Watanzania wahitimu China watakiwa kuwa mabalozi wa nchi
CHINA: Balozi wa Tanzania nchini China, Dk. Suleiman Haji Suleiman, amewataka Watanzania wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini humo mwaka 2026, kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kutumia maarifa,…