Samatta astaafu Taifa Stars
NAHODHA na mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars, Mbwana Samatta, ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu hiyo baada ya kuitumikia kwa takribani miaka 15.
NAHODHA na mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Tanzania maarufu Taifa Stars, Mbwana Samatta, ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu hiyo baada ya kuitumikia kwa takribani miaka 15.
Argentina Yapambana kutoka nyuma 2-0 na kuishinda Misri 3-2, huku Lionel Messi akiwatia moyo wa kurudi na Enzo Fernández akifunga bao la ushindi dakika za mwisho.
Cleophas Malala wa DCP alitishia kuondoka katika Upinzani Ikiwa Seneta Edwin Sifuna atapuuzwa, akiahidi kupigania haki za Waluhya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
Chama cha Wanasheria Kenya kimethibitisha wakili Esther Wairimu Keige amepatikana amekufa Msituni Gatundu, wiki chache baada ya kutoweka Juja, kaunti ya Kiambu.
Serikali kupitia kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu imeshuhudia kusainiwa kwa makubaliano ya ushirikiano kati ya Taasisi ya Serikali ya Qatar…
Jeshi la Polisi nchini Kenya limezuia maandamano ya kumbukumbu ya Saba Saba yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jijini Nairobi. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Wakazi wa Vijiji vya TuombeMungu na maeneo ya jirani wilayani Kaliua wameendelea kutoa kilio kuhusu tatizo la uhaba wa maji ambalo limekuwa likiwakabili kwa muda mrefu. Wananchi hao wamesema hali…
Serikali imewaomba wadau wa maendeleo kuendelea kuunga mkono utekelezaji wa sera ya elimu bila ada ili kusaidia kuboresha mazingira ya kujifunzia katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita, ikiwemo kukabiliana na…
Mkutano wa viongozi wa muungano wa kujihami wa NATO umeanza mjini Ankara, Uturuki, ukijadili masuala mbalimbali yanayohusu usalama wa Ulaya, vita vinavyoendelea nchini Ukraine pamoja na mwelekeo wa ushirikiano wa…
Rais wa TAHLISO, Geofrey Kiliba, amesema anazungumza na Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Watanzania wote, akieleza kuwa ana imani kuwa ataendelea kuongoza nchi kwa amani kutokana na maombi…
WANANCHI wa Kijiji cha Ng'ongo, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wameanza kunufaika na huduma za afya zilizo karibu na makazi yao baada ya kukamilika na kuzinduliwa rasmi kwa Zahanati ya…
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema ufafanuzi uliotolewa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) umeondoa kwa kiwango kikubwa mkanganyiko uliokuwa umejitokeza kuhusu sababu za…
Mkurugenzi Mtendaji wa Tazara, Bruno Ching'andu, amesema reli hiyo si miundombinu pekee, bali...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umejipanga kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kufanikisha lengo la Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa…
Baba wa kambo wa msanii Diamond Platnumz amethibitisha kuachana na Mama Dangote baada ya miaka mingi pamoja. Amekuwa sehemu muhimu ya familia yao.
Mahakama ya rufaa nchini Ufaransa, imesisitiza kuwa mwanasiasa wa upinzani Marine Le Pen alitumia fedha za Umoja wa Ulaya kwa matumizi yake binafsi, na ataendelea kutumikia kifungo jela licha ya…
BARABARA zinazoelekea katika Mji wa AFCON uliopo Fumba, zinatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu kwani mradi huo unategemewa kufungua fursa za kiuchumi kisiwani hapa.
Watu sita walifariki na saba kujeruhiwa baada ya basi la Tahmeed kugongana na malori mawili kwenye Barabara ya Nairobi–Mombasa karibu na Kapiti Plains.
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ya kimataifa.
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limetumia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara...
WAKATI Leonard Thadeo akivunja ukimya baada ya kutangazwa kuwa rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Anthony Mtaka amesema anasubiri ripoti ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC).
BAADA ya beki wa kati wa Namungo FC, Hussein Kazi kuweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyecheza dakika nyingi za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025-2026, amezungumzia kitu kikubwa alichojifunza…
Brigid Nanjala, yaya wa Jackie Matubia, alidai alifanyiwa dhuluma za kihisia na pia akadai mwigizaji huyo alimfukuza mpenziwe wa zamani Blessing Lung'aho.
-Ni la kuboresha ufugaji na tasnia ya maziwa Dar es Salaam – Mshindi wa kwanza wa Vijana Uchumi Challenge 2026, Geoffrey Samuel Sanga kutoka Dodoma, ameibuka na Sh milioni 50…
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa ingawa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameboresha maisha ya mabilioni ya watu duniani, kasi ya maendeleo bado haitoshi kufikia malengo yaliyowekwa kwa…
"Yeyote atakayesema kwamba Kiswahili kilifia Uganda, basi aongeze kwamba pia kilifufuliwa tena Uganda,” amesema Profesa Pacifique Malonga kutoka Rwanda, ambaye ni Kamishna katika Kamisheni ya Kiswahili ya Muungano wa Afrika,…
Kiswahili, ambacho kilitambuliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO mwaka 2021 kama lugha ya kwanza ya Afrika kuwa na Siku ya Kimataifa iliyoteuliwa na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) majuzi tarehe pili Julai 2026 limezindua apu mpya ya kidijitali inayopatikana bila malipo mtandaoni kwa jina CropSuit, inayowawezesha wakulima, maafisa…
Asubuhi hii ya Julai 7 kwa saa za New York Marekani, kwa mara ya 34 tangu mwaka 1992, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limekaa ili kujadili umuhimu wa kumaliza…
Wagonjwa waliothibitishwa 1,561, na waliokufa 506 Vituo vya matibabu vimezidiwa uwezo Jaribio la tiba na kinga dhidi ya virusi aina ya Bundibugyo limeanza Je ni kweli hakuna tena Ebola kule…
Kaimu Msajili wa TPRB, Martha Mkupasi, amesema ushiriki wa Bodi katika maonesho hayo ni sehemu...
Ikiwa leo ni maadhimisho ya tano ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili chini ya Kaulimbiu "Kiswahili kwa Amani, Mshikamano na Diplomasia ya Uchumi wa Dunia", Mwakilishi wa Kudumu…
Paris, Ufaransa. Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amewakaribisha wafanyabiashara wa Ufaransa kuwekeza kwenye uongezaji thamani madini mkakati nchini Tanzania kwa kujenga viwanda vya kuchenjua,kusafisha na kuyeyusha madini. Waziri Nchemba ameyasema…
Watu sita akiwemo mtoto mdogo wamefariki dunia na wengine zaidi ya 11 kujeruhiwa katika ajali...
Kwa muda mrefu, Iran imekuwa ikitafuta kupata ufikiaji wa fedha zake zilizozuiwa nje ya nchi, nyingi zikiwa bado haziwezi kufikiwa kutokana na vikwazo vya kiuchumi na masharti ya mfumo wa…
Mamilioni ya wakulima nchini wanatarajiwa kunufaika na huduma za kifedha kidijitali kufuatia...
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es...
Kampuni ya Safaricom imeeleza jinsi wateja wanaostahili wa M-PESA wanavyoweza kutumia nambari ya 334# kuomba tathmini na kuongezewa kikomo cha Fuliza.
Kampuni ya Safaricom imeeleza jinsi wateja wanaostahili wa M-PESA wanavyoweza kutumia nambari ya 334# kuomba tathmini na kuongezewa kikomo cha Fuliza.
Timu ya taifa ya China haijafuzu Kombe la Dunia tangu mwaka 2002, licha ya uwekezaji mkubwa katika maendeleo ya soka ulioanza katika miaka ya 2010.
Sambamba na kufanyika msafara wa mazishi ya Ali Khamenei, Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Tehran, macho ya ulimwengu mzima yalikuwa yameelekezwa Iran. Kilichofanyika mjini Tehran hayakuwa maombolezo tu…
Ann Chebochok, mke wa mfanyabiashara John Chebochok na dadake Isaac Ruto, amefariki dunia baada ya ajali ya barabarani kwenye Southern Bypass jijini Nairobi.
Imeelezwa kuwa kasi ya kufikisha umeme kwa kila kitongoji imefikia asilimia 62. Msimamizi wa Miradi ya REA, Mhandisi, Aneth Malingumu amesema hayo leo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)…
Mashindano ya Mchezo wa Mpira wa Miguu yajulikanayo Kama Zuberi Cup yanatajwa kuwa Chachu ya kuibua Vipaji vya Michezo huo kwa Vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro Mashindano hayo ambayo huusisha…
Mamilioni ya waombolezaji leo walikusanyika katika mji mtakatifu wa Qom tangu asubuhi kushiriki katika mazishi ya Kiongozi Shahidi.
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran alitarajiwa kusafiri kwenda Iraq leo Jumanne kuhudhuria shughuli ya mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, iliyopangwa kufanyika katika…
Hali imeanza kuchangamka nje ya geti katika Maonyesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa mashahidi wa nchi hii watawajibishwa na watapata adhabu inayostahili kwa matendo yao.
Mary, aliyekuwa mwimbaji wa kwaya Nairobi, asimulia kuhusu maisha ya kuwa na waume wawili, kulea watoto na kupambana kati ya maisha ya mapenzi na kuishi.