Mvulana wa Kayole Aliyekuwa Akiwatunza Nduguze Afadhiliwa na Kujiunga na Visa Oshwal Academy
Tito Wambua, mvulana mdogo aliyekuwa akiwatunza ndugu zake, amepata nafasi katika Shule ya Msingi ya Visa Oshwal huku Wakenya wakiungana kuisaidia familia yake.