Kwa nini Uturuki iliwazawadi viongozi wa NATO bastola zenye risasi sita
Zawadi hiyo ya bastola iliwekwa ndani ya kisanduku cha mbao chenye mpangilio wa rangi nyeusi. Kisanduku hicho kilikuwa na bendera ya Uturuki, nembo ya NATO na kibao kilichoandikwa kwa Kituruki…