Ndugu ya Cecil Ouma anayedaiwa kuuawa na mlinzi wa PS Fikirini Jacobs ashangaa unyama aliofanyiwa
Cecil Otieno anadaiwa kupigwa risasi baada ya kupokea KSh 10,000 katika mkutano wa vijana Nairobi, sasa uchunguzi wa kina kuhusu kifo chake cha kusikitisha umeanza.