Waafrika Kusini waandamana nje ya ubalozi wa Marekani dhidi ya mashambulizi ya kijeshi Venezuela
Waaandamanaji walitoa kauli dhidi ya Marekani nje ya ubalozi wao mjini Pretoria
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum)
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.…
Zaidi ya shilingi Milioni 196
Zaidi ya shilingi Milioni 196. zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara kwa vikundi 29 vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu huku makundi hayo yakitakiwa kuachana na…
Mhe. Patrobas Katambi ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi
Mhe. Patrobas Katambi ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Kabla ya Uteuzi huu Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Mhe. Katambi anachukua nafasi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Paul Makonda kuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Paul Makonda kuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri wa wizara hiyo.
Ijumaa hii tuna jambo letu #bongostarsearch
Ijumaa hii tuna jambo letu #bongostarsearch #BSS #NextLevelRevolution
#ALAMA | Hii ndio safari ya #Kingwendu muigizaji na mchekeshaji mkongwe hapa nchini
#ALAMA | Hii ndio safari ya #Kingwendu muigizaji na mchekeshaji mkongwe hapa nchini.. Fuatulia kipindi hiki cha #ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Mitazamo ya jamii kwa Miss Grands Tanzania 2025
Miss Grands Tanzania 2025, Beatrice Alex ambaye pia ni balozi wa mchezo wa kubashiri wa Bang...
Somalia yachunguza madai ya kutumika kwa anga yake na kiongozi wa Yemen anayetaka kujitenga
Somalia inaunga mkono wito wa Saudi Arabia wa kutaka majadiliano mjini Riyadh kama ‘mchakato sahihi wa kisiasa’ wa kutatua matatizo nchini Yemen, inasema idara ya Uhamiaji ya Somalia
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 08, 2026-DCEA YAKAMATA TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 08, 2026-DCEA YAKAMATA TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza mazungumzo ya awali na Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji ili kushirikiana kwenye maeneo ambay…
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza mazungumzo ya awali na Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji ili kushirikiana kwenye maeneo ambayo wizara hizo zina muingiliano wa kisekta ili kusaidiana…
Ila Mbote na ujasusi wote walimdaka kama kuku 😅
Ila Mbote na ujasusi wote walimdaka kama kuku 😅
Samia: Shirikisheni sekta binafsi kwenye utafiti kupata matokeo chanya
Amewataka wananfunzi wanaosoma na watakaosoma katika taaisisi hiyo, watumie fursa hizo kwa...
SELAI PRE AND PRIMARY SCHOOL ni Shule mpya iliyojengwa katika eneo la Mawelewele Kwakilosa, Kata ya Mwangata Manispaa ya Iringa
SELAI PRE AND PRIMARY SCHOOL ni Shule mpya iliyojengwa katika eneo la Mawelewele Kwakilosa, Kata ya Mwangata Manispaa ya Iringa. Shule hii ina mazingira salama, yatakayowezesha kumpa mtoto elimu bora…
Namna rais Touadera atakavyokabiliana na changamoto za CAR
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati Faustin Archange Touadera ameshinda uchaguzi wa muhula wake wa tatu madarakani. Lakini ushindi wake haukuja kama mshangao.
#Habari: Wazee wa Manispaa ya Singida, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuwaondoa wanawake wanaofanya biashara haramu…
#Habari: Wazee wa Manispaa ya Singida, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuwaondoa wanawake wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili yao (madadapoa), wanaofanyia shughuli zao karibu na nyumba za ibada,…
Hizi hapa athari zinazowakabili wanaotunza fedha ndani
Hali hiyo pia inaweza kufanya nchi kuona uchumi wake haukui katika kiwango kinachotakiwa, jambo...
#HABARI: Kampuni ya michezo ya kubashiri Bangbet kwa ushirikiano na Mixx by Yas leo Desemba 8, wamekabidhi zawadi mbalimbali kwa…
#HABARI: Kampuni ya michezo ya kubashiri Bangbet kwa ushirikiano na Mixx by Yas leo Desemba 8, wamekabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa promosheni kubwa ya “Nogesha na Bangbet”, iliyobuniwa kuleta…
Machinga, bodaboda wapaza sauti kero za mikopo asilimia 10, Mwigulu akiri kuna shida
Dk Mwigulu amesema Serikali inalichukulia suala hilo kwa uzito na iko tayari kulitatua kwa...
Serikali kuwakumbuka wasaidizi wa kisheria kwenye bajeti ijayo
Amesema Serikali imeona huduma nzuri zinazotolewa na wasaidizi wa kisheria hasa kuyafikia...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki kumi na moja…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imekamata kilogamu 9,689.833 za dawa za kulevya, pikipiki kumi na moja, magari matatu pamoja na watuhumiwa 66 wa uhalifu huo.…
Urusi: Ukraine na washirika wake ni wachochezi wa vita
Urusi imetoa lawama kali zinazoilaumu Ukraine na washirika wake wa Ulaya, ikiwataja wote kama mhimili wa vita vinavyoendelea huku ikionya kwamba suala la kutuma kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini…
DRC: Shambulio la ndege isiyo na rubani laibua maswali ya utekelezaji wa usitishaji wa mapigano
Wakati mkutano wa kilele wa mawaziri wa ulinzi kutoka eneo la Maziwa Makuu ukifunguliwa nchini Zambia siku ya Alhamisi, Januari 8, sherehe ilifanyika siku hiyo hiyo mashariki mwa DRC kuwaenzi…
Urusi yasema Ukraine na washirika wake ni wachochezi wa vita
Urusi imeiita Ukraine na Washirika wake nchi za Ulaya kama “wachochezi wa vita”, ikionya kuwa makubaliano waliyoafikiana jijini Paris kutuma wanajeshi wa kulinda amani huko Kiev ni suala ambalo Moscow…
#MALUMBANOYAHOJA: KAMPENI YA UDHIBITI WA BIDHAA AMBAZO ZIMEPITWA NA MUDA WA MATUMIZI YAKE
#MALUMBANOYAHOJA: KAMPENI YA UDHIBITI WA BIDHAA AMBAZO ZIMEPITWA NA MUDA WA MATUMIZI YAKE. JE, ELIMU INATOLEWA IPASAVYO ILI KUKOMESHA TATIZO HILO?
Tanzania: Msako dhidi ya vyombo vya habari visivyokuwa na vibali kufanyika
Mamlaka nchini Tanzania, zimetangaza msako dhidi ya waandishi na vyombo vya Habari ambavyo vinafanya kazi bila kuwa na kibali, hatua hii ikilenga kuongeza udhibiti kuhusu uchapishaji wa Habari nchini humo.…
Mahusiano yanayochipua kati ya Ujerumani na India
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atafanya ziara yake ya kwanza rasmi mjini New Delhi, akilenga kuiimarisha India kama mshirika wa kibiashara na kijiografia kisiasa, ingawa hatua hiyo si rahisi kutekelezwa.
Shauri la ACT-Wazalendo kupinga ubunge Lindi Mjini lafutwa
Shauri hilo la uchaguzi namba 30403/2025 lilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge jimboni humo...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba, amesema kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania Bara kwa robo ya kwanz…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba, amesema kuwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania Bara kwa robo ya kwanza ya mwaka 2026 inakadiriwa kufikia asilimia 6,…
DRC. Uzinduzi wa nambari mpya za usajili wa magari wazua utata
Mageuzi ya nambari mpya za usajili wa magari kwa mfumo ulio salama nchini DRC, uliyotangazwa na Kurugenzi Kuu ya Ushuru, na ambayo yalianza kutumika rasmi Januari 6, 2026, yamesababisha kutoelewana…
Jeshi la Syria laamuru raia wahame Aleppo
Mapigano makali yameendelea mjini Aleppo kati ya jeshi la Syria na wapiganaji wa Kikosi cha Ulinzi wa Syria SDF kinachoongozwa na Wakurdi.
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuhakikisha inakamilisha kwa asilimi…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuhakikisha inakamilisha kwa asilimia 100 maabara ya Phizikia ya Shule ya Sekondari Igalamya Kata ya Usule…
Lebanon yakamilisha awamu ya kuipokonya silaha Hezbollah
Jeshi la Lebanon limesema limekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wake wa kupokonya silaha kundi la Hezbollah kusini mwa nchi hiyo, hatua ambayo Israel imeitaja kuwa ya matumaini lakini "bado…
Urusi yaituhumu Marekani kwa kuchochea mvutano
Urusi imeishtumu Marekani kwa kuchochea mvutano na kuhatarisha usafiri wa kimataifa baharini baada ya kukamata meli ya mafuta iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Urusi katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini.
Rais wa Ujerumani: Marekani inavuruga mfumo wa dunia
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amekosoa vikali sera ya kigeni ya Marekani ya Rais Donald Trump na ameyahimiza mataifa yasiruhusu utaratibu wa dunia kusambaratika.
AFCON: Mali yajianda kuingia robo fainali kwa ujasiri
Timu ya taifa ya Mali inaingia robo fainali ya AFCON ikiwa na motisha wa hali ya juu baada ya kupambana vilivyo dhidi ya Tunisia.
Yanga vs Singida BS utamu upo hapa
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Ngoja tuone!
WATU wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu fainali ya pili ya Kombe la Mapinduzi 2026 itakayochezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa…
Wadau walalamikia kanuni za kudhibiti uchovu wa madereva
Dar es Salaam. Wadau wa usafirishaji wametoa maoni kwa baadhi ya vipengele vya Kanuni za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr Samia Suluhu Hassan amezindua Jengo la Taaluma na Utawala Pamoja na Bweni la wana…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr Samia Suluhu Hassan amezindua Jengo la Taaluma na Utawala Pamoja na Bweni la wanafunzi la Taasisi ya Sayansi Bahari ya Chuo…
Marekani inaweza kudumisha udhibiti wa Venezuela kwa miaka kadhaa, kulingana na Trump
Kulingana na Rais wa Marekani Donald Trump, udhibiti wa Marekani kwa Venezuela unaweza kudumu “muda mrefu zaidi” kuliko mwaka mmoja, amesema katika mahojiano yaliyochapishwa siku ya Alhamisi, Januari 8, na…
Kuanguka kwa Maduro, Trump anaweza kuivamia Afrika
Hatua ya Marekani kumteka na kumuondoa madarakani Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro, imezua hasira na mjadala barani Afrika.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA – JANUARI 08, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA - JANUARI 08, 2026
Serikali imesema vijana nchini wanapaswa kuendelea kuchangamkia fursa za ajira zinazotafutwa ughaibuni katika taaluma na fani mb…
Serikali imesema vijana nchini wanapaswa kuendelea kuchangamkia fursa za ajira zinazotafutwa ughaibuni katika taaluma na fani mbalimbali ili kuendelea kunufaika ikiwemo fursa 8,000 mpya ambazo serikali imezitafuta kwenye mataifa mbalimbali…
Urusi: Mtafiti Mfaransa Laurent Vinatier, aliyekuwa anazuiliwa tangu Juni 2024, ameachiliwa
Urusi imemwachilia huru mtafiti wa Ufaransa Laurent Vinatier kwa kubadilishana na kuachiliwa huru kwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Urusi Daniil Kasatkin, shirika la habari la Urusi TASS limeripoti…
Wapinzani wahimiza maandamano zaidi Iran
Makundi ya kutetea haki za binaadamu yamesema kuwa vikosi vya usalama nchini Iran vimetumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto kuwatawanya waandamanaji, ambao wamegadhabishwa na mzozo wa kiuchumi.