Kutokana na kizuizi cha Mlango-Bahari wa Hormuz, nchi za Ghuba zimegundua njia mbadala za biashara
Miezi miwili baada ya kuanza kwa mgogoro katika Mashariki ya Kati, Mlango-Bahari wa Hormuz, njia muhimu kwa biashara ya kimataifa, bado imefungwa na Iran. Hili ni pigo kubwa kwa uchumi…
Mashariki ya Kati: Mradi wa Donald Trump ‘Project Freedom’ wasitishwa
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumanne jioni, Mei 5, kwamba “maendeleo makubwa” yamefanywa kuelekea makubaliano ya “mwisho” kati ya Marekani na Iran, akibainisha kwamba kwa hivyo ameamua…
Hii hapa bei mpya ya mafuta, dizeli yawekewa ruzuku
Katika toleo la Aprili, Petroli ilipanda kwa zaidi ya Sh900 kwa lita.
Chad: Shambulio la Boko Haram laua zaidi ya watu 20 katika kambi ya kijeshi
Shambulio linalohusishwa na Boko Haram, ambalo lilitokea usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne katika kambi ya kijeshi ya Barka Tolorom magharibi mwa Chad, upande wa Chad wa Ziwa Chad, limegharimi maisha…
Farhia Elmy: Kutoka ndoto ya udaktari hadi malkia wa bahari
Farhia Elmy anatumia muda wake mwingi baharini, tena chini ya maji kina kirefu na cha kati, akitafiti, akilima, akivinjari na shughuli nyingine muhimu za chini ya bahari.
Mwanawe John Michuki afariki baada ya kuugua muda mrefu, familia yafanya mazishi ya faragha
Familia ya Michuki inaomboleza kifo cha Martin Michuki aliyeugua muda mrefu. Walishiriki urithi mkubwa na kutangaza kwamba atazikwa katika sherehe ya faragha.
Nakuru: Polisi waelezea jinsi kasisi wa PCEA alivyouawa, rafiki akidai alihofia maisha yake
Polisi wa Nakuru wametoa taarifa mpya kuhusu mauaji ya kusikitisha ya mchungaji wa PCEA Julius Ndumia. Inasemekana mchungaji huyo alihofia maisha yake.
Rais Goïta kujiteua waziri wa ulinzi waiweka Mali njia panda
Nchini Mali, vifaa vya kijeshi sasa vitadhibitiwa moja kwa moja na Rais wa Mpito. Kufuatia mashambulizi ya hivi majuzi ambayo yameikumba nchi hiyo na kupoteza maisha ya Waziri wa Ulinzi…
Wezi waingia msikitini Uasin Gishu na kuiba vyombo vya muziki, watatiza maombi
Wafugaji katika kijiji cha Kamura, kaunti ya Uasin Gishu walitatizika baada ya wezi kuiba vyombo vya muziki ndani ya msikiti na kuathiri ratiba za maombi na kukamua.
Uganda yaidhinisha sheria ya kuwakabili wageni wanaoingilia mambo yake ya ndani
Bunge la Uganda limepiga kura kupitisha sheria tata ambayo Kampala inasema inalenga kukabiliana na wageni wanaoingilia masuala yake ya ndani. Imechapishwa: 06/05/2026 – 05:27Imehaririwa: 06/05/2026 – 05:29 Dakika 1 Wakati…
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani itasitisha kwa muda operesheni ya kusindikiza meli kupitia Mlango bahari wa Hormuz
Trump alisema operesheni ya “Project Freedom”, iliyoanza siku chache zilizopita, itasimamishwa kwa “makubaliano ya pande zote” kwa sababu “maendeleo makubwa” yamepatikana kuelekea makubaliano na Iran.
Julius Ndumaia: Wakenya waomboleza kasisi wa Parokia ya PCEA aliyeuawa ndani ya nyumba ya kanisa
Onesmus Kimani Ngunjiri alijiunga na Wakenya kuomboleza Kasisi wa PCEA Julius Ndumia, aliyeuawa kikatili katika nyumba yake ya kanisa. Waumini wamevunjika mioyo.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Arsenal yatangulia fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Arsenal imekuwa timu ya kwanza kutinga katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu...
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 6, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Simeone afichua sababu ya kubadili hoteli London
Meneja wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema uamuzi wa timu yake kubadili hoteli kuelekea...
Wabunifu waliopata mafanikio duniani wanatajwa kuanzia katika historia ya kutokuwa na elimu ya juu na sasa Tanzania imedhamiria …
Wabunifu waliopata mafanikio duniani wanatajwa kuanzia katika historia ya kutokuwa na elimu ya juu na sasa Tanzania imedhamiria kuwawezesha kupata elimu hizo ili kuongeza ujuzi, ufanisi na muendelezo wa mawazo…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 05, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Sehemu ya mahojiano na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Magereza Tanzania SACP NSAJIGWA MWANKENJA katika kipindi cha Twe…
Sehemu ya mahojiano na Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Magereza Tanzania SACP NSAJIGWA MWANKENJA katika kipindi cha Twende pamoja tukiangazia Mafanikio ya Jeshi la Magereza Tanzania. (Feed generated with…
Carragher, Owen wataja mechi ya kuipa Arsenal ubingwa EPL
Baada ya Man City kulazimishwa sare ya mabao 3-3 nyumbani na Everton jana Jumatatu, Mei 2...
Mradi mkubwa wa uchakataji gesi asilia qwenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni 100 unatarajiwa kuchechemua uchumi wa wakazi…
Mradi mkubwa wa uchakataji gesi asilia qwenye thamani ya zaidi ya Shilingi Trilioni 100 unatarajiwa kuchechemua uchumi wa wakazi wa mkoa wa Lindi. Je, wenye we wako tayari kiasi gani?…
Wahitimu wa miaka ya nyuma wa Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) wamewahimiza wanafunzi wa vyuo mbalimbali kuchagua taaluma ambazo…
Wahitimu wa miaka ya nyuma wa Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) wamewahimiza wanafunzi wa vyuo mbalimbali kuchagua taaluma ambazo uwanda mkubwa wa kuajiri na kujiajiri. Akizungumza katika kongamano la…
Wadau waimarisha ujumuishaji wa kijinsia katika malezi ya awali ya mtoto
Wadau wa maendeleo ya mtoto nchini Tanzania wameongeza msukumo katika kuimarisha malezi ya...
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 05, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wanasayansi kukutana Dodoma, kujadili upandikizaji
Dodoma. Zaidi ya wanasayansi na madaktari 170 kutoka mataifa nane duniani wanakutana jijini...
Tani 28 za magendo zakamatwa mpaka wa Tarakea, Rombo
Rombo. Katika kudhibiti uingizwaji wa magendo nchini, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa...
Wakazi Tangasisi walia adha ya mafuriko, waiomba Serikali iwasaidie
Kila mvua inaponyesha, wakazi wa Mtaa wa Tangasisi jijini Tanga hulazimika kuanza upya...
Wema Sepetu: Simanzi Nyumbani kwa Mwigizaji Mastaa wa Tanzania Wakikusanyika Kumuomboleza Mbwa Wake
Mwigizaji Wema Sepetu aliandaa mkutano wa hisia kumuomboleza mbwa wake Manunu, aliyefariki baada ya matatizo ya upasuaji, huku watu mashuhuri wakihudhuria.
CRDB Bank Foundation yatoa Sh 21 bilioni kukuza wajasiriamali nchini
Serikali imesifu ushirikiano kati ya CRDB Bank Foundation na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Tarimba: Dawasa wanajitahidi, lakini wanatakiwa kusaidiwa
Amesema Dawasa kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Mkama Bwire wamekuwa...
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangasa amewahimiza wananchi kuchangamkia fursa ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendelea w…
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangasa amewahimiza wananchi kuchangamkia fursa ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendelea wilayani humo hadi Mei 15, 2026. Akizungumza katika Uwanja wa Ubembeni, Nyangasa…
Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanya ziara katika viwanja vya Agave, Ubena Zimozi, Chalinze mkoani Pwani, ambako k…
Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanya ziara katika viwanja vya Agave, Ubena Zimozi, Chalinze mkoani Pwani, ambako kunatarajiwa kufanyika maonyesho na mnada wa kimataifa wa mifugo Juni 19 hadi 21,…
Sare ya Goncalves, kisasi na kanuni ya Barker
DAKIKA 90 za mechi baina ya KMC dhidi ya Yanga itakayochezwa leo Jumatano saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, zinaweza kutumika kwa mambo mawili kama…
Rais Samia amwomba Drogba awe Balozi wa Tanzania wa AFCON 2027
Michuano hiyo mikubwa barani Afrika ya mpira wa miguu itaandaliwa kwa pamoja na nchi za...
Soko la kisasa Matola, kituo cha mabasi ya mikoani mbioni kukamilika Mbeya
Halmashauri ya Jiji la Mbeya ipo mbioni kukamilisha mradi wa Soko la kisasa la Matola na Kituo...
Kambi ya siku tatu kutoa huduma za macho bure Kilwa
Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania, kwa kushirikiana na Bilal Muslim Mission of Tanzania...
Rais Ruto apigilia msumari kuaminiana kwa Tanzania, Kenya
Rais wa Kenya, Dk William Ruto ameeleza haja kwa Tanzania na Kenya kuaminiana ili kuchochea...
Tanzania requests Drogba to serve as its special envoy heading to 2027 AFCON
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has requested former Ivory Coast national team striker and Chelsea Football Club star Didier Drogba to serve as Tanzania’s Ambassador ahead of the 2027 Africa…
Polisi Mbeya yafichua mtandao wa uhalifu, 987 wanaswa
Katika hatua inayoonyesha ukubwa wa changamoto ya uhalifu mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi...
Daraja lafurika, lazuia ziara ya Mkuu wa Mkoa Mara
Watumiaji wa barabara ya Musoma–Busekelea katika eneo la Nyasahungu wilayani Musoma mkoani Mara...
Ruto hails the 400-kilovolt power project for cementing Kenya-Tanzania ties in energy sector
DODOMA: PRESIDENT William Ruto has said that joint energy projects between Tanzania and Kenya continue to drive economic transformation and strengthen regional cooperation in East Africa. While addressing the Parliament…