UN: Kutoadhibiwa wahalifu kunaeneza hisia za mauaji ya kimbari nchini Nigeria
Ripoti ya Umoja wa Mtaifa inasema, kutoadhibiwa watu wanaofanya mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya viongozi wa kidini na sehemu za ibada, pamoja na kinga dhaifu na uwajibikaji duni,…