Kundi la Muziki la @freshows_ likielezea mipango yake kwenye #SentroCloudsTv katika kuwapa wananchi burudani
Kundi la Muziki la @freshows_ likielezea mipango yake kwenye #SentroCloudsTv katika kuwapa wananchi burudani. #LainiYaWana
NMB MAPINDUZI CUP Fainali ni Dar es Salaam Derby, AzamFC dhidi ya Yanga SC
NMB MAPINDUZI CUP Fainali ni Dar es Salaam Derby, AzamFC dhidi ya Yanga SC. Mechi hii itapigwa Januari 13, 2026. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku kuruka mbashara kupitia…
Hivi ndivyo Kundi la muziki la @freshows_ lilivyojitambulisha kwenye #SentroYaCloudstv na jinsi linavyofanya kazi zake
Hivi ndivyo Kundi la muziki la @freshows_ lilivyojitambulisha kwenye #SentroYaCloudstv na jinsi linavyofanya kazi zake. #LainiYawana
“Kwanza wajumbe ndio kiungo muhimu kwa sababu kupitia wajumbe wa hiyo tume, ndio tunajua sura ya maridhiano, wajumbe wanatakiwa …
"Kwanza wajumbe ndio kiungo muhimu kwa sababu kupitia wajumbe wa hiyo tume, ndio tunajua sura ya maridhiano, wajumbe wanatakiwa watoke kwenye kila makundi kwenye kila jamii, tuwaone vijana, wazee, tuwaone…
Wazazi na walezi nchini wamesema wanatamani kuona mazingira ya kusomea na kujifunzia wanafunzi yakiwa yameboreshwa pindi muhula …
Wazazi na walezi nchini wamesema wanatamani kuona mazingira ya kusomea na kujifunzia wanafunzi yakiwa yameboreshwa pindi muhula mpya wa masomo utakapoanza mwanzoni mwa wiki ijayo. Muhula mpya wa masomo nchini…
Uturuki inatarajia YPG itaheshimu makubaliano ya Machi 10 Syria: Waziri wa Mambo ya Nje Fidan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesisitiza umuhimu wa utulivu nchini Syria, na kutoa wito wa kuendeleza vita dhidi ya ugaidi.
Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao kufuatia kutangazwa kwa mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri jana Januari 8, 2026 h…
Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao kufuatia kutangazwa kwa mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri jana Januari 8, 2026 huku aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene…
Kitoweo cha samaki wa nguruka chenye umaarufu mkubwa mkoani Morogoro kimeligeukia soko la kimataifa huku ikidaiwa kuwa hata waka…
Kitoweo cha samaki wa nguruka chenye umaarufu mkubwa mkoani Morogoro kimeligeukia soko la kimataifa huku ikidaiwa kuwa hata wakazi wa mji huo wameanza kukikosa. Katikati ya simulizi hiyo ya kusisimua…
Wataalamu wa uchumi nchini wameihimiza serikali kuwarasamisha wafanyabisashara wadogo “wamachinga”, maafisa usafirishaji “bodabo…
Wataalamu wa uchumi nchini wameihimiza serikali kuwarasamisha wafanyabisashara wadogo "wamachinga", maafisa usafirishaji "bodaboda" na wauza vyakula "Mama na Baba Lishe" ili kuongeza fursa kwa upande wao na kuiongezea serikali vyanzo…
Tour of Chinese Foreign Minister cements Tanzania-China ties Â
DAR ES SALAAM: TANZANIA and China have maintained their long existing diplomatic, economic and cultural ties, the tour of a member of the Central Committee of the Communist Party of…
Shangazi Mwaija bado anaendelea kula show za watoto wa Kikala 🙌 Mashavu kabadilika jamani 🥶
Shangazi Mwaija bado anaendelea kula show za watoto wa Kikala 🙌 Mashavu kabadilika jamani 🥶
Mtoto afa kwa kutumbukia shimoni
Mtoto wa miaka mitatu na nusu aitwaye Yasini Sadiki, mkazi wa Kitongoji cha Itetemia, Kata ya...
Jeshi la Sudan lasema limewakabili vikali RSF Darfur, Kordofan
Jeshi la Sudan linasema operesheni ya angani na ardhini imeharibu mamia ya magari katika kipindi cha wiki moja iliopita
Wakati Side akimwambia Mwana kuwa anataka mtoto…Huku ni kama mambo yameitika kwa Chichi 😎👀
Wakati Side akimwambia Mwana kuwa anataka mtoto...Huku ni kama mambo yameitika kwa Chichi 😎👀
Wananchi washauriwa kufanya uchunguzi wa afya zao
Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tabia ya kufanya...
#HABARI: Serikali, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetoa wito kwa vijana na wanafunzi katika shule na vyuo nchi…
#HABARI: Serikali, kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetoa wito kwa vijana na wanafunzi katika shule na vyuo nchini kutoa kipaumbele kujiunga na vyama mbalimbali vya kijamii, hususan Chama…
TACTIC project constructs major markets in Arusha city
ARUSHA: ARUSHA Regional Commissioner, Amos Makalla, has stated that the government has invested significant funds to improve markets in Arusha City, aiming to enhance the business environment and increase economic…
🔴KIPIMAJOTO: AHADI YA SERIKALI YA KUUNDA TUME YA MARIDHIANO ILI KUIMARISHA UMOJA WA KITAIFA
🔴KIPIMAJOTO: AHADI YA SERIKALI YA KUUNDA TUME YA MARIDHIANO ILI KUIMARISHA UMOJA WA KITAIFA. JE, WATANZANIA WASHIRIKIANE KUFANIKISHA HILO?
Ndugu wa mke waliotaka kumdhulumu shemeji nyumba wafukuzwa
Wananchi wa Mtaa wa Mashariki, Kata ya Muriet iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha...
‘Nitakuwa tayari kutumia rasimali zangu kukarabati barabara’
Diwani wa kata ya Ruanda jijini Mbeya, Isack Mwakubombaki amesema uongozi wake utakuwa wa...
Watoto wawili wa familia moja walivyokufa maji
Vilio na majonzi vimetanda katika familia ya Joachim Laizer, iliyopoteza watoto wawili kwa...
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imetoa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni mia mbili na tisini (Tsh 290…
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imetoa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni mia mbili na tisini (Tsh 290,000,000) kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya wanawake, vijana, na…
Mashavu hana tofauti na ule msemo wa pata kipato tujue tabia yako
Mashavu hana tofauti na ule msemo wa pata kipato tujue tabia yako...
Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetakiwa kuwaunganisha wakulima na masoko ya kitaifa na kimataifa ya mazao yao…
Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetakiwa kuwaunganisha wakulima na masoko ya kitaifa na kimataifa ya mazao yao sambamba na kutumia mafanikio waliyonayo ikiwemo benki Yao kuweka miongozo ya…
Makete Hospital sees increase in number of patients by 43 percent
MAKETE: MAKETE District Hospital in Njombe Region has increased its patient numbers from 11,485 in 2021 to 26,317 in 2025, representing a 43% rise. This growth is largely attributed to…
Serikali imeweka ukomo wa miezi mitatu kwa taasisi zote ambazo bado hazijasajiliwa katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi(PDPC…
Serikali imeweka ukomo wa miezi mitatu kwa taasisi zote ambazo bado hazijasajiliwa katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi(PDPC)kutii sheria, vinginevyo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa. Agizo hilo limetolewa na…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 09, 2026-TUME YA OKTOBA 29 YAENDELEA KUKUSANYA MAONI
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU..JANUARI 09, 2026-TUME YA OKTOBA 29 YAENDELEA KUKUSANYA MAONI
Utenguzi wa Simbachawene wageuka gumzo
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
Mama mdogo adaiwa kumjeruhi mwanaye kisa koti
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanamke mmoja, mkazi wa kiijiji cha Ongoma...
UCHAMBUZI WA MJEMA: Simbachawene alivyoshika na kuuishi wosia wa Mzee Mwinyi
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili (1985-1995), Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema maisha...
#HABARI: Hali ya simanzi na hasira vimetawala katika Kata ya Itetemia, Wilayani Tabora, kufuatia kifo cha kusikitisha cha mtoto …
#HABARI: Hali ya simanzi na hasira vimetawala katika Kata ya Itetemia, Wilayani Tabora, kufuatia kifo cha kusikitisha cha mtoto Yasin Sadiki (3), aliyepoteza maisha baada ya kuzama kwenye dimbwi la…
Samia ahimiza uwekezaji hoteli za kitalii
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kufanya uwekezaji mkubwa katika hoteli za kitalii kwa lengo...
Majadiliano yatakavyounda mwelekeo wa kitaifa viwanda vya afya
Kwa zaidi ya mwongo mmoja, mijadala katika Mkutano wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit –...
Dr Samia issues stern warning to people seeking to disrupt peace
ZANZIBAR: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has issued a stern warning to those attempting to disrupt the peace of the nation, urging them to stop immediately. She emphasized that differences of…
Nyang’hwale mguu sawa kupokea kidato cha kwanza
GEITA: HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imeweka wazi kuwa imeandaa miundombinu inayotosheleza kupokea wanafunzi 3,056 wa kidato cha kwanza mwaka 2026. Ofisa Elimu Sekondari wilayani Nyang’hwale, Malemu Tito…
Wafanyakazi wa shamba la maua wagoma, kisa masilahi
Mamia ya wafanyakazi wa shamba la maua la Vaso Agro-ventures Ltd, lililopo Kibosho, Wilaya ya...
Kallas: Machafuko dhidi ya waandamanaji wa Iran hayakubaliki
Umoja wa Ulaya unasema machafuko dhidi ya waandamanaji wa Iran hayakubaliki.
Wadephul kwenda Marekani kwa ajili ya mazungumzo
Waziri wa Mambo ya Nje wa ujerumani Johann Wadephul anakwenda Washington katikati ya majadiliano yanayoendelea kuhusiana na usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine na vitisho vya Marekani vya kuinyakua Greenland.
Meloni ataka Ulaya izungumze na Urusi kuhusu Ukraine
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni leo amesema Umoja wa Ulaya unapaswa kuanza tena mazungumzo ya ngazi ya juu na Urusi huku Brussels ikijaribu kivifikisha mwisho vita vya Ukraine, akihimiza…
Kampuni ya Azam Media Ltd imepewa tuzo maalum na Serikali ya kuitambua kuwa kampuni inayotoa kubwa ya mafunzo kwa vitendo (field…
Kampuni ya Azam Media Ltd imepewa tuzo maalum na Serikali ya kuitambua kuwa kampuni inayotoa kubwa ya mafunzo kwa vitendo (field and internship) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu…
Matumizi ya pombe yapaa mihadarati ikipungua mtaani
Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa kudhibiti biashara na matumizi ya dawa za kulevya...
UN: Marekani ina wajibu wa kisheria kufadhili mashirika
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea masikitiko yake kwa hatua ya Marekani kutangaza kujiondoa kutoka kwa mashirika 66 ya kimataifa.
Wang Yi aahirisha ziara yake nchini Somalia
Wizara ya mambo ya nje ya Somalia imetangaza Ijumaa kwamba mwanadiplomasia mkuu wa China Wang Yi ameahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Trump asema amefuta awamu ya pili ya mashambulizi’ dhidi ya
Rais wa Marekani Donald Trump amesema mashambulizi ya pili dhidi ya Venezuela yamesitishwa. Amesema amechukua hatua hiyo baada ya wafungwa wa kisiasa kuanza kuachiwa huru katika taifa hilo la Amerika…
Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen lavunjwa
Katibu mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen Abdulrahman Jalal al-Sebaihi, amesema kundi hilo na taasisi zake zitavunjwa kuanzia Ijumaa.
Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen latangaza kuvunjwa
Katibu mkuu wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen Abdulrahman Jalal al-Sebaihi, amesema kundi hilo na taasisi zake zitavunjwa kuanzia Ijumaa.
DK Nchimbi: Maendeleo ya elimu Zanzibar ni tunda la Mapinduzi
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema malengo makuu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka...