TRC kuipunguzia mzigo Serikali, yaanza kujitegemea
Waziri Mbarawa amesema TRC sasa imefikia hatua ya kuanza kujiendesha bila kutegemea ruzuku ya...
Chama lako lipo namba ngapi?
Chama lako lipo namba ngapi? (Feed generated with FetchRSS)
Baadhi ya wazee waliokuwa wanachama wa Chama cha Ushirika cha Mikahawa wamemuomba rais Dkt
Baadhi ya wazee waliokuwa wanachama wa Chama cha Ushirika cha Mikahawa wamemuomba rais Dkt. Samia kuingilia kati na kuwarejeshea majengo yao ya biashara yaliyochukuliwa kimabavu na Chama cha Mapinduzi (CCM)…
Wananchi Maswa walia shida ya maji
Wananchi wa Kijiji cha Sulu wilayani Maswa mkoani Simiyu wamelazimika kuendelea kutumia maji...
Dodoma yaishangaza Yanga ikitibua rekodi
Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga kupoteza msimu huu, ambapo kabla...
Timu ya Dodoma Jiji imetoa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Airtel
Timu ya Dodoma Jiji imetoa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Airtel. Kabla ya kichapo cha leo Yanga ilikuwa imecheza…
Hatima uhalali kesi ya mgawanyo rasilimali Chadema Mei 20
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Chama cha...
Ukisikia Hakuna marefu yasiyo na ncha Tafsiri yake utaipata mitaa ya Twiga na Jangwani nyumbani kwa mabingwa watetezi wa ligi ku…
Ukisikia Hakuna marefu yasiyo na ncha Tafsiri yake utaipata mitaa ya Twiga na Jangwani nyumbani kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, baada ya kucheza michezo 40+ pasina kupoteza…
Mbinu kuharakisha mageuzi ya uwekezaji kufanikisha Dira 2050
Dar es Salaam. Viongozi wa sekta binafsi na maofisa mbalimbali wameitaka Serikali kuongeza kasi...
Teknolojia inavyorahisisha huduma jumuishi za kifedha
Benki hiyo yenye matawi manane yaliyopo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Zanzibar inajivunia...
Dodoma Jiji yatibua hesabu za Yanga
DODOMA Jiji imeikazia Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa leo, kwenye Uwanja wa Airtel mjini Singida na kuondoka na pointi tatu baada ya ushindi wa mabao 3-2.
Wasomi watwishwa zigo kuleta mabadiliko nchini
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wasomi nchini kusimamia mabadiliko...
Nyumba ya kawaida ya David Maraga huko Nakuru yawachechemua Wakenya kwenye mitandao ya kijamii
Nyumba ya unyenyekevu ya Jaji Mkuu mstaafu David Maraga Nakuru imezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii. Mshawishi mtandaoni alikutana naye kupata mtazamo wake.
Nairobi: Nyanda za malisho zatajwa kuwa suluhu kwa usalama wa chakula na tabianchi Afrika
Kwa muda mrefu maeneo ya nyanda za malisho yamekuwa yakitazamwa kama yaliotengwa na yasio na umuhimu, licha ya kuwa na mifumo ikolojia muhimu na chanzo cha riziki kwa takriban watu…
Mvulana wa Meru aliyeokolewa baada ya kufungiwa ndani miaka 7 apanda ndege kwa mara ya kwanza
Mwiti, mvulana mdogo kutoka Meru mwenye umri wa miaka tisa aliyeokolewa kutoka kwenye kizimba, alisafiri kwa mara ya kwanza kutumia ndege, Eric Omondi alifanikisha.
Wawakilishi wachachamaa kupotea misingi ya utawala bora Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesema misingi muhimu ya utawala bora imepotea Zanzibar na...
Jinsi SimBanking inavyochochea uchumi wa kidijitali Tanzania
Katika zama hizi ambapo teknolojia imekuwa mhimili mkuu wa maisha ya kila siku, sekta ya fedha...
Mayanga awatolea uvivu nyota wake, Wagosi wachekelea Sokoine
Mabao mawili ya Maabad Maulid na Saad Mwanza wa Coastal Union, yametosha kuizamisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kuendeleza presha kwa vijana hao wa Kocha Salum…
TSN, Arusha initiate development platform for development, investment stakeholders
ARUSHA: THE Office of the Arusha Regional Commissioner and the Tanzania Standard Newspapers (TSN) have initiated strategic cooperation ahead of the “Fungua Fursa” open forum, which is expected to be…
Watoto 500 huzaliwa kila siku Dar, vifo vyapungua
Hali ya vifo vya wajawazito katika Mkoa wa Dar es Salaa vimepungua kutoka vifo 72 vilivyokuwa...
Dkt. Gikonyo akiri Ruto alimpigia simu na kuuliza kuhusu afya ya Gachagua: “Lazima niwe mkweli”
Dkt. Daniel Gikonyo amefichua mahakamani kwamba Rais Ruto aliuliza kuhusu afya ya Rigathi Gachagua alipolazwa wakati kesi ya kumng'atua ilipokuwa ikiendelea.
Zanzibar begins using drones to identify and eliminate mosquito breeding sites
ZANZIBAR: ZANZIBAR has officially launched a special project using drones to identify and eliminate mosquito breeding sites, as part of ongoing efforts to achieve complete malaria eradication on the islands.…
EAC embarks on evaluating progress in standards harmonisation, quality assurance, metrology
ARUSHA: THE East African Community (EAC) Standards Committee has convened a four-day meeting in Arusha to evaluate progress in the implementation of programmes focusing on standards harmonisation, quality assurance, metrology,…
Trump lands in China for Xi summit with Nvidia CEO in tow
BEIJING/SEOUL: President Donald Trump and an entourage that included Nvidia’s Jensen Huang and Elon Musk were greeted with a lavish welcome in Beijing on Wednesday as he prepared to ask…
Okello, Pedro waibuka vinara Ligi Kuu ya NBC mwezi Aprili
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili 2026 huku aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pedro Goncalves akiibuka kocha bora wa mwezi huo.
LATRA issues 388,715 licenses as it expands the use of digital systems to oversee land transport services
DODOMA: TANZANIA’S Ministry of Transport, through the Land Transport Regulatory Authority, has continued to oversee and regulate land transport services across the road, railway, and cable transport sectors while expanding…
Juhudi za BRAC Tanzania katika kupambana na umaskini, ukosefu wa usawa nchini
Ni miongo miwili (miaka 20) sasa ambapo BRAC Tanzania imekuwa mshirika muhimu na aliyejizatiti...
Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uko Imara Zaidi ya Ulivyokuwa Huko Nyuma
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar ameeleza katika mahojiano marefu aliyofanyiwa na televisheni ya Al Jazeera kwamba, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uko mara zaidi hivi sasa kuliko…
Trump atua China, ajenda nzito zamngoja Beijing
Wakati Rais wa Marekani, Donald Trump na ujumbe wake wakiwasili Beijing jioni ya leo Mei...
Transport Ministry names SGR, TAZARA the top priorities in its 2.872tri/- budget
DODOMA: Tanzania’s Ministry of Transport has outlined eight priorities for the 2026/27 financial year aimed at strengthening the country’s transport infrastructure and services, including railways, ports, aviation, and professional training…
How Tanzania’s youths are being mobilised to defend peace, union
ZANZIBAR: DESPITE a heavy downpour, the air was alive with chants, applause, and a renewed sense of purpose in Dombwe village, Tunguu, on the outskirts of Zanzibar City, recently, when…
Wizara ya Ulinzi wa Iran: Kubalini haki za Iran au mkabiliwe na kipigo kingine cha kijeshi
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema maadui, Marekani na Uzayuni, wanapaswa kukubali haki halali za taifa la Iran, au wasubiri kushindwa tena katika nyanja za kidiplomasia na katika uwanja wa…
Ranked 5th, transport sector contributes 7.5 percent of Tanzania’s GDP
DODOMA: THE Minister for Transport, Professor Makame Mbarawa, has said that the transport sector has continued to play a key role in driving Tanzania’s economy after contributing 7.5 percent of…
Kushiriki UAE katika vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni ‘haramu kabisa’
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetangaza kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa UAE katika vita vya hivi karibuni vya Marekani na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran ni…
Mkazi Shinyanga apata suluhisho mgogoro wa miaka mitano
SHINYANGA: MKAZI wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Musa Mshindikwa (55) amepata suluhisho kwa kurudishiwa rasilimali zake zilizopotea baada ya kukosa maelewano kwa muda…
Rais Macron akabiliwa na upinzani baada ya matamshi yake makali kwenye mkutano wa Nairobi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakabiliwa na upinzani mkali baada ya kukatiza kikao cha mjadala katika kongamano la Africa Forward Summit nchini Kenya akiwataka hadhirina wanyamaze kimya.
Viongozi wa dini wafanya maandamano ya amani ya ‘Moral Monday’ mjini Washington kulaani ‘vita visivyo vitakatifu’ vya Trump
Viongozi wa imani za dini walifanya maandamano ya amani ya Jumatatu ya Maadili (Moral Monday) nje ya Ikulu ya White House dhidi ya 'vita visivyo vitakatifu' katika eneo la Asia…
Ghana kuwarejesha nyumbani mamia ya raia walioko Afrika Kusini
Ghana imetangaza kwamba imeanzisha mchakato wa kuwahamisha takriban raia wake 300 kutoka Afrika Kusini kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya wageni.
WFP yapunguza kwa kiasi kikubwa msaada wa chakula Syria kutokana na uhaba wa fedha
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP imetangaza kupunguza kwa kiwango kikubwa msaada wa chakula nchini Syria kutokana na uhaba mkubwa wa fedha, hali inayotishia kuongeza…
Mafanikio ya afya duniani yako hatarini kurudi nyuma, yaonya WHO dunia ikidemadema kutimiza SDGs
Mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya afya duniani katika kipindi cha muongo mmoja uliopita yako katika hatari kubwa ya kudorora, huku mafanikio kuelekea malengo ya afya ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yakipungua…
OHCHR: Vifo vya raia kutokana na mashambulizi ya anga ya jeshi nchini Nigeria vyatia hofu
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameeleza kushtushwa na ripoti kuwa mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria katika soko moja huko jimbo la…
UNDP yajengea uwezo wasaidizi wa kisheria 126 kisiwani Pemba, ili kutatua migogoro kwa njia mbadala
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania, limetoa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wa kutatua migogoro kwa njia mbadala (ADR), wasaidizi wa kisheria 126 kutoka…
Guterres aaga Muungano wa Afrika na kutoa tathmni ya ushirikiano wa UN-AU
Huu ndio mkutano wangu wa mwisho kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema António Guterres, baada ya mkutano wa 10 wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa…
AfroKids International ni tumaini kwa wanawake wakimbizi barani Ulaya: Gorma
Wanawake wengi wahamiaji na wakimbizi kutoka Afrika wanaowasili barani Ulaya wakisaka usalama na maisha bora hujikuta wakikabiliwa na majeraha ya kiwewe, changamoto za lugha na kutengwa kijamii. Nchini Ujerumani, shirika…
Kila ndege ni muhimu, Jinsi gani wakaazi wa mijini wanaweza kusaidia kulinda ndege wahamao
Je, wafahamu kwamba huenda mamilioni ya ndege wanahama kimya kimya hivi sasa juu yako na wala huhitaji kutoka nyumbani ili kuwaona
Ufaransa inataka nini kipya Afrika
Tangu miaka ya 1960, Ufaransa imedumisha uhusiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama na koloni zake nyingi za zamani, na kusababisha tuhuma za kuendelea kuwa na ushawishi wa kikoloni katika nchi…
Sheria ya Ndoa ya 1971 bado ni kaa la moto
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 bado inawapasua vichwa wabunge, lakini Serikali imepanga kuendelea...
Tanzania lures investment in pharmaceutical industries for health sector, national revenue
NAIROBI: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has said Tanzania is prioritizing investment in pharmaceutical manufacturing industries to reduce dependence on imported medicines and strengthen both the health sector and the national…
Why Mwinyi’s reforms are changing public servants’ lives
ZANZIBAR: AT dawn in a quiet corner of Unguja, Khadija Omar, an office cleaner and mother of three, counts every shilling before heading to work. For some years, her pay…
Tanzania cherishes its transport sector for creating 198,480 jobs
DODOMA: THE Minister for Transport, Professor Makame Mbarawa, has said that the transport sector has continued to be a key source of employment in Tanzania after creating a total of…