Hezbollah yakubali kusitisha mashambulizi dhidi ya Israel – Lebanon
Ubalozi wa Lebanon nchini Marekani ulisema "umepokea uthibitisho wa kukubali kwa Hezbollah pendekezo la Marekani la kukomesha mashambulizi kwa pande zote mbili".
Ubalozi wa Lebanon nchini Marekani ulisema "umepokea uthibitisho wa kukubali kwa Hezbollah pendekezo la Marekani la kukomesha mashambulizi kwa pande zote mbili".
Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limewaua wanachama wawili wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, akiwemo kamanda mwandamizi, katika operesheni ya kijeshi iliyopangwa katika eneo la Hanti Wadaag, mkoani…
Takwimu hizo hutumiwa mara nyingi ama kama ushahidi wa maendeleo ya bara au kama ukumbusho kuwa Afrika bado ina safari ndefu kiuchumi.
Burudani ya tarumbeta ilikuwa sehemu ya uzinduzi wa Kampeni ya Road To World Cup, mapema leo katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli. Mechi zote 104 zitaruka mubashara kupitia AzamSports2HD…
Timu mauzo ya AzamTV na Timu Kombolela Ilikuwa ni mtaa kwa mtaa kuwasogezea wananchi Kisimbuzi cha AzamTV na kuhakikisha hawakosi fainali za Kombe la Dunia 2026, kwani mechi zote 104…
Team Kombolela walikuwepo leo katika uzinduzi wa kampeni ya Road to World Cup ambapo mechi zote 104 za Kombe la Dunia zitaruka mubashara kupitia kisimbuzi cha AzamTV Kama huna kisimbuzi…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Amina Said, amesema wanawake wengi nchini wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo, lakini wanakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa mikopo kutokana…
DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amewapongeza viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini humo kwa kuendeleza misingi ya uaminifu, uadilifu…
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kitaifa ya...
Kombe la Dunia la mwaka 2026 linatarajiwa kuleta mabadiliko kadhaa katika sheria za mchezo (Laws of the Game) zitakazobadilisha namna soka linavyochezwa na kusimamiwa. Mabadiliko hayo yanalenga kupunguza upotevu wa…
Serikali imeendelea kuboresha ustawi wa watumishi wa umma kwa kulipa malimbikizo ya mishahara yenye thamani ya Tsh. Bilioni 24,699,256,645.7 na kulipa watumishi 1,249 waliokoma utumishi yenye thamani ya zaidi ya…
#AFCONU17: “Senegal anakufa…, tunashinda na kombe linakuja Tanzania”. Wadau wa soka wanaeleza jinsi itakavyowezekana kwa Serengeti Boys kushinda ubingwa wa mataifa Afrika kwa vijana U17, huku pongezi zikielekezwa pia kwa…
#AFCONU17: Mohamed Soloka anasema anaamini Serengeti Boys itafanya vizuri zaidi kwenye mchezo wa fainali, kwakuwa sasa kuna hamasa kutoka kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, lakini pia nguvu…
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao…
KOMBE LA DUNIA | Hewani muda huu ni Marekani vs Ghana, moja kati ya mechi za kusisimua kutoka kwenye fainali za mwaka 2010 zilizofanyika nchini Afrika Kusini. Ilikuwa ni mechi…
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameendelea kuonyesha dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuratibu mafunzo maalumu ya ujasiriamali awamu ya pili yanayowakutanisha zaidi ya wajasiriamali 400…
Maurice Ogeta alisimulia kwa hisia nyakati za mwisho za Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga nchini India. Alikanusha madai kuwa Raila alizimia akipiga tizi asubuhi.
Paris Lounge & Grill huko Roysambu imefungwa baada ya miaka mitano, na kuzima enzi ya muziki na maisha ya burudani usiku.Walinzi na wafanyikazi wameachwa na wasiwasi
#AFCONU17: “….tuna nafasi kubwa ya kuchukua kikombe” Neno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka kampuni zinazofanya kazi...
Hata hivyo, maendeleo ya hivi karibuni kutoka China yameibua matumaini kwamba siku moja baadhi...
Mususa, alifariki dunia Mei 30, mwaka huu na maziko yake yanatarajiwa kufanyika kesho Jumanne...
Wabunge wameitaka Serikali kusimamia maadili ikiwemo utoaji elimu ya haki, kuliko ambavyo...
Katika utekelezaji wa pendekezo la tume, Mei 18, 2026, Rais Samia aliunda Tume hiyo huku...
Waziri wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema jumla ya wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2026 (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: TANZANIA is drawing increased investment into pharmaceutical manufacturing, driven by strong market demand, improved business conditions, and the development of dedicated industrial zones such as the Mloganzila…
DODOMA: THE Tanzanian government has cautioned Human Resource officers against spreading negative information about public servants who move between institutions, warning that such conduct undermines professionalism and fuels unnecessary mistrust…
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imetaja vipaumbele saba...
AZAM FC imeanza mchakato wa kumuwania mshambuliaji wa Serengeti Boys na Kagera Sugar, Luqman Ali, kwa ajili ya msimu ujao.
Jumla ya wachezaji 1,248 wanategemewa kushiriki fainali hizo zitakazofanyika Marekani, Canada...
Polisi nchini Kenya imetangaza kuwatambuwa rasmi wanafunzi saba wanaoshukiwa wakuu wa uchomaji moto wa bweni katika shule ya wasichana wiki iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapilli (Mei 31) 2026…
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kupamba moto, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya ratiba ya mchezo wa Mbeya City dhidi ya Simba ambao awali ulipangwa kuchezwa Juni…
DODOMA: THE Minister of State in the President’s Office, Public Service Management and Good Governance, Ridhiwani Kikwete has said that newly recruited public servants must undergo induction training within three…
NIGERIA: Police in Nigeria have warned against reprisals targeting South African nationals or businesses following a wave of anti-migrant protests in South Africa. The police urged Nigerians not to take…
WAKATI presha ya kukwepa kushuka daraja ikizidi kuongezeka, Namungo imeanza kufanya hesabu za kujinusuru baada ya kuweka lengo la kukusanya angalau pointi tisa katika mechi tano zilizobaki.
UK: The UK will not have to pay Rwanda millions of pounds over the collapsed asylum agreement that was cancelled by Keir Starmer shortly after he took office, an international…
LONGIDO: THE Registrar of Societies and Non-Governmental Organizations in Tanzania, Emmanuel Kihampa, has urged pastoral communities across the country to embrace Information and Communication Technology (ICT) as a tool for…
DR CONGO: Health authorities in the Democratic Republic of Congo are celebrating after five patients, who had Ebola and now recovered, were allowed to leave hospital. The current outbreak is…
Kundi la wanafunzi sita wa kidato cha tano kutoka Shule ya Sekondari ya Arusha Sayansi wamebuni...
France intercepted a sanctioned oil tanker suspected of being part of Russia’s so-called shadow fleet on Sunday with UK support, French President Emmanuel Macron has said. Officers boarded the Tagor…
MWANZA: THE 2026 Government Communication Officers Conference has officially commenced today at Malaika Hotel in Mwanza, bringing together government communication professionals from various institutions across the country. The conference is…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna ruzuku ya mafuta kwa sasa kwa kuwa bei...
DODOMA: WOMEN and youth in the country have been urged to seize emerging opportunities in the clean cooking energy sector as the government steps up investment to expand access, innovation,…
DAR ES SAALAAM :MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amewahamasisha wakazi wa Tandale na Kinondoni kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kushangilia timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka…
Kati ya wanafunzi hao 631 ni wenye mahitaji maalumu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anatarajia kuondoka Kinshasa leo Jumatatu jioni, Juni 1, baada ya mkutano na Rais Félix Tshisekedi. Tedros Ghebreyesus anahitimisha ziara ya siku nyingi…