Wanne wafa, 29 wajeruhiwa ajali ya basi Mbeya
MBEYA: Watu wanne wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea mkoani Mbeya baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka katika eneo lenye kona kali…
Tanzania braces for global heart health experts conference
DAR ES SALAAM: THE Heart Team Africa CardioTan Imaging 2026 International Scientific Conference is scheduled to take place from June 4 to 6, 2026, at the Blue Sapphire Hall in…
Wawakilishi wahoji usalama taarifa za Serikali Zanzibar
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamehoji usalama wa Taifa na taarifa za Serikali...
Kesi meno ya tembo ya Sh983 milioni yaahirishwa
Mshtakiwa Faki Shaal (54) na wenzake watatu wanaokabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la...
Mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama wajadili Lebanon wakati diplomasia ikikabiliwa na mtihani mkubwa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana katika kikao cha dharura hii leo jioni kwa saa za New York Marekani kufuatia ombi la Ufaransa kujadili ongezeko kubwa la mashambulizi…
Kuongezeka kwa tishio la silaha ndogo haramu, Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa hatua za pamoja
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, leo Jumatatu ya Juni Mosi ameonya kuwa kuenea na kuhamishwa kwa njia haramu kwa silaha ndogo na nyepesi kunaendelea kuchochea migogoro, ugaidi,…
Twende Zetu Butiama awamu ya 3 yazinduliwa huku mshikamano na Kiswahili vikipewa uzito
Jijini Kampala nhcini Uganda kumefanyika uzunduzi wa awamu ya tatu ya safari ya hija ya “Twende Zetu Butiama”, kumuenzi Hayati Mwalimu Julius Kmabarage Nyerere, rais wa zamani wa Tanzania aliyedumisha…
Ukimya sio ridhaa ya ndoa za utotoni Afghanistan; kamati ya Umoja wa Mataifa yalaani
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto, CRC, imelaani vikali utawala uliopo sasa nchini Afghanistan kufuatia uamuzi wao wa kupitisha sheria mpya inayoruhusu ndoa za utotoni na kuchukulia…
WHO yazindua mwongozo mpya wa kupanua wigo wa huduma za afya ya akili
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani (WHO) limezindua mwongozo mpya wa kusaidia nchi na mashirika kuongeza upatikanaji wa huduma za afya ya akili kupitia mbinu za msaada wa…
Ebola DRC: Wauguzi wanne waruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupona
Wauguzi wanne waliougua ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupona ugonjwa huo hatari ambao mara nyingi husababisha vifo na uliosababisha…
Wafanyabiashara 143,053 wasajiliwa, Sh17.9 bilioni zakopeshwa
Dk Gwajima amesema katika kipindi cha Julai 2025 hadi Aprili 2026, wafanyabiashara ndogondogo...
Wanawake wako katika hatari kubwa ya kuathiriwa na mlipuko wa Ebola Kongo
Wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikiendelea na mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, wanawake nchini humo wametajwa kuwa kundi lililo kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa huo unaosababishwa…
Video: Taharuki baada ya Ndege Inaanguka katika Uwanja wa Maasai Mara
Ndege ndogo ya abiria ilianguka huko Maasai Mara na kuzua taharuki katika uwanja wa kutua. Mashahidi walinasa matukio ya kutisha huku mamlaka ikichunguza tukio hilo.
Kambi 20 za kijeshi za Marekani zilizoshambuliwa na Iran tangu kuanza kwa vita
Iran imeharibu maeneo 20 ya kijeshi ya Marekani tangu kuanza kwa vita hivyo, picha na video za satelaiti zilizochambuliwa na kipindi cha BBC Verify, zikidokeza kuwa mashambulizi hayo ni makubwa…
Walimu Nigeria waitisha mgomo katika jimbo la Oyo kufuatia vitendo vya utekaji nyara shuleni
Muungano wa Walimu wa Nigeria umeitisha mgomo wa wazi kuanzia leo Jumatatu katika jimbo la Oyo kupinga kutekwa nyara makumi ya watoto na walimu wao katikati ya mwezi wa Mei…
Wanapokwamia wafanyabiashara wadogo Tanzania
Simulizi za wafanyabiashara wanaoanza kwa matumaini makubwa na kuishia kufunga biashara zao...
Watu 12 wauawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya Israel katika ardhi ya Lebanon
Ikiwa ni katika muendelezo wa ukiukaji wa makubaliano ya usitishaji vita na mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya miji na vijiji vya kusini mwa Lebanon yaliyotekelezwa zaidi ya mara…
IGP Wambura awapa ujumbe polisi, asisitiza uaminifu kurejesha imani kwa wananchi
Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura ametoa maelekezo matatu kwa...
Kauli ya Umoja wa Ulaya inayolaani kujilinda halali kwa Iran ni ya kinafiki
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa Umoja wa Ulaya unapasa kuzingatia kanuni ya utawala wa sheria na Hati ya Umoja wa Mataifa ambazo unadai kufungamana…
Tanzania intensifies disaster preparedness against Ebola outbreak in its 11 regions
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Health has assured the public that Tanzania is free from Ebola, while continuing with campaigns to provide education on self-protection and identifying symptoms similar…
Msajili atinga makao makuu Chadema, Mnyika atoa sababu ya ujio wake
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza ametinga makao makuu ya Chama cha Demokrasia na...
TANAPA claims 2026 Quality Achievement Award in Brussels
BRUSSELS: TANZANIA National Parks (TANAPA) has been honoured with the prestigious Quality Achievement Award 2026. The award was presented by the European Society for Quality Research (ESQR), a Switzerland-based international…
Kombe la Dunia halitakuwa kama ulivyozoea, kuna sheria 7 mpya
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi wa FIFA, Pierluigi Collina, amesema baadhi ya mabadiliko hayo tayari yameidhinishwa, huku mengine yakitarajiwa kutumika rasmi wakati wa mashindano hayo makubwa zaidi ya soka duniani.
Kidunda Dam project hailed as Tanzania’s major boost to water, agriculture, energy sectors
MOROGORO: TANZANIA N government’s Chief Spokesperson, Gerson Msigwa has commended the Ministry of Water for its effective supervision of the Kidunda Dam project, describing it as one of Tanzania’s major…
Baada ya Msiba, Burudani: Mjane wa Johanna Ng’eno aonekana Doha usiku akijivinjari na marafiki
Naiyanoi Ntutu, mjane wa marehemu mbunge Johana Ng’eno, alionekana akifurahia maisha ya usiku huko Doha. Siasa za kumrithi mumewe zinaendelea......
Tanzania records a decline in cases of sexual violence with women being the primary victims
DODOMA: THE Minister for Community Development, Gender, Women and Special Groups, Dr Dorothy Gwajima, has said that statistics show a decline in cases of sexual violence in the country, although…
Tume kuchunguza uvunjaji wa nyumba Kigombe
TANGA: Uongozi wa Mkoa wa Tanga umeunda timu maalumu kwa ajili ya kufuatilia kwa kina tukio la ubomoaji wa nyumba 67 katika eneo la Kigombe,katika kijiji cha Msakangoto, kilichotokea Mei…
Washukiwa wa Mkasa wa Utumishi Wanaswa kwa CCTV Wakifanya Kitendo cha Kutisha Kabla ya Kuwasha Moto
Picha za CCTV zinaonyesha jinsi wanafunzi wanane walivyochoma bweni la Wasichana la Utumishi, na kusababisha vifo vya watu 16, huku wapelelezi wakiwatambua.
Je, ni vipi Ulaya imekuwa mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni?
Jürgen Todenhofer, mwanasiasa na mjumbe wa zamani wa bunge la Ujerumani, amesema: "Umoja wa Ulaya na serikali ya Ujerumani zinahusika moja kwa moja katika maangamizi makubwa ya watu wa Palestina."
Tanzanian envoy in Sweden begins preps for World Kiswahili Day, Serengeti Bonanza
STOCKHOLM: TANZANIA’S Ambassador to Sweden, Ms Swahiba Mndeme, has outlined key priorities aimed at strengthening cooperation between the government and the diaspora, attracting investment, promoting trade and expanding the use…
Dk Gwajima aeleza mafanikio ukatili wa kingono
DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema kuwa takwimu zinaonesha kupungua kwa matukio ya ukatili wa kingono nchini, ingawa wanawake bado wanaendelea…
Financing national development requires smarter partnerships
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S development ambition is no longer a distant policy conversation. It is visible in roads, railways, ports, energy projects, digital systems, public services and efforts to strengthen…
Ebola tishio DRC, wagonjwa waongezeka kwa kasi
Wakati Baraza la Sekta ya Afya la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likitarajia kukutana leo...
Kihongosi awasili Manyara ziara ya kikazi
MANYARA: KATIBU wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi leo Juni Mosi,2026 amewasili katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuendelea na ziara…
34 zajitosa Tulia Trust Uyole Cup 2026
Timu 34 zitashiriki katika mashindano ya kusaka vipaji vya soka ya Tulia Trust Uyole Cup ambayo...
Kombo urges Tanzanian diaspora to promote their country’s investment attractions
SEOUL: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Dr Mahmoud Thabit Kombo, has urged Tanzanians living in Korea to continue serving as ambassadors of their country by…
Zigo jipya kwa Chameleone aamriwa kulipa Sh5 kila mwezi
Msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone', ametakiwa kulipa...
Africa’s trade finance gap narrows
BRAZZAVILLE: AFRICA’s trade finance sector showed resilience in the aftermath of the Covid-19 pandemic, with the continent’s unmet demand for trade finance declining between 2019 and 2024, according to the…
Wawi Stars, Chipukizi fainali FA Pemba
BINGWA mtetezi wa Kombe la FA Kanda ya Pemba, Chipukizi United, itakutana na Wawi Stars katika fainali ya michuano hiyo mwaka huu.
Kocha Uhamiaji apata dawa ZPL
WAKATI Uhamiaji ikipitia kipindi kigumu cha matokeo baada ya kucheza mechi sita mfululizo bila ushindi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdul Saleh, amesema amepata suluhu ya changamoto zilizokuwa zikiikabili timu…
Muungano wa bodi kuleta mageuzi sekta ya mifugo
IRINGA: Serikali imetangaza mpango wa kuunganisha Bodi ya Maziwa na Bodi ya Mifugo ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa sekta ya mifugo na maziwa nchini, hatua inayotarajiwa kuleta mageuzi katika…
Video: Picha za CCTV Zaibuka Zikionyesha Wakati Halisi Wanafunzi Walivyoanzisha Moto Utumishi Girls’
Picha za CCTV zinaonyesha jinsi wanafunzi wanane walivyochoma bweni la Wasichana la Utumishi, na kusababisha vifo vya watu 16, huku wapelelezi wakiwatambua.
Black Swan earns global recognition
DAR ES SALAAM: TANZANIAN startup fintech firm, Black Swan, has earned global recognition for its contribution in transforming access to fair and inclusive credit for underserved population. The technology firm…
Yemen: Kupiga marufuku Hamas na Jihad Islami kunaonyesha jinsi Ulaya inavyoukingia kifua Uzayuni wa kimataifa.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imelaani vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuimarisha vikwazo dhidi ya harakati za ukombozi wa Palestina, Hamas na Jihad Islami, ikiitaja kuwa…
Kwa miaka mingi, picha ya kijana wa Kimasai akiwa amebeba fimbo, rungu au silaha za jadi imeendelea kuwa sehemu ya utambulisho w…
Kwa miaka mingi, picha ya kijana wa Kimasai akiwa amebeba fimbo, rungu au silaha za jadi imeendelea kuwa sehemu ya utambulisho wa jamii hiyo. Hata hivyo, katika Tanzania ya sasa…
Goverment gains stake in Lindi graphite project
RUANGWA: THE government has formalised its stake in the Lindi Jumbo Graphite Project after signing agreements with Lindi Jumbo Limited, securing a 16 per cent non-dilutable free carried interest through…
Wananchi zaidi ya elfu 12 katika vijiji vya Mwasita na Mwabayanda wilayani Maswa wanatarajia kuondokana na changamoto ya upatika…
Wananchi zaidi ya elfu 12 katika vijiji vya Mwasita na Mwabayanda wilayani Maswa wanatarajia kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya Serikali kutenga shilingi bilioni…
JKU bado ina matumaini ya ubingwa ZPL
MSEMO wa kuwa adui yako muombee njaa unaonekana bado unaishi, huku mshambuliaji wa JKU, Feisal Hilali maarufu kama ‘Feymar’, akiamini mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) bado hazijaisha.
Iran yalaani vikali shambulio la polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa Mpalestina
Iran imelaani vikali shambulio la kikatili lililofanywa na polisi wa Uholanzi dhidi ya mke mjamzito wa mwanamume Mpalestina, ikitoa wito kwa serikali ya Uholanzi kuchunguza tukio hilo na kuwawajibisha waliohusika.
Legends urge calm for Serengeti Boys
DAR ES SALAAM: TANZANIA Under-17 national team, the Serengeti Boys, have been urged to maintain calm, discipline and focus ahead of their tomorrow’s CAF U-17 Africa Cup of Nations final…