Khamenei akosoa maandamano dhidi ya serikali, Iran
Kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, ameyakosoa vikali maandamano ya kuipinga serikali yanayoendelea nchini humo. Khamenei amewakaripia waandamanaji aliyowaita watu waliohatari kwa taifa hilo.