Boeing kumlipa mjane wa mwathiriwa wa ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines dola milioni 28.45
Majaji katika kesi dhidi ya kampuni ya Marekani ya kutengeneza ndege, Boeing, iliyoanza Novemba 3 katika mahakama ya kiraia ya shirikisho huko Chicago, Illinois, siku ya Jumatano, Novemba 12, imeamua…
Guinea: Kiongozi wa serikali ya kijeshi aidhinishwa kuwania urais
Mahakama ya juu zaidi nchini Guinea imeuidhinisha kiongozi wa serikali ya kijeshi Mamady Doumbouya kuwania katika uchaguzi wa urais wa mwezi ujao. Imechapishwa: 13/11/2025 – 09:28Imehaririwa: 13/11/2025 – 09:34 Dakika…
Jaji Mkenya achaguliwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Profesa Phoebe Okowa anakuwa Mkenya wa kwanza kuhudumu kama jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki, na hivyo kuashiria hatua ya kihistoria kwa taifa hilo na kanda.
Sudan: Marco Rubio atoa wito wa kusitishwa kwa kuvia silafa Vikosi vya Msaada wa Haraka
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametoa wito siku ya Jumatano, Novemba 12, wa kusitishwa kwa kuvipa silaha Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) nchini Sudan, nchi…
Burkina Faso: Mahakimu na maafisa wa Forodha waliokamatwa kuhukumiwa kwa rushwa
Nchini Burkina Faso, maelezo zaidi yameibuka kuhusu kukamatwa kwa mahakimu, wakili, na maafisa wa forodha mwezi uliopita. Imechapishwa: 13/11/2025 – 08:59 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Robotics and Innovative Educational Technologies Days to Take Place in Tanzania
DAR ES SALAAM: From December 4 to 8, 2025, Dar es Salaam will host a dynamic series of educational events focused on robotics, VR/AR technologies, and IT-based creativity. These events…
#HABARI: Baada ya Rais Dkt
#HABARI: Baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpendekeza Dkt. Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amemnadi Dkt. Mwigulu kwa kumpa sifa zake na kumpongeza…
Guinea: Orodha ya mwisho ya wagombea wa uchaguzi wa urais wa Desemba 28, 2025 yatolewa
Takriban wapiga kura milioni 6.7 wameitwa kwenye uchaguzi mnamo Desemba 28 nchini Jamhuri ya Guinea, kati ya idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 14. Imechapishwa: 13/11/2025 – 08:48…
Dating and marrying your coworker: A smart move or a risky bet?
DAR ES SALAAM: YOU spend almost eight hours a day at work laughing over coffee breaks, brainstorming during meetings, and sharing little victories with your colleagues. It’s no wonder that…
#HABARI: Baada ya jina la Waziri Mkuu mteule Dkt.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Johari Hamza, a…
#HABARI: Baada ya jina la Waziri Mkuu mteule Dkt.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Johari Hamza, amebainisha majukumu ya Waziri Mkuu miongoni mwa hayo ni kuwa na madaraka…
Mfahamu Waziri Mkuu Mpya
DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi na uongozi wa umma. Alizaliwa Januari 7, 1975 katika kijiji cha…
Treasury Registrar unveils eight targets to transform public entities by 2030
DAR ES SALAAM: IN a bold move to reshape the future of Tanzania’s public sector, the Office of the Treasury Registrar (OTR) has come up with an ambitious five-year strategic…
Iran yasambaratisha mtandao wa mamluki wa Marekani na Israel
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH kimesambaratisha mtandao wa kijasusi hapa nchini uliokuwa ukiendesha harakati za kuvuuruuga usalama na amani.
Uhondo mchujo Kombe la Dunia Afrika
Mchujo huo wa awali unasaka timu moja ya Afrika ambayo itaingia katika hatua ya mwishi ya...
Kamisheni ya Umoja wa Afrika yakanusha madai ya Trump kuhusu mauaji ya Wakristo Nigeria
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amekanusha vikali madai ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Wakristo kaskazini mwa Nigeria.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika …
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo…
Muungaji mkono Palestina aapishwa kuwa Rais mpya wa Ireland
Bi. Catherine Connolly, mgombea wa mrengo wa kushoto katika uchaguzi wa urais nchini Ireland ambaye anajulikana kwa misimamo yake ya kuunga mkono Palestina, ameapishwa kuwa rais mpya wa Ireland baada…
When wisdom prevails over anger, peace and unity endure for co-existence
DODOMA: TANZANIA ushered in a new chapter in its political journey with the election of President Samia Suluhu Hassan in the October 29 General Election. Soon after taking the oath…
Our projects, our future, our responsibility
DAR ES SALAAM: IT is easy to roll our eyes at the word project. We have heard it before namely in the Standard Gauge Railway (SGR), Bus Rapid Transit, especially…
Serikali imesisitiza udhibiti wa matumizi sahihi ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa afua za UKIMWI na Kifua Kikuu ngazi ya …
Serikali imesisitiza udhibiti wa matumizi sahihi ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa afua za UKIMWI na Kifua Kikuu ngazi ya jamii baada ya mafanikio kuonekana katika awamu zilizopita. Takwimu…
Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania
Daktari Mwigulu Nchemba anachukua nafasi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa.
Mastaa Real Madrid wamkataa Alonso
Nyota watano wa Real Madrid, wanaripotiwa hawana furaha na maisha chini ya Xabi Alonso jambo...
Follow lawful channels when expressing grievances, youth told
DAR ES SALAAM: RESIDENTS and business owners in various parts of Dar es Salaam have called on young people to uphold peace and follow lawful procedures when expressing their concerns,…
Kalenda FIFA presha kwa Klabu
Mechi za kimataifa za kirafiki za timu za taifa zilizo chini ya kalenda ya Shirikisho la Mpira...
Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan leo amewasilisha bungeni jina la D. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi wa Rais unasubiri uthibitisho wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaofanyika kupitia kura za…
BREAKING NEWS | Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt
BREAKING NEWS | Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu wa tanzania. Jina la Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi limewasilishwa bungeni leo Novemba 13,…
Rais Samia amteua Dk Mwigulu kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Jina la Dk...
Rais wa Afrika Kusini: Kutohudhuria Marekani mkutano wa G20 ni hasara kwake
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, kikitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump kwamba maafisa wa nchi yake hawatahudhuria mkutano wa G20 mjini Johannesburg ni hasara kwa Wamarekani.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 13, 2025
MPs priorities after oath
President Samia to inaugurate Parliament tomorrow DODOMA: AS President Samia Suluhu Hassan is set to inaugurate the 13th Parliament tomorrow, newly swornin Members of Parliament have pledged to prioritise development…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: STARS NA MIPANGO MIPYA CHINI YA KOCHA GAMONDI NOV
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: STARS NA MIPANGO MIPYA CHINI YA KOCHA GAMONDI NOV. 15| NOVEMBA 13, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 13,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 13,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Marekani: Mswada unaositisha kukwama kwa shughuli za serikali watiwa saini
Rais wa Marekani Donald Trump, ametia saini mswada unaositisha kukwama kwa shughuli za serikali, hali ambayo imekuwa ikishuhudiwa kwa siku 43. Imechapishwa: 13/11/2025 – 05:18 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Wanayotaka kusikia kwa Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Novemba 14 2025 atalizindua kwa kulihutubia ambapo pamoja...
Rais Kiir amfuta kazi Makamu wa kwanza wa Rais Benjamin Bol Mel
Sudan Kusini, Rais Salva Kiir amemfuta kazi Makamu wa kwanza wa Rais Benjamin Bol Mel, aliyekuwa akionekana kama mwanasiasa aliyekuwa anaandaliwa kumrithi. Imechapishwa: 13/11/2025 – 05:08 Dakika 1 Wakati wa…
Experts push for reconciliation, mental health support after elections
DAR ES SALAAM: MENTAL health experts and political analysts have stressed the importance of reconciliation and psychological counselling to renew socio-political cohesion and foster lasting national consensus after the recent…
DRC: Wabunge kumchagua spika mpya kujaza nafasi ya Vital Kamerhe
Wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wanatarajiwa kupiga kura kumchagua spika mpya, miezi miwili kadhaa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Vital Kamerhe. Imechapishwa: 13/11/2025 – 04:53Imehaririwa: 13/11/2025 –…
🔴#MAGAZETI: LISSU AIBUKA NA HOJA 6 AKIMKATAA SHAHIDI WA SIRI – 13 NOVEMBA 2025
🔴#MAGAZETI: LISSU AIBUKA NA HOJA 6 AKIMKATAA SHAHIDI WA SIRI - 13 NOVEMBA 2025
Ongezeko la wanaougua magonjwa yasiyoambukiza pasipo wao kujua
Ongezeko la wanaougua magonjwa yasiyoambukiza pasipo wao kujua. je, jamii inaelimishwa kuhusu dalili na umuhimu wa kupima afya mara kwa mara
Aragchi: UN ichukue hatua baada ya Trump kukiri jukumu katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran
Katika barua rasmi kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amelaani Marekani kwa jukumu lake katika kuunga mkono uchokozi wa kijeshi wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 13, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 13, 2025
Rubio: Dunia ichukue hatua kukata njia za silaha kwa RSF
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha usambazaji wa silaha kwa wanamgambo wa RSF akitaja hali nchini Sudan kuwa…
Wakenya 200 wajiunga kupigana upande wa jeshi la Urusi
Serikali ya Kenya imesema zaidi ya raia wake 200 wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine huku baadhi ya mashirika ya ajira yakiendelea kuwashawishi Wakenya zaidi kujiunga…
Araqchi na Lavrov wafanya mashauriano ya simu kuhusu Gaza
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali yakiwemo ya uhusiano wa…
G7 yatoa wito wa kusitishwa mara moja kwa vita Ukraine
Katika mkutano uliofanyika nchini Canada, mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wametoa wito wa dharura wa kusitishwa kwa vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
Ujerumani ni muuzaji mkubwa wa pili wa silaha kwa Israel
Imeelezwa kuwa, Ujerumani inashika nafasi ya pili duniani kwa kuuuzia silaha utawala haramu wa Israel unaofanya mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina.
UNICEF: Watu wanane kati ya kumi nchini Afghanistan wanakunywa maji machafu
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, zaidi ya nusu ya vyanzo vya maji vya Afghanistan vimekauka.
Umoja wa Mataifa wataka uchunguzi kwa mauaji Tanzania
Umoja wa Mataifa umetowa wito wa kufanyika uchunguzi kwa kile kinachodaiwa kuwa vifo vya mamia ya watu katika machafuko ya kupinga uchaguzi nchini Tanzania.