Diana Marua aeleza masaibu anayopitia na Bahati katika safari ya kujenga: “Mjengo umetuhumble”
Diana Marua afichua mapambano ya kujenga nyumba mpya na Kevin Bahati, akishiriki changamoto za ujenzi na maisha ya familia huku kukiwa na vikwazo vya kifedha.