Spika wa Bunge la Lebanon apinga makubaliano na Israel akisema ‘ni ya kutwishwa’
Spika wa Bunge la Lebanon, Nabih Berri, amekosoa vikali makubaliano yaliyosainiwa Washington kati ya Lebanon na utawala wa Israel, akiyataja kuwa ni seti ya maagizo ya kutwishwa badala ya kuwa…