. In…
Mechi nne za kuwania nafasi Ligi Kuu
Kuna mechi nne za Ligi Kuu Tanzania Bara zinachezwa leo Alhamisi huku vita ya pointi tatu...
Vyombo vya Habari vya Marekani: Iran bado ina uwezo mkubwa wa makombora
Kinyume na madai ya maafisa wa serikali ya Marekani wanaochochea vita, akiwemo Rais Donald Trump, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti, vikinukuu tathmini za siri, kwamba Iran bado ina uwezo…
Messi akimbiza kwa mshahara Marekani
Taarifa iliyotolewa na Chama cha Wachezaji wa Ligi Kuu ya Marekani ‘Major League Soccer’...
Experts warn on rising obesity rates
DAR ES SALAAM: HEALTH experts have urged Tanzanians, particularly urban residents, to change their lifestyles in order to curb obesity, which has been identified as a major cause of Non-Communicable…
Gauni la kanisa kwenye tuzo za AMVCA lazua utata
Tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCA) 2026 zilijaa matukio mengi ya mitindo ya...
Vyama vikuu vya ushirika vyatoa misaada Lindi
Viongozi na wanachama wa vyama vikuu Mkoa wa Lindi wameendelea kutoa misaada katika...
Tanzania and Ireland hold talks to cement their long-standing ties
STOCKHOLM: TANZANIAN Ambassador to Sweden, Swahiba Mndeme May 13, 2026, paid a courtesy call to Irish Ambassador Barbara Jones, who also serves as Chair of the Network of Women Ambassadors…
Women seen as key to Africa’s agricultural future
DAR ES SALAAM: ACROSS Eastern and Southern Africa, women plant crops, feed families and sustain local markets, yet many still lack the land, financing and leadership opportunities needed to fully…
Morogoro to host Classic 2026 sport event in June
MOROGORO: THE Morogoro Classic 2026 will be held from 12 to 14 June at Morogoro Gymkhana Club, bringing together golf, tennis, youth sport and community activities in a three-day fundraising…
TIRA eyes inclusive growth through insurance innovation
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) has reaffirmed its commitment to promoting innovation, financial inclusion and sustainable growth in the insurance sector as part of efforts to…
Why men matter in ending GBV
DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS are calling for stronger male involvement in protecting women and children against Gender-Based Violence (GBV), arguing that lasting change is impossible without men taking an active…
Tukiamua, gesi inaweza kututoa
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakabiliwa na misukosuko ya kisiasa na kiusalama, hasa...
Wajasiriamali wadogo wapewa mbinu za kupata mitaji
Upatikanaji wa mitaji umeendelea kuwa changamoto kubwa kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs)...
Yanga unbeaten run collapses
SINGIDA: YOUNG Africans SC saw their unbeaten run come to a painful end after surrendering a commanding position to lose 3-2 against Dodoma Jiji FC in a dramatic Mainland Premier…
Inside Nancy Sumari’s inspiring reinvention
DAR ES SALAAM: FEW Tanzanian beauty queens have successfully reinvented themselves beyond the crown quite like Nancy Sumari. Once celebrated for her reign as Miss Tanzania 2006 and Miss World…
Simba, Mashujaa set for tight Premier League clash
DAR ES SALAAM: TITLE-CHASING Simba SC face a stern test of their championship credentials today when they face a resilient Mashujaa FC side in a Mainland Premier League fixture at…
Inter Milan yatwaa ubingwa wa Copa Italia
Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia ‘Seria A’...
Carbon trading unlocks opportunities
DAR ES SALAAM: CARBON trading is emerging as one of the country’s fastest-growing green economy opportunities, with potential to boost agricultural productivity, increase rural incomes and strengthen climate resilience through…
Tumia njia hizi kujiajiri ukiwa bado umeajiriwa
Katika hali ya sasa ya uchumi, watu wengi wanatamani kuwa na uhuru wa kifedha yaani uwezo wa...
Arusha hosts EAC talks on trade standards
ARUSHA: THE East African Community (EAC) Standards Committee has convened a four-day meeting in Arusha to evaluate progress in the implementation of programmes focusing on standards harmonisation, quality assurance, metrology…
CJ: Turn talents into income opportunities
DAR ES SALAAM: CHIEF Justice George Masaju has urged talented Tanzanian youths to use their talents and knowledge to create self-employment instead of relying on scarce paid jobs. “Our young…
What Trump’s historic Beijing visit means amid global energy, geopolitical turmoil
BEIJING: THE entire world will be watching Beijing, China, this week and possibly into next. Despite ongoing trade and economic challenges caused by energy supply instability, US President Donald Trump…
Tanzania’s 25-year push to wean public entities off government subsidies
DAR ES SALAAM: OVER the next 25 years, Tanzania plans to gradually reduce the dependence of public entities on government subsidies, in what officials describe as a major shift aimed…
Spika Zungu aahirisha kikao cha Bunge kisa vipaza sauti
Spika wa Bunge, Mussa Zungu ameahirisha kwa muda shughuli za Bunge baada ya kubaini kuwa vipaza...
PSG yatetea ubingwa League 1
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imeendelea kutawala soka la Ufaransa baada ya kutwaa ubingwa...
Universal coverage means dignity for every Tanzanian
DAR ES SALAAM: TANZANIA is approaching one of the most important social reforms in its modern history and that is beginning January 2026, Universal Health Insurance will require households to…
CSOs demand full funding for child safety
DODOMA: CIVIL Society Organisations (CSOs) have called on Members of Parliament to ensure strict enforcement of regulations requiring councils to allocate three per cent of their own-source revenues to child…
Mwinyi addresses compensation failures
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has announced the formation of a special committee to oversee the implementation of recommendations made by a commission that reviewed compensation for citizens affected by…
Namna pomboo wanavyotumika vitani dhidi ya adui
Miaka 26 iliyopita, mwezi Machi tarehe 8, 2000, BBC iliripoti kwamba Iran ilinunua pomboo wa "kujitoa muhanga".
House approves 35.5bn/- Vice-President budget
ZANZIBAR: THE Zanzibar House of Representatives has approved a 35.5bn/- budget for the Office of the First Vice-President, as lawmakers called for stronger public education on climate change, environmental protection…
Student interest in vocational studies rises sharply
DODOMA: THE number of schools implementing the vocational education pathway has increased from 35 in 2024 to 119 in 2026, reflecting growing public confidence in the system and rising demand…
Mashariki mwa DRC: Human Rights Watch yaishutumu M23 kwa mauaji katika mji wa Uvira
Wakati AFC/M23 inayoungwa mkono na Rwanda ikiondoka wiki hii kutoka maeneo kadhaa katika Uwanda wa Ruzizi na nyanda za juu za mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC, shirika la…
Mahakama ya Wakaguzi yaonya kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma
Mahakama ya Wakaguzi imefichua siku ya Jumatano, Mei 13, kuwepo kwa kesi zinazodaiwa za matumizi mabaya ya fedha za umma ndani ya serikali kuu, serikali za mikoa, na baadhi ya…
Vita mashariki mwa DRC: Emmanuel Macron akosoa mbinu ya Marekani ya vikwazo dhidi ya Kigali
Kando ya Mkutano wa Africa Forward jijini Nairobi, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alipinga kupitishwa kwa vikwazo vya pamoja dhidi ya Kigali, vilivyowekwa mfano wa mbinu ya Marekani, siku ya…
Tanzanite Queens kuangukia hapa Kombe la Dunia
DROO ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia Wanawake chini ya miaka 20, itachezeshwa leo Ijumaa saa 10 jioni jijini Lodz, Poland, huku Timu ya Taifa ya Tanzania ya…
Nigeria: Waziri wa zamani wa nishati ahukumiwa jela miaka 75
Waziri wa zamani wa nishati nchini Nigeria Saleh Mamman, amehukumiwa jela miaka 75, baada ya kupatikana na hatia ya kuiba mabilioni ya Dola kutoka kwenye miradi ya taifa ya kuzalisha…
Watu kadhaa wauawa Sudan, kulingana na Mtandao wa Madaktari
Wiki mbili za mapigano makali nchini Sudan Kusini zimesababisha vifo vya zaidi ya watu 61, wakiwemo watoto tisa, kundi la madaktari wa eneo hilo limetangaza siku ya Jumatano. Mapigano haya…
Lebanon na Israel kuanza mazungumzo mapya nchini Marekani
Lebanon na Israel zitafanya mazungumzo mapya ya amani mjini Washington kuanzia leo Alhamisi, huku makubaliano yao ya hivi karibuni ya kusitisha mapigano — yanayodhaniwa kuwa bado yanaendelea licha ya mamia…
UAE na Israel zatofautiana kuhusu ziara ya siri ya Netanyahu nchini humo
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imetangaza kuwa Netanyahu alifanya ziara ya siri kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu wakati wa vita mashariki ya kati
Macron: Tunatafuta fedha za kutatua mizozo barani Afrika
Baada ya mkutano wa kilele wa Afrika na Ufaransa jijini Nairobi, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alielekea nchini Ethiopia Jumatano wiki hii na kuwa na mkutano usio wa kawaida na…
Macron ahitimisha ziara yake Afrika kwa kuzingatia mageuzi ya UN na utawala jumuishi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron siku ya Jumatano amehitimisha ziara yake ya barani Afrika kwa mazungumzo nchini Ethiopia, hasa akizungumzia suala la muda mrefu la uwakilishi wa Afrika katika Baraza…
Magazeti ya Kenya: Familia ya marehemu Obwaka yatilia shaka matokeo ya upasuaji wa maiti
Magazeti ya Kenya yanaangazia uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr kufuatia kifo cha kusikitisha cha Mbunge Johana Ng’eno, jukumu la Ruto, na wagombea muhimu.
Mambo 6 ambayo dunia imejifunza kutoka kwa Iran
Serikali ya Trump haijapata mafanikio yoyote katika mazungumzo yanayoongozwa na mpatanishi Pakistan, huku taifa hilo likiendelea kujaribu kuwapatanisha mataifa hayo yanayozozana.