Uhaba wa dawa unavyotishia maisha ya wagonjwa nchini Sudan
Utafutaji wa dawa za binadamu nchini Sudan umegeuka kuwa maumivu ya kila siku yanayotishia maisha ya maelfu ya watu, huku kukiwa na uhaba mkubwa wa dawa muhimu na kuzagaa ovyo…
Hamas: EU imewawekea vikwazo viongozi wa Gaza lakini ‘imepuuza’ ukatili wa Israel
Harakati ya Hamas imelaani vikwazo vya Umoja wa Ulaya, ikiikosoa kambi hiyo kwa "kufumbia macho" ukiukaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Israel huku ikiyalenga makundi na viongozi wa mapambano…
KONA YA MZAZI: Tusiwabagaze yatima, ni faraja kwa familia
Mtaalamu mmoja wa saikolojia anasema watoto wanaopoteza wazazi hupitia nyakati ngumu, hivyo...
Saba wajinyakulia zawadi kampeni ya MIXX Kombe la Dunia
Kampeni hiyo, inayofanyika kwa ushirikiano na Hisense chini ya kauli mbiu “Ikiingia tu goli”...
MAHUBIRI: Toba siyo udhaifu, ujinga bali ni kujinyenyekeza kwa Mungu
Ninaitwa Mchungaji na Nabii Martin Bushasho, karibu tujifunze. Somo letu limejikita kuhusu toba.
Mkuu wa WHO atembelea Bunia, kitovu cha Ebola asema , tuko pamoja
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema imani ya jamii itakuwa jambo muhimu katika kudhibiti mlipuko wa Ebola unaoendelea kusambaa…
BMH honours Mkapa through outreach programme
DODOMA: RESIDENTS of Masasi District in Mtwara Region are set to benefit from specialised medical services next week under an outreach programme organised by Benjamin Mkapa Hospital (BMH) in collaboration…
Government eyes tougher shisha control
DODOMA: NEW legislation to regulate shisha use is being prepared following concerns that some users are mixing the product with narcotic substances, prompting the government to tighten oversight. The planned…
TSN wins top compliance award
DAR ES SALAAM: TANZANIA Standard Newspapers (TSN) has been named the Most Law-Compliant Government Media House of 2025 at the 16th Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT) in recognition of…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 31, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Experts push NCD prevention as health costs rise
DODOMA: TANZANIA’S physicians have called for a major shift from treatmentfocused healthcare to preventive care, warning that Non-Communicable Diseases (NCDs) now account for 51 per cent of the National Health…
PM vows action on graft
MANYONI: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba yesterday vowed to take decisive action against corrupt public officials, fraudsters and thieves, warning that anyone found misusing public funds will face both legal…
Arteta afafanua sababu Gabriel kupiga penalti ya tano
Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema walikuwa wamejiandaa mapema kwa uwezekano wa mchezo...
PSG yatetea taji Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiichapa Arsenal kwa penalti
PSG imetwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2025/2026 baada ya leo Jumamosi, Mei 30...
PSG yaishinda Arsenal kwa mikwaju ya penalti na kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa
Paris Saint-Germain wathibitisha ukuu wao barani Ulaya, wakishinda Arsenal kwa penalti baada ya sare ya 1-1 katika fainali ya Ligi ya Mabingwa nchini Hungary.
Barker kuna kitu anakipika kwa Masinde
TAYARI kocha wa Simba, Steve Barker ameanza kuona vitu vya kiufundi katika miguu ya beki chipukizi Vedastus Masinde, jambo linalomshawishi kuendelea kumpa nafasi zaidi ya kuonyesha kiwango alichonacho.
PURA supports fight against HIV/AIDS, NCDs
DAR ES SALAAM: The Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) has pledged to continue supporting government efforts to combat Human Immunodeficiency Virus (HIV), Acquired Immunodeficiency Syndrome (AIDS) and Non-Communicable Diseases (NCDs)…
PURA yaunga mkono mapambano dhidi ya Ukimwi, MSY
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini…
MAMENEJA WAPEWA ‘ONYO’ KUHUSU SERENGETI BOYS
MAMENEJA WAPEWA ‘ONYO’ KUHUSU SERENGETI BOYS Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Mirambo amesema shirikisho hilo halitakuwa tayari kuruhusu vipaji vya vijana wa kikosi cha Serengeti Boys viangukie kwa mameneja…
SERENGETI BOYS: HATUTOKI MCHEZONI
SERENGETI BOYS: HATUTOKI MCHEZONI Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana U17, Serengeti Boys, wameishukuru serikali kwa motisha ya shilingi milioni 500 na viwanja, wakisema imewaongezea ari na deni la…
Serengeti Girls kazi ipo leo Afrika Kusini
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls kupoteza mechi ya kwanza ya raundi ya pili katika kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini,…
WPL kuna moto unawaka
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea Mei 31, 2026 kwa mechi sita, lakini macho ya wengi yataelekezwa Uwanja wa KMC Complex na vinara Simba Queens watakuwa na kibarua dhidi ya…
Dili iliyokufa – 5
Nikaona nimtafute Dastan Lazaro ili nimueleza matatizo yaliyonitokea ili aweze kunipa msaada wake.Nilitegemea nikimpata Dastan anaweza kujua yule msichana aliyeniibia anapatikana wapi.Na Dastan pia anaweza kunisaidia kuzipata pesa zangu hata…
Kikwete aongoza waombolezaji kumuaga mtumishi Udsm aliyefariki ajalini
Shughuli hiyo ya wanajumuiya wa UDSM iliongozwa na Mkuu wa Chuo hicho na Rais Mstaafu Jakaya...
Zaipuna puts NMB transformation story on global stage at Cambridge
Cambrigde, UK: NMB Bank Plc Managing Director and Chief Executive Officer, Ruth Zaipuna, has taken Tanzania’s banking transformation story to the global stage after delivering a keynote address at the…
Jumla ya wafugaji wadogo 92,831 na wadau wa mnyororo wa thamani wa maziwa wa Tanzania Bara na Visiwani-Zanzibar wamenufaika na M…
Jumla ya wafugaji wadogo 92,831 na wadau wa mnyororo wa thamani wa maziwa wa Tanzania Bara na Visiwani-Zanzibar wamenufaika na Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) tangu…
Farmers gain, challenges persist in system
GEITA: THE cooperative sector in Geita Region has developed into one of the most important pillars of agricultural and rural economic organisation, bringing together thousands of farmers, traders and small-scale…
Mama Jimmy azungumza kwa uchungu baada ya kumpoteza mtoto, amwomba Mungu amtunzie waliobaki
Waundaji wa maudhui Baba Jimmy na Mama Jimmy waliomboleza mtoto wao ambaye hajazaliwa nchini Marekani, wakishiriki jumbe za dhati za huzuni kumlilia.
Nyeri: Gavana Kahiga aongoza Mlima Kenya kupinga kituo cha Marekani cha Ebola: “Lazima tuongeleshwe”
Mipango ya Marekani ya kituo cha kukabiliana na Ebola nchini Kenya inakabiliwa na upinzani kutoka kwa viongozi na raia kutokana na wasiwasi wa usalama.
CCM yasisitiza ulinzi wa miundombinu ya Stendi mpya Moshi
Kimesema miradi ya maendeleo ni nguzo muhimu ya ustawi wa wananchi na hivyo inahitaji ulinzi na...
Mradi wa maji wa Sh2.1 bilioni kuboresha maisha ya wananchi Maswa
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi...
Serikali yawatoa hofu wanaopisha miradi ya maji
Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani...
Mkasa wa moto Utumishi Girls’: Matukio ya kihisia huku familia zikitazama miili ya wapendwa mochwari
Ndugu jamaa na marafiki walikabiliwa na huzuni baada ya kutambua miili ya wapendwa wao waliokufa katika mkasa wa moto wa Shule ya Utumishi Girls'.
Kituo cha mabasi Ngangamfumuni kuifungua Moshi
MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli…
How integrity risk management training will help to curb corruption
PARTICIPANTS attending the upcoming Lifestyle Audit, Unexplained Wealth and Integrity Risk Management Training are expected to acquire practical knowledge and advanced tools to identify, assess and manage corruption and integrity…
Lake Manyara national park: A hidden gem of wildlife and scenic beauty
ARUSHA: LAKE Manyara National Park is located at the base of the Great Rift Valley escarpment in northern Tanzania. Positioned between Arusha and the Ngorongoro Highlands, it is one of…
This is a story of pancake tortoises of Serengeti
DAR ES SALAAM: PANCAKE tortoises, scientifically known as Pancake tortoise, are among the strangest looking tortoises found in the savannahs of East Africa. Unlike most tortoises, which have thick and…
CCM: Msiwakabidhi nchi wasio na leseni ya uongozi
MOSHI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kutokubali kuwakabidhi watu wasio na sifa na uzoefu wa uongozi dhamana ya kuongoza nchi, kikisisitiza kuwa uongozi wa taifa si jambo la majaribio…
Mitungi 3,000 yazalishwa Hospitali ya Rufaa Mawenzi
KILIMANJARO: ZAIDI ya Mitungi 3000 ya Oksijeni imezalishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi katika kipindi cha miezi sita tangu, hali iliyosaidia kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa tiba…
Ratiba Ligi Kuu Bara yawagawa wadau
KITENDO cha Ligi Kuu Bara kumalizika Juni 30, 2026 badala ya Mei 2026 kama ilivyopangwa awali, kimeibua mjadala mkubwa kwa wadau wa soka nchini.
Kocha Muembe Makumbi aona jambo
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis amesema ushindani wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu 2025-2026 umekuwa mgumu zaidi ikilinganishwa na misimu iliyopita na hiyo inatokana na kila timu…
Singida BS yawekewa Sh50 mil kwa Mbappe
UONGOZI wa Singida Black Stars umeanza rasmi mazungumzo ya kumpata mshambuliaji wa Mlandege FC ya Zanzibar, Mussa Hassan Simba ‘Mbappe’ kwa ajili ya kuongeza nguvu eneo hilo, japo itapaswa kutoa…
Messi wa Chuga anukia Ulaya
UONGOZI wa Fountain Gate FC umepokea barua kutoka timu mbalimbali Ulaya ili kumpata kiungo mshambuliaji nyota wa kikosi hicho, Juma Issa Abushiri ‘Messi wa Chuga’ kwa lengo la kwenda kufanya…
Ebola: Serikali yatathmini utayari wake JKIA siku moja baada ya amri ya mahakama kuhusu karantini
Kenya imeongeza juhudi katika maandalizi ya kupambana na Virusi vya Ebola. Kwa sasa imeimarisha vipimo JKIA na usalama wa afya. Visa vya Ebola vimeongezeka.
PONGEZI KWA SERENGETI BOYS: “Afrika na dunia inaona”
PONGEZI KWA SERENGETI BOYS: “Afrika na dunia inaona” Mtangazaji wa #AzamTV @richardngailla anasema kufanya vizuri kwa Serengeti Boys kwenye fainali za #AFCONU17 kumesaidia kuitangaza Tanzania barani Afrika na dunia kwa…
Sita wafariki ajali ya basi na Coaster Mkuranga
Ajali hiyo ilitokea baada ya vyombo hivyo viwili kugongana uso kwa uso wakati basi la Mahuta...