Dili za kupiga ambazo zitakutoa kimaisha na kukuepusha na ukata
"Dili za kupiga" si lazima ziwe za mkato. Vijana wanaweza kukua kupitia ubunifu, nidhamu na teknolojia, kuanzisha biashara zenye faida hata kwa mtaji mdogo.
"Dili za kupiga" si lazima ziwe za mkato. Vijana wanaweza kukua kupitia ubunifu, nidhamu na teknolojia, kuanzisha biashara zenye faida hata kwa mtaji mdogo.
Wanawake 150 kutoka jamii za wafugaji wilayani Simanjiro na Kiteto mkoani Manyara wamekabidhiwa...
Mwishoni mwa Mkutano wa 79 wa Baraza la Afya Duniani, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Matiafa la Afya Duniani (WHO) amezitaka nchi wanachama kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi…
Kampuni ya huduma za fedha kidijitali, Mixx kwa kushirikiana na kampuni ya vifaa vya...
Shambulio la Urusi usiku kucha dhidi ya Ukraine, lililolenga mji mkuu Kyiv, limeripotiwa kuhusisha makombora takribani 90, likiwemo kombora hatari la kasi ya juu na ndege zisizo na rubani 60.
Wachezaji Iddi Selemani ‘Nado’ na Yusuph Kagoma wamewekwa kando katika kikosi cha timu ya Taifa...
Mwili wa Bhaozang Ge, mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha...
DAR ES SALAAM: Residents and transport operators of Mbezi and surrounding areas will now have ease access to fuel following the launch of Evosha Energies Fuel Station, a move aimed…
TABORA: WANANCHI wanaojihusisha na ufugaji nyuki na uchakataji wa mazao yatokanayo na nyuki wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa bidhaa zao, kwani uzalishaji usiozingatia sheria unaweza kuhatarisha masoko…
Mchambuzi Mkongwe wa soka Diblo Kaberia amefariki baada ya kuugua, imethibitishwa na mwenzake Fred Arocho. Kifo kimeipoka Radio Jambo kifaa adimu.
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia chama cha UMD katika uchaguzi mdogo, Asma Othman, ameendelea kunadi sera zake kwa wananchi wa maeneo ya jimbo hilo huku akiomba kupewa…
Umewahi kujiuliza kwa nini watoto wengi wanalalamikiwa kwa kukosa ubunifu?
KUNA nafasi ndogo kwa Ruangwa Queens na Bilo Queens zilizopo mkiani kusalia Ligi Kuu ya Wanawake msimu ujao kutokana na muendelezo mbaya wa ligi hiyo.e mechi zote. Changamoto kubwa kwa…
Baada ya kutangaza nia ya kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter...
DAKIKA 360 zilizosalia sawa na mechi nne za Ligi Kuu Zanzibar(ZPL), ndiyo itakayoamua hatma ya mabingwa wa zamani ZPL, Malindi kubaki katika ligi hiyo au kushuka daraja.
KOCHA Mkuu wa KVZ, Hababuu Ali ameendeleza pale walipoishia watangulizi wake kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mechi mbili na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
Rais mteule Romuald Wadagni, aliyetangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Aprili 12 nchini Benin, ataapishwa na kukabidhiwa rasmi mamlaka ya uongozi wa nchi wakati wa sherehe ambayo inatarajiwa kufanyika…
KOCHA wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema makosa binafsi wanayoyafanya katika mechi mbalimbali ndiyo yanayochangia mwenendo usioridhisha kwa kikosi hicho cha maafande msimu huu, japo wataendelea kuonyesha ushindani kwa wapinzani…
BEKI wa kati wa Mbeya Kwanza, Vintani Mtega amesema bado hajajua hatima yake katika kikosi hicho baada ya mkataba wake wa sasa kufikia ukomo mwisho wa msimu huu wa 2025-2026,…
Milio ya risasi imesikika karibu na Ikulu ya White House jioni ya Jumamosi, Mei 23. Kulingana na ripoti za awali, mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka ishirini alivamia kituo cha…
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kufikisha mabao matano msimu huu, nyota huyo amebakisha bao moja ili aweke rekodi mpya ya kufunga mengi zaidi katika timu…
Hasira ziliwapanda watu Vihiga baada ya KeNHA kukata mahindi yaliyokuwa yakinawiri pembezoni mwa Barabara ya Lwanda–Majengo. Wengi walisema haikufaa hivyo.
Rais Ruto, katika ziara yake Pwani, ameapa kukabiliana na upinzani 2027. Alitoa KSh 2 bilioni kwa ajili ya sekta ya uvuvi, viongozi eneo hilo wameapa kumuunga mkono.
Mfululizo wa mashambulizi na uhalifu unaowalenga watu wenye ulemavu wa ngozi umesababisha kukamatwa kwa watu wapatao kumi. Kwa wale wenye ulemavu huu na wanasheria wanaowaunga mkono, kampeni kubwa ya uhamasishaji…
Mpango wa kurefusha muda wa usitishaji mapigano umeripotiwa na vyombo vya Habari vya pande zote mbili lakini hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa.
BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Haji Mnoga leo atakuwa na kibarua kizito England wakati chama lake Salford City itakaposhuka dimbani kucheza fainali ya playoff ya ligi daraja la nne 'League…
Katika familia nyingi za Kiafrika, adhabu za kimwili zimekuwa sehemu ya malezi kwa watoto kwa...
HUENDA kiungo wa Kitanzania, Diana Msewa anayekipiga Trabzonspor ya Ligi ya Wanawake Uturuki akatimkia Ulaya, baada ya Kampuni yaTMJ inayowasimamia wachezaji kimataifa kuonyesha nia ya kuingia makubaliano na nyota huyo.
Somo hili ni mahususi kwa wale wote wenye ndoto ya kuwa na ndoa zenye mafanikio na utulivu.
Mji mkuu wa Ukraine na viunga vyake umeshambuliwa vikali na jeshi la Urusi usiku wa Jumamosi, Mei 23, kuamkia Jumapili, Mei 24, ikiwa ni pamoja na kombora la balestiki la…
Ferdinand Omanyala alishinda mbio za Xiamen Diamond League kwa muda bora wa msimu wa sekunde 9.94, ikiwa ni mara yake ya tano mfululizo kukimbia chini ya sekunde 10.
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia program mpya ya kurahisisha mawasiliano...
Je, Marekani na Iran zinaweza kupata msingi wa makubaliano? Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza hili siku ya Jumamosi, Mei 23, akimaanisha makubaliano ambayo yalikuwa “yamejadiliwa kwa kina na kwa…
Katika jamii nyingi, ndoa na uhusiano huonekana kama maeneo ya wenza kujitoa bila kuuliza...
Angalau watu 24 wameuawa leo Jumapili katika shambulio la bomu kwenye treni iliyokuwa imewabeba wanajeshi katika jimbo lenye vurugu la kusini-magharibi mwa Balochistan, afisa mkuu amesema. Imechapishwa: 24/05/2026 – 09:14…
Sunil Puniya alikuwa kwenye kazi yake ya kwanza ya baharini wakati kombora lilipoipiga meli ya mafuta ya Skylight mwanzoni mwa vita vya Iran.
Mbali na maoni ya wananchi, baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya pia wameutaka Umoja wa Ulaya uchukue hatua kali dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na viongozi wake.
Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo.
Hofu kuhusu usalama wa chakula nchini India inaongezeka huku video zinazosambaa kwa kasi mtandaoni na vipimo vilivyoshindikana vikiongeza kutokuaminiana kwa umma.
Tangu Mei 22, Shirika la Afya Duniani (WHO) limeongeza hatari inayosababishwa na mlipuko wa virusi vya Ebola kwa afya ya umma mashariki mwa DRC kwa kiwangu cha “juu sana.” Ingawa…
Leo ni Jumamosi 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1447 Hijria mwafaka na 23 Mei 2026 Miladia.
Marekani imeimtuhumu rais wa zamani wa Cuba, Raúl Castro, mwenye umri wa miaka 94, kwa mauaji, jambo lililochochea uvumi kwamba Havana inaweza kuwa shabaha inayofuata katika orodha ya Washington ya…
Kwa muda sasa, biashara ya dawa zinazodai kuongeza nguvu za kiume imekuwa ikikua kwa kasi kubwa mitandaoni, madukani na hata kwa wauzaji wa mtaani. Kila kona kuna matangazo yanayoahidi matokeo…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa Iran haina imani yoyote na Marekani na kwamba haitarudi nyuma kamwe katika kutetea haki zake za kitaifa wakati wa mazungumzo…
Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimetangaza kuwa meli 25, zikiwemo meli za mafuta, meli za mizigo (kontena), na meli zingine kibiashara,…
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameyatupilia mbali madai ya Marekani kuhusu shambulio la ndege zisizo na rubani (drone) dhidi ya kinu cha kuzalisha umeme…
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameyatupilia mbali madai ya Marekani kuhusu shambulio la ndege zisizo na rubani (drone) dhidi ya kinu cha kuzalisha umeme…